mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Wakuu naomba kuulizia yale mamilioni ya dola yaliyoahidiwa na Barrick ya kuonesha nia njema kwenye mazungumzo ya makinikia yamefikia wapi? Maana tunataka kusahaulishwa as if haikutamkwa hadharani! Au ni changa la macho? Au tumepigwa ahadi hewa? Hii itakuwa aibu sana maana mkuu aliisisitizia kuwa isicheleweshwe!