Yale mamilioni ya dola ya kuonyesha nia njema ya Barrick yameishia wapi?

Wew ni mchochezi na si mzarendo hata kidogo badilik Kuwa mzarendo wa ukweli
Kukumbushia ahadi ya nia njema ni ushahidi wa uzalendo wangu! Au "nia njema" ikiingia mnataka iwe siri? Mnataka kuipiga wenyewe? Kwa nini mlitutangazia hiyo nia njema mubashara? Kama mliingizwa mjini si vibaya kuwa wazi ili tuhuzunike kwa pamoja!
 
Tulitangaziwa hadharani kuwa yanakuja tuna haki ya kuhoji kama yamekuja! Kama ni siri kwa nini walitutangazia hadharani! Kama mliingizwa mkenge kwenye mazungumzo msione haya kusema! Kuna dalili zote za kuingizwa mjini hapa!
Subiri zitawekwa kwenye akaunti yako kesho kutwa.
 
Mbwembwe nyiiiiiingiii eeeeeh mara tumeibiwa sana sasa tumepata nini zaidi ya kupoteza muda na fedha kuunda makamati ya ulaji
 
Wew ni mchochezi na si mzarendo hata kidogo badilik Kuwa mzarendo wa ukweli
Kumbe kuulizia ahadi tuliyoahidiwa kama taifa ni kukosa uzalendo? Basi kama ni hivyo sitaulizia ile ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji!
Hivi si tuliambiwa tutakuwa tunagawana faida nusu kwa nusu kwenye biashara ya dhahabu inayofanywa na barrick? Sitaulizia kama hiyo nusu yetu tumeshaanza kuipata! Asante kwa kunipa somo LA uzalendo!
 
Hatimaye Mwaka 2018 .....imefika hatujaiona bombadia yetu...sasa sina uhakika kama zile pesa za Barrick tutazipata kwa wakati!!!!

Na drim laina yetu naomba mwenye data atujuze...
 
Back
Top Bottom