Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Mkuu,kwanini usimweleze yaliko makovu?Mbona swali la kawaida sana?Unavyoamini ww kuhusu lisu sio sawa wanavyoamini wengine na ni kosa kuchukulia Mawazo yako ndio mtazamo unaotakiwa kila mtu aufuate.Swala la lisu mmelifanya kila mtu ajadili jinsi mnavyotaka na sio kila mtu atumie weledi wake.Ni makosa sana na ni udikteta wa fikra.Kwa Mimi nilitegemea kuoneshwa makovu,sasa makovu hatuyaoni ila mnataka tuimbe wimbo mmoja,inawezekana?
 
Ukisha yaona yakusaidie nini??
 
HIGH ENDED TECHNOLOGY.

HATA MI NILIPASULIWA NA KOVU LIMEFUTIKA.

ILA MKUU LENGO LAKO NIN?
 
Kidonda kikitibiwa vizuri ( first degree wound healing) huwa hakuna kovu baada ya kupona. Kidonda baada ya kupona kuota kovu in matokeo yaitwayo (second art wound healing) zaidi sana sababu zake ni uduni au HUDUMA mbovu za kidonda, hutokeavmno kwa mataifa maskini kama hili taifa lako unalojivunia.
 
Eti mwenyekiti alivyo msanii alisema imebaki risasi moja, kwanini wasiitoe au ipo kwenye moyo?
 
Eti mwenyekiti alivyo msanii alisema imebaki risasi moja, kwanini wasiitoe au ipo kwenye moyo?
hawa jamaa wanawafanya watanzania wapumbavu sana.Huwa nafikiria na kufika mbali sana jinsi mbowe anavowachukulia wafuasi wake.
 
hawa jamaa wanawafanya watanzania wapumbavu sana.Huwa nafikiria na kufika mbali sana jinsi mbowe anavowachukulia wafuasi wake.
ila baada ya kuhoji wamekuwa bendera fuata upepo tu. Mleta mada kauliza swali wanatakiwa kujibu sio blah blah zao.
 
Ni makosa ya madaktari!
 
ila baada ya kuhoji wamekuwa bendera fuata upepo tu. Mleta mada kauliza swali wanatakiwa kujibu sio blah blah zao.
Hata wao hawajui makovu yako wapi,kilichobaki ni hasira tu.Hawa jamaa kuwaongoza rahisi sana coz thinking capacity yao iko chini sana.Swali muhim kama hili mtu hataki kuhoji.Huwa nawaambia kuna vitu vingi sana kuhusu lisu ukijiuliza hupat majibu bas tu.
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…