Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,737
AiseeWadada hawana nyashi ila cha ajabu naskiq wanapenda sana kuliwa jicho.(nasikia)
AiseeWadada hawana nyashi ila cha ajabu naskiq wanapenda sana kuliwa jicho.(nasikia)
Kumepangika vizuriKatika mji ambao unatembeleka usiku basi Tanga, kuna taa za barabarani na wenyeji wana utamaduni wa kuweka Taa za nje zimulike.
Kawaida kukuta watu wanatembea saa 7 ama 8 usiku.
View attachment 2973714
View attachment 2973715
Ukiskia baikoo, vigodoro, wala mirungi etc zote hizo ni night life, si kweli kwamba saa 3 watu wame lala.