Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
shikamoo
Mahari yake nani??😂anao wawili tu kasema anakusanya wa kwenda kutoa mahari😂😂😂😂
mrembo wake mwenzio anakaribia kuvuta jikoMahari yake nani??😂
Hahahahaa wajinga kweli
Mengine kama mnaongeza chumviNjiwa ukimchungulia wakati anataka kutaga hata kama yao lilisha anza kutoka analirudisha ndani hadi njiwa dume awepo
anao wawili tu kasema anakusanya wa kwenda kutoa mahari
Jirani kumbe na wewe unapendaga hivi vituWeee kumbe ana njiwa jirani yangu HB wa kigogo mwambie nataka njiwa wa udhurungi jomoniiii
Leo unakana wakati ulisema mwenyew ni wa maharimahari ya njiwa? Sisi tunatoaga ng'ombe
Inna kuanzia leo naomba uwe msemaji wangumrembo wake mwenzio anakaribia kuvuta jiko
Sio mbaya. Ngoja nijitafakariLeo unakana wakati ulisema mwenyew ni wa mahari
Tena wanaitamani supuWana maringo sana.
Siwawezi bora niendelee na mapaka yangu..roho ngumu hata ukimchinja ng'ombe mbele yao wanabaki.
Saana jiraniiJirani kumbe na wewe unapendaga hivi vitu
bongo nyosoInasemekana hawapendi umbea lakini ukimpa mimba au kuchepuka na beki 3 umjulisha kiishara mke wako na kusepa wakikuachia timbwili peke yako...
hawako serious hao washirikina wanaosemaga ivyo.Hahqhaa ..mie mwenyew nashangaa..njiwa anikoseshe raha kisa?navyopenda bang la muziki wknd inahu?