Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,020
- 156,472
- Thread starter
- #41
Hata Msalaba ni neno la KiarabuKumbe maneno ya kiarabu pia yanatumika huko,Muadhama(kiarabu),Muhashama (kiarabu).

Vyeo vya DP World au siyo?Umeelewa Uzi Lakini? Au bado upo busy na DPW. Tutakubatiza Kwa Nguvu Awamu Hii
Huyu Ni Kama nabii Tito wa huku
...Huna haja ya Matusi ! Kama unajua jibu la Swali analouliza, jibu TU Kwa Hoja Makini.Mama ni mama..kama hujui umuhimu wa mama yako wewe ni punguani
"Mosinyori" limetoka Kwenye neno la kilatini linamaanisha most senior,kwahiyo mara nyingi inakuwa padri mwenye umri mkubwa katika jimbo anakuwa mlezi na mshauri kwa mapdriView attachment 2687230
๐๐ ๐ช๐๐๐จ๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ก๐ข ๐๐๐ฌ๐?
1. MWADHAMA
2. MHASHAMU
3. MWANDAMIZI
4. MONSINYORI
5. METROPOLITANI
iko hivi:-
๐ญ. ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐
- Maana yake ni "Mheshimiwa sana" daima neno hili hutumika kwa Makadinari tu.
๐ฎ. ๐ ๐๐๐ฆ๐๐๐ ๐จ.
- Maana yake ni "Mheshimiwa" daima neno hili hutumika kwa Maaskofu wa Jimbo, wakuu na wale wa kawaida tu.
๐ฏ. ๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ ๐๐ญ๐.
- Maana yake ni mtu anayetarajia kurithi cheo au madaraka kutoka kwa mtu fulani.
- Hivyo Askofu Mwandamizi, ni yule anayetarajia kuchukua mamlaka kwa kutoka kwa Askofu aliyeko madarakni.
๐ฐ. ๐ ๐ข๐ก๐ฆ๐๐ก๐ฌ๐ข๐ฅ๐.
- Maana yake ni cheo cha heshima anachopewa Padre fulani kutoka kwa Askofu wake, baada ya kufanya kazi iliyotukuka.
- Aidha "Mosinyori" unaweza kuwaita kama "Manaibu Maaskofu" japo ni Mapadre wa kawaida, ila wana heshima fulani katika Kanisa.
๐ฑ. ๐ ๐๐ง๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐๐๐ง๐๐ก๐.
- Ni jina la eneo la ukanda wa Kanisa Katoliki, kwa asili yake ya Kigiriki linamaanisha "Kati ya Mji au Jimbo kuu"
- Kwa mfano: majimbo kama Dar es salaam, Mahenge, Ifakara, Morogoro na Tanga, ukiyaweka pamoja, yanaunda ukanda wa Kanisa Katoliki.
- Basi ukanda huo katika Kanisa Katoliki, linapaswa liongozwe na Askofu mmoja tu. Na eneo hilo litaitwa Metropolitani, yaani Jimbo kuu.
- Kwa sasa hapa kwetu Tanzania, tuna majimbo makuu saba (7) ambayo ni:
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐๐.
(๐ ) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ป๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐.
Tumsifu Yesu Kristo!View attachment 2687229
DuhTutawauzia humohumo msikitini
Tusi liko wapi hapo mkuu...Huna haja ya Matusi ! Kama unajua jibu la Swali analouliza, jibu TU Kwa Hoja Makini.
Usiudhalilishe Ukatoliki Kwa Kujibu Ovyo Kama wale Wanaoutaka Mkataba Ovyo Bandari !
Nakupa Siri Leo, Ili umteke vema Mume wako, mpende Mamake hata kinafki. Umemmaliza.Kwanini Wakatoliki wanamtukuza sana Bikira Maria kuliko Yesu? Kati ya Yesu na Maria nani anatakiwa kutukuzwa kwa mujibu wa Biblia?
Muadhama kwa kiswahili maana yake nini?Kumbe maneno ya kiarabu pia yanatumika huko,Muadhama(kiarabu),Mhashama (kiarabu).
Milele Amina,,, Asante kwa elimu hii.View attachment 2687230
๐๐ ๐ช๐๐๐จ๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ก๐ข ๐๐๐ฌ๐?
1. MWADHAMA
2. MHASHAMU
3. MWANDAMIZI
4. MONSINYORI
5. METROPOLITANI
iko hivi:-
๐ญ. ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐
- Maana yake ni "Mheshimiwa sana" daima neno hili hutumika kwa Makadinari tu.
๐ฎ. ๐ ๐๐๐ฆ๐๐๐ ๐จ.
- Maana yake ni "Mheshimiwa" daima neno hili hutumika kwa Maaskofu wa Jimbo, wakuu na wale wa kawaida tu.
๐ฏ. ๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ ๐๐ญ๐.
- Maana yake ni mtu anayetarajia kurithi cheo au madaraka kutoka kwa mtu fulani.
- Hivyo Askofu Mwandamizi, ni yule anayetarajia kuchukua mamlaka kwa kutoka kwa Askofu aliyeko madarakni.
๐ฐ. ๐ ๐ข๐ก๐ฆ๐๐ก๐ฌ๐ข๐ฅ๐.
- Maana yake ni cheo cha heshima anachopewa Padre fulani kutoka kwa Askofu wake, baada ya kufanya kazi iliyotukuka.
- Aidha "Mosinyori" unaweza kuwaita kama "Manaibu Maaskofu" japo ni Mapadre wa kawaida, ila wana heshima fulani katika Kanisa.
๐ฑ. ๐ ๐๐ง๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐๐๐ง๐๐ก๐.
- Ni jina la eneo la ukanda wa Kanisa Katoliki, kwa asili yake ya Kigiriki linamaanisha "Kati ya Mji au Jimbo kuu"
- Kwa mfano: majimbo kama Dar es salaam, Mahenge, Ifakara, Morogoro na Tanga, ukiyaweka pamoja, yanaunda ukanda wa Kanisa Katoliki.
- Basi ukanda huo katika Kanisa Katoliki, linapaswa liongozwe na Askofu mmoja tu. Na eneo hilo litaitwa Metropolitani, yaani Jimbo kuu.
- Kwa sasa hapa kwetu Tanzania, tuna majimbo makuu saba (7) ambayo ni:
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐๐.
(๐ ) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ป๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐.
Tumsifu Yesu Kristo!View attachment 2687229
Mama ni mama..kama hujui umuhimu wa mama yako wewe ni punguani
Katoliki bhana wanazunguka sana ila ukweli kwamba vyeo hivyo ni kwa ajili ya matumizi ya kisiasa kwenye utawala wa RomaView attachment 2687230
๐๐ ๐ช๐๐๐จ๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ก๐ข ๐๐๐ฌ๐?
1. MWADHAMA
2. MHASHAMU
3. MWANDAMIZI
4. MONSINYORI
5. METROPOLITANI
iko hivi:-
๐ญ. ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐
- Maana yake ni "Mheshimiwa sana" daima neno hili hutumika kwa Makadinari tu.
๐ฎ. ๐ ๐๐๐ฆ๐๐๐ ๐จ.
- Maana yake ni "Mheshimiwa" daima neno hili hutumika kwa Maaskofu wa Jimbo, wakuu na wale wa kawaida tu.
๐ฏ. ๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ ๐๐ญ๐.
- Maana yake ni mtu anayetarajia kurithi cheo au madaraka kutoka kwa mtu fulani.
- Hivyo Askofu Mwandamizi, ni yule anayetarajia kuchukua mamlaka kwa kutoka kwa Askofu aliyeko madarakni.
๐ฐ. ๐ ๐ข๐ก๐ฆ๐๐ก๐ฌ๐ข๐ฅ๐.
- Maana yake ni cheo cha heshima anachopewa Padre fulani kutoka kwa Askofu wake, baada ya kufanya kazi iliyotukuka.
- Aidha "Mosinyori" unaweza kuwaita kama "Manaibu Maaskofu" japo ni Mapadre wa kawaida, ila wana heshima fulani katika Kanisa.
๐ฑ. ๐ ๐๐ง๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐๐๐ง๐๐ก๐.
- Ni jina la eneo la ukanda wa Kanisa Katoliki, kwa asili yake ya Kigiriki linamaanisha "Kati ya Mji au Jimbo kuu"
- Kwa mfano: majimbo kama Dar es salaam, Mahenge, Ifakara, Morogoro na Tanga, ukiyaweka pamoja, yanaunda ukanda wa Kanisa Katoliki.
- Basi ukanda huo katika Kanisa Katoliki, linapaswa liongozwe na Askofu mmoja tu. Na eneo hilo litaitwa Metropolitani, yaani Jimbo kuu.
- Kwa sasa hapa kwetu Tanzania, tuna majimbo makuu saba (7) ambayo ni:
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐๐.
(๐ ) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ป๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐.
Tumsifu Yesu Kristo!View attachment 2687229
Safi!View attachment 2687230

Wapi Yesu alisema "Mimi Bwana"? Au unamzushia tu?Ijapokuwa tuko kwenye kilio kikubwa cha bandari zetu, Asante kwa fafanuzi hizo.
Tumsifu Bwana Yesu Kristu.
Hivi huwa tunaweka "Bwana" kweli kwenye hiyo salamu? Karismatiki mtakuwa mnadanganyana!Ijapokuwa tuko kwenye kilio kikubwa cha bandari zetu, Asante kwa fafanuzi hizo.
Tumsifu Bwana Yesu Kristu.
Kwa hiyo kumbe huko kwenye ukristo wana utamaduni.mwingi wa kiarabuHata Msalaba ni neno la Kiarabu
Surat Muhammad ipo.Mkikaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,mnadanganyana.kuwa hakuna Surat Muhammad.Labda ungewauliza waislamu kwa nini kwenye Quran kuna Surat Mariam? Hata huyo Muhammad hana Surat kwenye Quran.
Huku kwetu mtaani mama Dangote anatukuzwa kuliko Diamond mwenyewe, maana machawa wanasema bila Bi Sandra kumzaa Diamond wengine wangekuwa wameshakufa kwa njaa.