Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,915
๐๐ ๐ช๐๐๐จ๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ก๐ข ๐๐๐ฌ๐?
1. MWADHAMA
2. MHASHAMU
3. MWANDAMIZI
4. MONSINYORI
5. METROPOLITANI
iko hivi:-
๐ญ. ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐
- Maana yake ni "Mheshimiwa sana" daima neno hili hutumika kwa Makadinari tu.
๐ฎ. ๐ ๐๐๐ฆ๐๐๐ ๐จ.
- Maana yake ni "Mheshimiwa" daima neno hili hutumika kwa Maaskofu wa Jimbo, wakuu na wale wa kawaida tu.
๐ฏ. ๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ ๐๐ญ๐.
- Maana yake ni mtu anayetarajia kurithi cheo au madaraka kutoka kwa mtu fulani.
- Hivyo Askofu Mwandamizi, ni yule anayetarajia kuchukua mamlaka kwa kutoka kwa Askofu aliyeko madarakni.
๐ฐ. ๐ ๐ข๐ก๐ฆ๐๐ก๐ฌ๐ข๐ฅ๐.
- Maana yake ni cheo cha heshima anachopewa Padre fulani kutoka kwa Askofu wake, baada ya kufanya kazi iliyotukuka.
- Aidha "Mosinyori" unaweza kuwaita kama "Manaibu Maaskofu" japo ni Mapadre wa kawaida, ila wana heshima fulani katika Kanisa.
๐ฑ. ๐ ๐๐ง๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐๐๐ง๐๐ก๐.
- Ni jina la eneo la ukanda wa Kanisa Katoliki, kwa asili yake ya Kigiriki linamaanisha "Kati ya Mji au Jimbo kuu"
- Kwa mfano: majimbo kama Dar es salaam, Mahenge, Ifakara, Morogoro na Tanga, ukiyaweka pamoja, yanaunda ukanda wa Kanisa Katoliki.
- Basi ukanda huo katika Kanisa Katoliki, linapaswa liongozwe na Askofu mmoja tu. Na eneo hilo litaitwa Metropolitani, yaani Jimbo kuu.
- Kwa sasa hapa kwetu Tanzania, tuna majimbo makuu saba (7) ambayo ni:
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐ ๐๐๐.
(๐ ) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ป๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐.
(๐) ๐ฑ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐.
Tumsifu Yesu Kristo!