Yajue maana ya majina haya ya vyeo vinavyotumika kwa viongozi mbalimbali wa kanisa Katoliki

Kwa hiyo kumbe huko kwenye ukristo wana utamaduni.mwingi wa kiarabu
1.Mavazi ya viongozi,ma Askofu na maPadre wanavyaa kanzu,barghashia,soksi,kofia,fimbo, Mashemasi kuvyaa kanzu,yote hayo ni ya utamaduni wa kiarabu.
2.Kufukiza ubani,marashi,ni utamaduni wa kiarabu.
3.Madhabahu ni neno la kiarabu.
4.Baraka ni neno la kiarabu.
5.Ibada ni neno la kiarabu
Maneno ni utamaduni? Hamna lugha ambayo inajitosheleza, zote zimetohoa maneno
 
Wewe pata najisi hizo, halafu uje kuhadithia yakikukuta.
Pia bibi FaizaFoxy Kanisa Katoliki linaundwa na Dekania. Yaani jumla ya Parokia kadhaa ndizo zinazotengeneza hiyo Dekania.

Na Padre anayeteuliwa kuwa kiongozi wa hizo Dekania, huitwa Dekano.

Halafu kwa mtu yeyote mwenye nia ya kujiunga na imani ya Kanisa Katoliki kama wewe, huwa tunamuita Makatekumeni.
 
Karibu Roman Catholic Church ili ufaidi mema ya hii dunia. Ukihamia tu, nitakupendekeza mwenyewe ili utangazwe kuwa Mtakatifu FaizaFoxy siku za baadaye.

Ikishindikana kabisa, basi utaitwa Mwenye heri FaizaFoxy
Dah! huko ndugu yangu na yale mambo yao mpaka Umoja wa Mataifa ukapiga makelele, wewe bado upo huko tu?

Dah! Nakusikitikia sana. Hivi bado unaamini kuna binaadam anampa binaadam mwenzake "utakatifu"? Halafu huyo binaadam anaempa mwenzake utakatifu mwenyewe ni waleeeee!

Hebu fikiri with a clear mind.
 
Umenena vyema FaizaFoxy
Dah! huko ndugu yangu na yale mambo yao mpaka Umoja wa Mataifa ukapiga makelele, wewe bado upo huko tu?

Dah! Nakusikitikia sana. Hivi bado unaamini kuna binaadam anampa binaadam mwenzake "utakatifu"? Halafu huyo binaadam anaempa mwenzake utakatifu mwenyewe ni waleeeee!

Hebu fikiri with a clear mind.
Kanisa Katoliki lina matangotango mengi sana. Ulawiti wa watoto, kuwatimikisha msista Kingono etc
 
Bila waarabu kuleta Algorithim na Algebra,kusingekuwako na IT wala MRI wala Utrasound wala...vyote vinatumia mfumo wa Algebra(muarabu)na Algorithim(muarabu),bila waarabu hao tusingekuwa na :
A step by step procedure for solving a problem,especially a mathematical rule or procedure used to COMPUTE desired result.
Algorithim(Arabian scientist):In mathematics and COMPUTER science,algorithim is a finite sequence of rigorous instructions,typical used to solve specific problems.
Algebra:Is a part of mathematics that helps represent problems situation in form of mathematical expression.
Yaani duniani chochote vilivyotengenezwa na binadamu vinategemea Waarabu hawa wawili
1.Algorithim
2.Algebra
Ndio ujuwe bila waarabu,kusingekuwepo na COMPUTER,CT Scan,Ultradound,MRI nk.
 
Back
Top Bottom