Yajue maana ya majina haya ya vyeo vinavyotumika kwa viongozi mbalimbali wa kanisa Katoliki

Kumbe maneno ya kiarabu pia yanatumika huko,Muadhama(kiarabu),Mhashama (kiarabu).
Dini ya Uislam imeanzishwa na Mroma.. trust me ndie alimuosha Marioo kutoka kwa Jimama lake Khadija Mkristo so usishangae kukuta issue za kiroma kwenye Uislam
 
Kwanini Wakatoliki wanamtukuza sana Bikira Maria kuliko Yesu? Kati ya Yesu na Maria nani anatakiwa kutukuzwa kwa mujibu wa Biblia?
Jibu la utani: Ukitaka kujua kuwa Bikra Maria ana hadhi yake, jaribu kufikiri wewe ulipoteza ubikra wako ukiwa na umri gani. Sass mwenzio kabaki bikra daima hadi mauti ilivyomkuta akiwa mtu mzima.

Jibu la kistaarabu: Siyo kweli kusema eti wanamtukuza Bikra Maria kuliko Yesu Kristu. Bikra Maria hatukuzwi bali anapewa heshima.
Mfano: Ni marufuku kusali rozari (kuongea na Bikra Maria) wakati wa ibada ya Misa inaendelea (Kuongea na Yesu Kristu). Hapo mkubwa ni nani?

Hata sala, mtu akiwa anaongea na Bikra Maria anasema UTUOMBEE, lakini akiwa anaongea na Yesu Kristu anasema 'UTUHURUMIE, au UTUSIKIE, UTUJALIE na maneno kama hayo.
Hapo utapima mwenyewe ujue hadhi zao zikoje.
 
Dini ya Uislam imeanzishwa na Mroma.. trust me ndie alimuosha Marioo kutoka kwa Jimama lake Khadija Mkristo so usishangae kukuta issue za kiroma kwenye Uislam
Hizo ni Issue za kiarabu,sio za kiroma.Useme waarabu ndio walioanzisha ukristo,kwa sababu bado pia wapo waarabu wakristo,sio chini ya milioni 15,na hao wakristo waarabu wanawake wao,wanajifinika kichwa na kuvyaa nguo ndefu.Na tamaduni za kiarabu zipo,kwa wakristo wengi.
Inawezekana huu ukristo,wameuanzisha waarabu,maana duniani hakuna taifa lililosafiri sana na kuoa mataifa mengine kama waarabu.
 
Labda hujui Biblia, Maria alizaa watoto wengine kwa njia ya ngono, kama wewe ulivyozaliwa. Sasa hiyo bikira daima ill wapi?
Hizo ni Issue za kiarabu,sio za kiroma.Useme waarabu ndio walioanzisha ukristo,kwa sababu bado pia wapo waarabu wakristo,japo ni wachache wamebaki huko.Na tamaduni za kiarabu zipo,kwa wakristo wengi.
Thibitisha
Sass mwenzio kabaki bikra daima hadi mauti ilivyomkuta akiwa mtu mzima.
 
View attachment 2687230

๐—๐—˜ ๐—ช๐—”๐—๐—จ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—›๐—”๐—ฌ๐—”?

1. MWADHAMA
2. MHASHAMU
3. MWANDAMIZI
4. MONSINYORI
5. METROPOLITANI

iko hivi:-

๐Ÿญ. ๐— ๐—ช๐—”๐——๐—›๐—”๐— ๐—”

- Maana yake ni "Mheshimiwa sana" daima neno hili hutumika kwa Makadinari tu.

๐Ÿฎ. ๐— ๐—›๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐— ๐—จ.

- Maana yake ni "Mheshimiwa" daima neno hili hutumika kwa Maaskofu wa Jimbo, wakuu na wale wa kawaida tu.

๐Ÿฏ. ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐——๐—”๐— ๐—œ๐—ญ๐—œ.

- Maana yake ni mtu anayetarajia kurithi cheo au madaraka kutoka kwa mtu fulani.

- Hivyo Askofu Mwandamizi, ni yule anayetarajia kuchukua mamlaka kwa kutoka kwa Askofu aliyeko madarakni.

๐Ÿฐ. ๐— ๐—ข๐—ก๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—ข๐—ฅ๐—œ.

- Maana yake ni cheo cha heshima anachopewa Padre fulani kutoka kwa Askofu wake, baada ya kufanya kazi iliyotukuka.

- Aidha "Mosinyori" unaweza kuwaita kama "Manaibu Maaskofu" japo ni Mapadre wa kawaida, ila wana heshima fulani katika Kanisa.

๐Ÿฑ. ๐— ๐—˜๐—ง๐—ฅ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—Ÿ๐—œ๐—ง๐—”๐—ก๐—œ.

- Ni jina la eneo la ukanda wa Kanisa Katoliki, kwa asili yake ya Kigiriki linamaanisha "Kati ya Mji au Jimbo kuu"

- Kwa mfano: majimbo kama Dar es salaam, Mahenge, Ifakara, Morogoro na Tanga, ukiyaweka pamoja, yanaunda ukanda wa Kanisa Katoliki.

- Basi ukanda huo katika Kanisa Katoliki, linapaswa liongozwe na Askofu mmoja tu. Na eneo hilo litaitwa Metropolitani, yaani Jimbo kuu.

- Kwa sasa hapa kwetu Tanzania, tuna majimbo makuu saba (7) ambayo ni:

(๐’‚) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘ซ๐’‚๐’“ ๐’†๐’” ๐‘บ๐’‚๐’๐’‚๐’‚๐’Ž.
(๐’ƒ) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘บ๐’๐’๐’ˆ๐’†๐’‚.
(๐’„) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘ซ๐’๐’…๐’๐’Ž๐’‚.
(๐’…) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘ป๐’‚๐’ƒ๐’๐’“๐’‚.
(๐’†) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘จ๐’“๐’–๐’”๐’‰๐’‚.
(๐’‡) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’˜๐’‚๐’๐’›๐’‚.
(๐’ˆ) ๐‘ฑ๐’Š๐’Ž๐’ƒ๐’ ๐’Œ๐’–๐’– ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’ƒ๐’†๐’š๐’‚.

Tumsifu Yesu Kristo!View attachment 2687229
Bahati mbaya sana ndugu zangu kwa ufahamu potofu. Hakuna vyeo katika kanisa katoliki. Kuna sakramenti eg upadre ambao una ngazi tatu ushemasi, upadre na uaskofu! Na hizo nyingine ni huduma tu Servo Serverum Dei mbalimbali katika kanisa katoliki. Vyeo vipo serikali huko au kwa watu wa mataifa!
 
Dini ya Uislam imeanzishwa na Mroma.. trust me ndie alimuosha Marioo kutoka kwa Jimama lake Khadija Mkristo so usishangae kukuta issue za kiroma kwenye Uislam
Hivi Wakristo waliitwa kwanza wapi kuwa Nyinyi ni "Wakristo? Ipo kwenye biblia. Kafanye homework yako.
 
Back
Top Bottom