Jambo la kushukuru umetambua tatizo mapema.Maana kwa kuhofia kupatwa na niliyoyaeleza hapo juu, najikuta naogopa kutumia pombe tena
Sasa mkuu usinywee mshahara utakunywa na hela gani? Nini kazi ya mshahara?Hiyo Zappa huwa inapigwa kibiriti kabla ya kunywa nimekiona hapo safi,
Ila pia usinywee mshahara,kodi wala ada wala hela yoyote yenye malengo na wala usinywe kwa hela ya kukopa lazima uumwe second day
Ni kweli mkuu kila mtu na starehe yakeTafuta pombe inayokufaa na usipende kuchanganya, kuna watu wakinywa dompo hawalali wanaota kukabwa ila wakinywa vant hata mizinga mitano fresh tu,chagua unayokufaa uendelee kumwagilia moyo.
Ila ukumbuke kunywa kwa kiasi na ukiona huelew elew mshukuru Muumba achana nayo itakuja kukupa matatizo. Kila mtu na starehe yake