Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 653
- 1,058
- Thread starter
- #61
Zinahesabika kweliiii (kwa lafudhi ya Kichaga)Si yetu macho tuu inagawa me nimiongoni mwa watu ambao hata office za Nida cjui zilipo, acha tupumulie mipira tukiamini cku zetu za kuwa hewani zinahesabika.
Sent using Jamii Forums mobile app