Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 653
- 1,058
Niamini mimi hawatasitisha....Nida ni zoezi endelevu kwanini usajili uwe na kikomo
Mfano.....?siku zote hizo mnasubiri kwenda kujiandikisha? acheni uchovu, nyie wasukuma hata mkiongezewa mwaka mtataka tena miezi, kwa msukuma kitu MUDA ni neno la gumu kwake kulizingatia. huwa hamjali kabisa, sijawasema kwa nia mbaya ila msukuma hajali muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukafikiri itakuwa mwisho wa hizo sms,Mimi naona huo muda ni mkubwa sana,nimeshachoshwa na zile SMS za ile pesa itume kwa hii namba xxxxxxxxx jina litakuja mwanaidi mwakatope
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu unayemiliki simu hauwezi kushindwa kufuata kitamulisho, acheni uzushi rais anafanya jitihada za kulinda watu wake dhidi ya matapeli.
Hata muda ukiongezwa miaka kumi bila kuwa mkali bado mtaendelea kusuasua.