Yaani kabisa Try Again, CEO Barbara na Chairman Mangungu mmeamua mumteue 'Samjo Samjo' Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC?

Mjini connection ndio mchambaji wenu wa club,ana kazi tatu DC wa Insta, mchambaji wa familia ya Diamond na mchambaji wa yyt atakaye igusa Simba.

Tumetoka kwenye uhamasishaji, sasa wanachukuliwa wachamabaji wa insta hapo ndipo ujue sometimes hatupo serious na image ya mpira wetu.
Hakuna kitu Kimeniuma na hata sasa kunifanya niwadharau Viongozi wa Simba SC kama Kumteua Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC.

Mwinjaku ni Ndumilakuwili na Yanga SC.
 
Hakuna kitu Kimeniuma na hata sasa kunifanya niwadharau Viongozi wa Simba SC kama Kumteua Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC.

Mwinjaku ni Ndumilakuwili na Yanga SC.
Mimi naamini matokeo ya uwanjani ndiyo yanayo wa hamasisha mashabiki kujaa uwanjani na kununua bidhaa za club, lkn si hawa makanjanja.
 
Huyu Mwijaku ni kichwa box mara mia ya Haji Manara. Atakuja kuitia aibu club ya Simba huko mbeleni. Mfano msikilize hapa alichoongea siku anapewa nafasi ya kuhamasisha Simba day
 
Attachments

  • Instagram(1).mp4
    547.9 KB
Makolo ndio akili yenu inapofika....kashawahamasisha eti mvue nguo nendapo mtapigwa na wabotswana
 
Hivi ni kweliii hakuna watu wanajua mpira wakapewa hizi kazi yaani huyu shoga kumuweka kwenye timu ni kunajisi mchezo wa mpira wa miguu.
Sio Simba ila kama mshabiki wa soka kwa kwelii imenikera
 
Huyu Mwijaku ni kichwa box mara mia ya Haji Manara. Atakuja kuitia aibu club ya Simba huko mbeleni. Mfano msikilize hapa alichoongea siku anapewa nafasi ya kuhamasisha Simba day

Huyu mwijaku ni Mpumbavu, anakashifu waCongo ilhali ndani ya Simba kuna Wacongo mule

Kiukweli Babra umetukosea sana wana Msimbazi kutuletea watu wenye hulka za kishambenga kipashkuna dizaini ya hawa wapuuzi

Huyu mtu ana tofauti gani na akina Juma Lokole au Dr Kumbuka

Kama ilishindkana kumshawishi Masau Bwire basi haikuwa na ulazima wa kumleta huyu boya
 
Yeye kwa akili yake anaona kwa kauli ile, wakongo waliopo Simba kawapa maujiko halafu wakongo waliopo Yanga ndio kawakashifu. Lakini kiukweli ni kwamba alichoongea ni kawadharirisha zaidi wakongo waliopo Simba kwasababu huwezi kusema eti mmesajili wakongo ili wafanye featuring na whozu lakini sio kucheza mpira.
 
Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa ili aende VVIP akapige Picha na Mwekezaji Mohammed Mo Dewji kisha akautumia ukaribu wa Kibiashara wa Kampuni ya CMG anakofanyia na Simba SC na Kuhonga Watu 'Chawa' wa CEO Barbara ndiyo leo mmeamua Kumpa huu Wadhifa?

Nawatakieni kila la kheri na Simba Sports Club yenu kwani naona kila Siku tu kuna Upumbavu mwingi unajitokeza na Kutendeka.

Sasa nitabakia tu Kushangilia Liverpool FC yangu, KMC FC ya Wilayani Kwangu Kinondoni na Biashara United FC ya Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) na Mademu wakali wa Juliana na Beach Kidimbwi.

Natamani niseme sababu ya Mwekezaji Mohammed Mo Dewji Kung'atuka kama Board Chairman wa Simba SC ila najua nitaleta 'Mpasuko' mkubwa Klabuni na kwa wana Simba SC.

Natamani mno niwataje Watu Wanne ambao kwa uwepo wao ndani ( tena Jikoni ) kabisa katika Klabu ndiyo Chanzo cha Kufungwa na Watani zetu Yanga SC na najua kama mpaka Mwezi Desemba watakuwepo Yanga SC inaenda Kutufunga tena ila nanyamaza nisije Kuwahatarishia Maisha yao ( Uhai wao ) na Familia zao zinazokula kwa 'Usaliti' wao dhidi ya Klabu zije Kunilaumu.

Kila Ia Kheri na 'Simba SC' yenu Wakuu.
Simba wamekengeuka sana
 
Tumefikia hatua ya kuweka watu wenye elements za umbea na wasiojua chochote kuhusu moira. Mimi na akili zangu,nikae kumsikiliza Mwajaku ambae hata kabla hajapewa hiyo nafasi Simba nilikuwa namuona kama Shoga?

Unafiki siwezi, ni bora wangeacha team ikabaki kama ilivyokuwa bila hizi takataka(wahamasishaji), kuliko huyo jamaa waliomuweka.
Na yule mwanamke nae jike dume aka tom boy🤣makolo bhana.
 
Back
Top Bottom