Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

Mkuu umenikumbusha kisa cha Nyani na binadamu. Nyani walikuwa wanakula mahindi ya binadamu. Binadamu akawa anawafukuza wasile mahindi yake. Nyani walikuwa wanamchukia sana binadamu kwa madai kwamba anawabania. Mwaka uliofuata binadamu akafa nyani wakafanya sherehe kwamba kizuizi kimeondoka. Guess what happened.. Msimu wa mahindi ulipo fika no mahindi ..mwisho wa siku nyani wote wale wakafa a natural death. This is what will.happen kwa wasanii wengi wa bongo. Watakao fanikiwa kusurvive watakuwa wachache sana. Kifo cha Ruge ni msiba kwa tasnia ya bongofleva. Halafu nashangaa mpaka sasa hivi Diamond hajapost chochote kuhusu Ruge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Mondi hataki unafique ni rival wa Ruge [emoji1019] kwenye music industry na biashara ya vyombo vya habari... Lakini kiungwana alitakiwa kutoa neno la pole mbona bash boy kafanya hivyo

Jr[emoji769]
 
Najiuliza hii imetokea kwa Ruge tu, mbona kuna wanyonyaji wa kutupwa wa miaka mingi. Tena ni matajiri wa kutupa ambao wanaajiri watu kwa mikataba ya kitapeli inayohudhunisha . Na watu wanawashabikia na kubishana tajiri yupi anawazidi wenzake, ina maana Ruge alimiliki idadi gani ya wasanii kulinganisha na hawa ma bilionea wanaovuna mabilioni ya fedha kwa kutumia jasho la hao waliowaajiri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha longolongo wataje hao mabilionea matapeli.....p diidy alikuwa anamsimamia BIG lakini hyo sababu haikumfanya p didy kutumia hyo nafasi kujitajirisha huku BIG akibaki kuwa maskini....alichokifanya ni kuhakikisha wote kwa pamoja wanatusua maisha na hicho alichopaswa kufanya ruge!! Kwani ukifatilia almost 98% ya mafanikio ya ruge yamesababishwa na wasanii , sasa jiulize kwanini wasanii bado maskini huku ruge akipata utajiri wa kufuru?

Mimi naongelea mabilionea wa kibongo ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya malalamiko hayapo ktk muziki,sanaa nk yapo hata ktk kazi za kuajiriwa.watu wanaingia mikataba pasipo kuelewa kilichoandikwa na wanasini,baadae wanaanza kulalamika kunyonywa.
Nafikiri serikali na vyonbo husika wanaangalia upya mikataba yote ktk sanaa,kazi nk ili kuwe na standard ya malipo na taratibu nzuri,vinginevyo malalamiko hayataisha.
 
Pitieni Pitieni na uzi aloandika lady Jay dee pia maana watu wanataka kuaminisha wengne kuamarehemu hakua na mapungufu pia. Kiukweli wanaolalamika ukichunguza kinawaumiza ni kwamba Mr ruge licha ya kuofautiana na mtu bado alikua anapambana kw njia nyingne kukata mrija wa ridhki ya wengne kwa vikwazo kupitia wadau wengine
Ameandika wapi huo uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati fulani nikiwa nasoma darasani ulitolewa mfano ambao ulizungumzia haki ni nini?

Jaji aliyeulizwa swali hilo akajibu kuwa mfano wa haki ni kama ambapo kesi ingekuwepo mahakamani, na jaji ni yeye, halafu wanaoshitakiana mbele zake ni shetani na baba yake na jaji.

Akasema tena kuwa ikiwa katika kesi ile shetani atatoa utetezi wa kweli basi atampa ushindi dhidi ya baba yake mzazi hata kama yeye ni shetani. Hiyo ndiyo haki.

Bandiko hili la ndugu Mshana tayari limeshawachora watu wanaomlalamikia marehemu kama WASHINDWA. Na marehemu amechorwa kama MSHINDI.

Kabla ya kuhitimisha hivyo mapema, ni vyema kama tungejiridhisha kuwa hayo madai ya miaka mingi ya baadhi ya wasanii yana ukweli wowote?

Je ni kweli marehemu alikuwa anatenda hayo mabaya yaliyolalamikiwa sana? Hao walioitwa kuwa ni washindwa huenda wana hoja za msingi zinazohitaji kutupiwa jicho bila kuathiriwa na emotions/sympathy za msiba. Maana it is understandable kuwa panapokuwa na msiba emotions side ya ubinadamu inaweza kuathiri mjadala dhidi ya marehemu kwani sisi wanadamu tunayo hali ya kumuhurumia marehemu na kuyasahau mabaya yake.

Iwe iwavyo, mfumo wa kibiashara tulionao ni wa kibepari, na hata ktk mziki wetu pia. Ni wanamuziki wachache sana hapa bongo waliweza kufaidishwa na mziki kwa kiwango cha kuridhisha...labda kidogo kwa sasa unaweza kuona namna mziki unavyowalipa wasanii...sijui ni industry imechange? Msanii unakuta ana jina kubwa lakini haliendani na assets zake. Where has the money gone? Hapo katikati kuna system inayokula kabla msanii hajala. Na hii ndiyo imekuwa lalamiko la wasanii for years....so hao wanaoitwa washindwa wasibezwe sana.

Upo mfumo ambao wao wasanii wengi hawawezi kuushinda kwa kuwa mmoja ana capita mwingine hana, and that is capitalism. Mfumo huu pia umeenea duaniani kote, hata huko holywood ma don ni recording companies, wasanii hulipwa a decent sum tu.
Great thinker
 
Ndugu yangu mshana najua ulitaka kuanzisha topiki ili uone watu wana mtazamo gani katika maono yao juu ya marehemu. Kwanza niseme mie nafuatilia sana topiki zako miaka na miaka hasa za maisha ya uswahilini maana na mie kabla sijatoka kimaisha nimekulia uswazi

Ulichokiandika hapa umenena kama mtu asiyefahamu game au industry ya muziki ilivyo. Kama nawe umekulia uswazi nadhani uatakuwa umeshakaa na wasanii wengi na ukajua jinsi gani wanavyonyonya na hawa watu wa kati. Mie nimekaa sana na wasanii toka enzi za kununua tape kwa wadosi Kariakoo kina Mamu Store mpk nilipokuwa mtu mzima nimeielewa sana game ilivyo na pia nimebahatika kuishi USA kipindi Hip Hop ilipokuwa juu na mbinu za kuwanyonya wasanii ni zile zile zinazotumika kule baadhi ya wajanja nchini kama uliowataja walizicopy (waliishi nje hivyo walisoma game vizuri) na kuja kuzitumia nchini

Mbinu hizo za kibepari uwa zinatumika kutafuta mtaji na waru kama kina Dr. Dre, Sean Puffy, Jay Z na wengine walizitumia na ili kuwabana wanaowa-manage uwa wanafikia kipindi wanawabania na kuwavuruga ili wachanganyikiwe na nguvu yao kuisha Mara nyingi wana-capitalize kwenye nguvu yao ya pesa kumzuia msanii asisikike. Njia hizi zimewapoteza wengi sana ila uwa hazidumu muda mrefu kwa kuwa muda nao unatibu ndio maana watu kama Mondi na wengine walibahatika kupenya kwenye huu unyonyaji ingawa nao waliwachukua watu wa fitna ili waweze kusonga mbele

Nitaongea siku moja jinsi industry ya muziki ilivyo hapa Bongo baada ya kusahau msiba.

Mshana Jr najua unayafahamu haya na wala usimwite mtu aliyenyonywa kuwa ni mshindwa kwa kuwa maisha yanategemeana huwezi kuwa bilionea wa madini say Tanzanite bila kuwa na wachimbaji wadogo lakini haki inatakiwa iwepo kwa wote ili mwisho wa siku kila mtu apate anachostahili.

Nasikitika sana nikikutana na watu maarufu waliodulumiwa wakitaabika na kuomba omba wakati kuna watu wa kati wamefaidika
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]
IMG-20190228-WA0112.jpeg

Jr[emoji769]
 
Chief umewahi kua kwenye industry ya muziki!?!?
Ruge is guilty as charged, wanao lalamika sio WAPUUZI.
Yes kashinda lakini kwa kunyonya wanyonge.
Na point yako ya kusema maisha yao yabadilike sasa its too late walifanyiwa ubaya walipokua kwenye peak.
Kwasasa kupitia muziki hawawezi kunufaika na vipaji vyao.
Diamond wanamchukia kwakua alikataa ujinga wao.

Acheni watu watoe ya moyoni haijalishi wana nini.

Haiwezekani msanii umzungushe Tz yote kwenye show halafu umlipe laki tano then akihoji mnafungia nyimbo zake zisipigwe kwenye vituo vyenu kisa media yenu ndio lilipo soko la wasanii hao.
Qul al haqqa walau kana murran
 
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 nilijaribu kuingia kwenye sanaa ya muziki na maigizo... Nilikuwa mtunzi wa nyimbo pia.. Binti mmoja jina la kisanii alijiita Lattoya aliondoka na daftari zima la nyimbo (nilimpatia) lakini halikurudi wajanja wa wakati huo walimpiga.. Mwaka 2003/4 nikazisikia baadhi ya nyimbo zikipigwa radio one, zilikuwa zimebadilishwa kidogo mashairi... Lakini sikuwa na ushahidi nikapotezea
Wasanii wa maigizo wakati huo walikuwa wanakuja kwangu kufanya shooting... Nilikuwa na sitting room moja matata sana... Shopping yake nilifanyia south Africa na game hapa kwetu... Hivyo yalikuwa mazingira mazuri ya kufanyia shooting ya maigizo yao
Nilikuwa na usafiri by then baloon GX 90 moja kali sana... Waliitumia sana hii gari kufanyia shooting T 800 ABJ... Vingi niliwasaidia bure kabisa na hata kuwapa misaada midogo dogo
Wasanii (na hii ni hulka ya watu wengi) wanapokuwa underground na ushamba ushamba wao huwa very humble, heshima na adabu kama zote, kila utakachomwambia habishi
Unambrand mpaka anatakata na kuanza kuonekana kwenye vyombo vya habari na majukwaani... Hapo ndio wengine humuona na kuanza kumharibu... Naye bila kutafakari ametoka wapi... Huanza dharau na kujiona bora na kujifanya anajua kuliko wewe......
Nafikiri umepata idea kidogo juu ya mimi

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom