Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,620
- 860,796
Kwa hali ya kisiasa iliyopo Tanganyika kwaasasa chochote kinachoweza kutumika kuwaweka wananchi busy wasahau kwa muda mambo ya kisiasa kinatumika vilivyo na kwa ukubwa wake
Napo mwanzo wasanii na wanaoitwa watu maarufu walitumika vilivyo kuchepusha mada vilivyo kwa kutengeneza skendo za kila aina
Nyakati za wao kutumika zimeshapita na hawana impact tena.. Lakini bado mamlaka zinawahitaji watu wa kufanya haya mambo
Baada ya mauaji ya Oct 29 mambo yalizidi kuharibika na uhitaji wa kutengeneza drama ukawa mkubwa zaidi
Waislam walijaribu kuchonganishwa na Wakristo lakini hilo likapigwa chini haraka sana
Likaja la Wakatoliki wakajaribu kuchonganishwa wenyewe kwa wenyewe nalo likagonga mwamba
Likaja la Wakatoliki na Walutheri nalo likafa kifo cha asili
Sasa likageukia hili la Waislam kwa waislam.. Likatengenezwa bomu la Osataz Juma na Sheikh Kishki.. Hili limetrend kwa ukumbwa wake.. Mijadala yote ikasahaulika huo ndio ukawa mjadala uliobaki kwenye chart kwa muda mrefu
Hili likiwa linaelekea kupoa.. Likaibuka la kashfa ya Sheikh mkuu wa Dar kuzaa na binti wa kirundi na kisha kumtelekeza
Hili nalo likateka mitandao vilivyo mpaka kupeleka Sheikh kutumbuliwa
Bahati mbaya mno nadhani Waislam hawakuwa smart enough kuona ya kwamba wanatumika na mamlaka
Sasa hivi kuna makundi matatu
1. Kundi la Ostaz Juma
2. Kundi la Sheikh Kishki
3. Kundi lisilo na upande na linalobadilika kulingana na upepo
4. Kuna kundi la Binti aliyepewa mimba na Sheikh na kuna kundi linalomtetea Sheikh
5. Kuna kundi lisilo na upande. Ni bendera fuata upepo
Ndani ya imani moja wamefanikiwa kuwagawa kwenye makundi sita na ushee. Haya makundi sass yana support mpaka kwenye dini na watu wengine nje ya Uislam
Ukiangalia kwenye picha kubwa kuna mkandarasi wake kwenye haya yote na ANAJUKILIKNA!