Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

Mkuu tuachane kuzungumzia habari za Marahemu tuzungumzie walio hai na mfano mzuri umemzungumzia mkubwa Fela huyu ndugu anasifika kwa unyonyaji na ni ukweli uliowazi kuwa ni muibua vipaji mzuri lakini kuibua kwake vipaji hakumuondolei sifa yake ya unyonyaji

Mfano mzuri hata wale watoto kina Aslay aliilaghai mpaka jamii kuwa amewajengea nyumba kumbe hakuna lolote na ukumbuke kitu kimoja Mnyonyaji ndio anaetajirika kwa kasi na mvuja jasho huwa aambulii chochote cha mana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu...

Na wanamjua vizuri ila ni ule ule unafiki au kiki ...
ndio kinachofanyika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My brother,

Ruge wasn't doing some charity work. He was not a Red Cross messiah or something. Alikuwa anatafuta kama wengine. Ndo kitu wengi tunaongelea humu. The story is the same kuanzia Makinikia ya Barrick mpaka machinga na kitambulisho cha JPM. Au house girl nyumbani kwako au kwangu anayelipwa 50k!!! Au mfanyakazi wa Bakhresa anayepewa laki mbili na nusu ingawa boss wake ndo richest man in the country!! Hakuna anayefanya kazi ya madhabahu. Kila mtu anataka kuchomoza. And in the process lazima wengine waumie. It is a cruel world. Kumlaumu Ruge au Masanja kwa hilo tunawakosea.

Are you aware kwamba nesi wa mshahara wa laki mbili au tatu analipa kodi.. Mbunge na mafao yake ya mamilioni au namba moja mwenyewe halipi kodi? Where's our rage? Au kwa sababu na sisi we are part of that crime pattern? Kwa sababu na sisi tukipata hizo nafasi we will do the same!

My aunt served the country for 40 years kama nesi. Amestaafu, mafao hata 20M hayakufika! Where is our rage.

Hapa sijaribu kumtetea marehemu au wengineo. Point yangu tuangalie wider social and economic dynamics za mifumo yetu.

Mwisho wa siku kwenye hizi debates tunasahau ukweli kwamba ubepari ni unyama. Unfortunately we are all in the tent. Wakati tunawanyoshea vidole wengine.... Tusisahau na sisi tunategemea mifumo hiyo hiyo kuendesha maisha yetu.

Masanja
Words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masanja leo nasoma comment yako Feb 2020. Hakika umenena kama msomi. Tunaishi katika mfumo..... Big up Masanja.
Unapata milioni mbili kwa mwezi dada wa kazi unamlipa Tsh. 30,000. Kweli baba yako hakupoteza pesa bure kukupeleka shule.

Back
Top Bottom