Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Thank you God.Wote wametolewa kwa Dhamana.....
Thank you God.Wote wametolewa kwa Dhamana.....
Sasa upotoshaji uko wapi wakati unakubali yamefanyika makosa; ni kwamba:
a. Hakukuwa na maandamano?
b. Hayakuruhusiwa mwanzoni?
c. Hayakuzuiwa kwa vyombo vya habari?
d. Hawakuandamana kwa amani hadi Polisi walipoingilia kati?
e. Hakuna watu waliopigwa na Polisi
f. Hakuna watu waliouawa?
g. Hakuna watu waliojeruhiwa?
Ni vizuri kujaribu kusahihisha kile unachoona ni upotoshaji ili watu wawe na taarifa sahihi. Please sahihisha hizo taarifa potofu.
Hakikwanza, nadhani jamaa sio mvivu wa kufikiri, mvivu wa kufikiri ni yule mwenye fikra ila kufikiri ndio anafanya uvivu, asiye na fikra kabisa atakuwa vipi mvivu wa kufikiri?.We Shy naona u mvivu wa kufikiri na mgumu kuelewa. Hivi toka lini Tanzania ikaongozwa kwa misingi ya sheria? We huko makini kabisa.
FIKIRIA kabla ya kuleta jambo lolote lile hapa.