Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Serikali ilisema hakuna kuandamana ,fanyeni mkutano muchawanyike ,Je ni nani aliamuru kuvunja amri hiyo ya serikali ? Hao ndio wakushikwa ukosi ,sasa subirini mashtaka ya alievunja amri ya serikali maana kwanza ni kosa la jinai na linaweza kuwa la uhaini kutokana na habari za kiitelejensia ,hizo habari ni bado siri.
 
CCM ---- Mwaka huu ni wenu na huyo kilaza wenu anavyoboronga ndo mmekwisha by the way wanotaka kuwania urais 2015 kutoka CCm huyo mwendawazimu anatia kitumbua chenu mchanga lol
mkija kutuomba kura tutawauliza damu za ndugu zetu mliouwa kwa ulafi.... safi sana Hali ya CCm sasa iko mashakani..... :spider:
 
Serikali ilisema hakuna kuandamana ,fanyeni mkutano muchawanyike ,Je ni nani aliamuru kuvunja amri hiyo ya serikali ? Hao ndio wakushikwa ukosi ,sasa subirini mashtaka ya alievunja amri ya serikali maana kwanza ni kosa la jinai na linaweza kuwa la uhaini kutokana na habari za kiitelejensia ,hizo habari ni bado siri.

ma Inteligensia wapi hao wa Lowassa aliomwaga huko ndani?? kwa hiyo wangekodisha magari yawashushe kwenye mkutano na parking zingetoka wapi... Mlijua tu kule tungejua siri zenu na dowans ngojeni muone... mwambie Boss wako Kikwete asirudie Tena akirudia na sis tutaanza na Ndugu zao ili tulie woteeeeeeeeeeeee
 
Nani aliyewahi kusema kuwa moto wa mabadiliko unaweza kuzimwa kwa pingu au kwa risasi? Walishindwa makaburu wa Afrika ya Kusini na wameshindwa Waisraeli. CCM haiwezi kujihakikishia usalama wake madarakani kwa kutumia risasi. Hapana haiwezekani.[/QUOTE

Siku zote nimekuwa nikimwita Kikwete ni Dictoter na watu hawakuelewa,ni mtu mnayemuita kiongozi asiyejiamini katika mambo anayoyafanya,hii hali inampelekea kutumia amri na nguvu za kimwili zaidi.

Roho za watu waliokufa nimewashuhudia mwenyewe,majeruhi wa silaha za moto hawakuwa na idadi ,lakini neno ni moja tu hakuna kulala mpaka kieleweke.

wote mnaobeza na kutuhumu kilichofanyika,siwalaumu kwakuwa uwezo wenu wa kufikiri umefikia hapo.Lakini siku inakuja kitaeleweka.

Kitendo hiki kimetupa nguvu mpya.

R.I.P kwa wote waliopoteza maisha yao.
 
ukiona mtu anadai walioandamana ni vibaka na eti wafuasi wa kanisa ujue amelewa cocaine ya DIVIDE AND RULE,Technique ya kizamaniiiiiiiiii!
 
mwendo mdundo Tunasubiri kwa hamu maandamano dar? lazima kielewekee........
hao polisi ccm itakula kwao
 
Police shot dead two anti-government protesters in Tanzania and arrested at least 10 leading opposition figures during a violent political demonstration, a senior police official said on Thursday.
Riot police fired at crowds of opposition supporters in the northern town of Arusha on Wednesday after the authorities banned their rally.
Opposition leader Willibrod Slaa, who ran in last year's disputed presidential election, was among those detained. His Chadema party spoke of a deliberate crackdown on the opposition.
"Two people died ... after being shot by the police while trying to forcefully invade a police station to free their colleagues who were arrested," Arusha Regional Police Commander Thobias Andengenye told Reuters.
Police arrested 49 people in total, including Chadema's chairman, Freeman Mbowe, and at least four opposition lawmakers.
The detained opposition leaders were later charged in court and released on bail.
"All those who were arrested by the police, including Chadema leaders and our supporters, were charged with unlawful assembly and were subsequently released on bail," Chadema's acting secretary-general, John Mnyika, told Reuters.
Following his release, Slaa accompanied by other Chadema leaders visited a local hospital where a dozen opposition supporters were admitted with gunshot wounds and other injuries.

Tanzanian police kill two rioters, seize leaders | Top News | Reuters
 
It is high time now jumuiya za kimataifa ziingilie huu unyama wa polis na serikali ya CCM na kuwaadibisha mana local institution zinazohusika na haki za binadam zimeshindwa kupambana na hii serikali kandamizi
 
shame on C.C.M and Kikwete government for killings of innocent Tanzanians in Arusha...free Chadema leaders.
 
kama raisi ametamka nini ju hili,hivi awa wanaccm wanangangania nini hicho chama chakinyama ,jumuia za kimataifa ziko wapi,,,,,,,,,,,kwa ninavyojua police kama mlinzi wa raia na malizake wanatunia nguvu sawa na mhalifu...kama mhalifu ana silaha nao ndipo wanapolazimika kutumia silaha,,,,,sio kuua kama wapo vitani.......hatujifunzi kwa wenzetu huwezi kuta polisi ana bunduki katika viwanja vya mipira....lakini hapa je?hivi tanzania kuna machafuko ya kutumia silaha kutawanyisha watu....................ingekuwa rwanda/somalia si vita kabisa hiyo............shaim on you ccm.kikwete,kwa kulifumbia macho....................tunataka wawajibishwe
 
Hawa BBC kumbe nao Wehu jana walisema 10 leo wawili au ni

Jana 10 +leo 10= Jumla 12

au nini hapa.
 
Taarifa za habari za vyombo vya kimataifa zinategemea vyanzo rasmi on the ground
Unfortunately,chanzo pekee cha "kuaminika" ktk sakata hili ni Polisi
Kamanda wa POLISI wa Mkoa ndiye aliyetoa idadi ya waliouawa na POLISI.This is not rocket science:LAZIMA IDADI ITAMINYWA.Tusubiri assessment ya independent (and reliable) sources.Tusisahau kuwa hata idadi ya waliozama na MV Bukoba ilichakachuliwa just like ktk incidents za Mwembechai na Zanzibar.
 
Serikali inayomiliki jeshi la police limeua kwa makusudi baadhi ya wakazi wa Arusha.Hili limesibitishwa na mganga wa hospital ya mkoa kua kati ya watu waliokufa wawili walipigwa risasi.Hii haina tofauti sana na mauaji yaliyotokea kenya,IveryCoast n.k.Lakini kwa nini police waue raiya ambao hawana hatia?Je kuandamana tu kunatosha kutoa uhai wa mtu?Serikali ya CCM inataka kutufikisha wapi?Wangeamua kuwaacha waandamane wapunguza nini?Wananchi wawe macho na jeshi la police,badala ya kulinda amani na uhai wa watu limeamua kuua.


Jamani nimeshuhudia kwa macho yangu wapambanaji wawili waliofia polisi na polisi kuficha miili yao,na nilipo kuwa katika emergency reception ndugu zetu wanne walikufa mbele ya macho yangu wakipishana dakika chache,ushahidi huu ninao na nilianzisha vita upya na polisi.asubuhi nikiwa wodini nililetewa taarifa majerui wetu mwingine amefariki mapema asubuhi ,tayari hao ni sita nilioshuhudia sasa wawili ni wepi?kwanini tudanganywe ? Hakuna polisi aliye fariki dunia jamani madakitari au niseme watumishi wa umma walio wengi wanapenda move ya chadema hivyo taarifa zote ziko wazi,Saidi Mwema usiwadanganye wananchi pamoja na RPC wako,kati ya watu waliona LIve ni mimi sitadanganyika mpaka kieleweke umepewa taarifa tu. IGP ni wakati sasa wa kuwa mkweli kwani ipo maakama itakayo tenda haki na tena ukiwa hai.

Asubuhi RPC alitoa amri kwa mganga mkuu kwamba asitoe taarifa habari kwa waandishi wa habari,hata wale waliokuja kutaka kuniona walifukuza nikiwaona kwa macho yangu na polisi waliokuwa wakinilinda,ndugu zangu haya yanamwisho.

Damu ya mtu haimwagiki bure,
 
Jamani nimeshuhudia kwa macho yangu wapambanaji wawili waliofia polisi na polisi kuficha miili yao,na nilipo kuwa katika emergency reception ndugu zetu wanne walikufa mbele ya macho yangu wakipishana dakika chache,ushahidi huu ninao na nilianzisha vita upya na polisi.asubuhi nikiwa wodini nililetewa taarifa majerui wetu mwingine amefariki mapema asubuhi ,tayari hao ni sita Damu ya mtu haimwagiki bure,

Mkuu hizo habari inabidi uwajulishe watu... na kila mtu atakayekusikiliza, pia hata Taasisi za Haki za Binadamu pia unaweza ukawasiliana na Chadema ukawapa hizi habari ili nao wasijumlishe katika tamko lao...
 
Two people died ... after being shot by the police while trying to forcefully invade a police station to free their colleagues who were arrested," Arusha Regional Police Commander Thobias Andengenye told Reuters

Jamani kabisa huyu mkuu wa polisi anasema kwamba polisi wametupia risasi.
 
Jamani nimeshuhudia kwa macho yangu wapambanaji wawili waliofia polisi na polisi kuficha miili yao,na nilipo kuwa katika emergency reception ndugu zetu wanne walikufa mbele ya macho yangu wakipishana dakika chache,ushahidi huu ninao na nilianzisha vita upya na polisi.asubuhi nikiwa wodini nililetewa taarifa majerui wetu mwingine amefariki mapema asubuhi ,tayari hao ni sita nilioshuhudia sasa wawili ni wepi?kwanini tudanganywe ? Hakuna polisi aliye fariki dunia jamani madakitari au niseme watumishi wa umma walio wengi wanapenda move ya chadema hivyo taarifa zote ziko wazi,Saidi Mwema usiwadanganye wananchi pamoja na RPC wako,kati ya watu waliona LIve ni mimi sitadanganyika mpaka kieleweke umepewa taarifa tu. IGP ni wakati sasa wa kuwa mkweli kwani ipo maakama itakayo tenda haki na tena ukiwa hai.

Asubuhi RPC alitoa amri kwa mganga mkuu kwamba asitoe taarifa habari kwa waandishi wa habari,hata wale waliokuja kutaka kuniona walifukuza nikiwaona kwa macho yangu na polisi waliokuwa wakinilinda,ndugu zangu haya yanamwisho.

Damu ya mtu haimwagiki bure,
Pole first lady kwa hiyo hadi hapo tuna watu sita. Hata kama polisi hawataki kusema kweli tayari habari zimeshafika zinakotakiwa!
Yuko wapi kamanda wetu Dr Slaa? Bado wamemshikiria? Dunia yote jana ilishuhudia ukivuja damu ya amani! Kabla vumbi halijaturia Mwema na huyo juha wa hapo Arusha wafunguliwe mashitaka. Ikishindikana tutawapa natural justice wao na familia zao hata ipite miaka 5!
Kama ni vizuri kuona wengine wana mourn kwa nini na wao wasi mourn?
 
Back
Top Bottom