Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Vita vya Maji Maji viliuwa appr. 500k people; Watu laki tano ilikuwa percentage kubwa sana ya population ya Tanganyika wakati ule!
Kila kitu kina mwanzo na sacrifice. Matokeo ya utawala bora kutokana na protest yatafaidisha kila mtu hata hao "innocent na poor"
Kwa hiyo ilitakiwa ufe wewe ili sisi tufaidi. Siyo yeye au wale. Yaani kama angekufa Slaa au Mbowe inge-make sense sana. Na si watu wasio na uwezo wa kufikiria na kujiamulia mambo yao. Wanaodanganywa.
Mbaya sana hii kwa nchii hii