Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Nasaha ilishatolewa kuwa CDM wasiandamane kwani kutatokea uvunjifu wa amani na tumeona yaliyotokea! ni uporaji, kuchoma magari na maduka moto! sasa sidhani kama ingekuwa sawa Serikali kuachia maandamano hayo yaendelee!!! wao waliruhusiwa kufanya mkutano lakini maandamano hayakuruhusiwa sasa nani wa kubeba lawama?
Kikwete na serikali yake ndio wanaopaswa kubeba lawama. Kuna uhuru wa kukusanyika Tanzania na serikali haina haki ya kuzuia uhuru huo. Kazi yao ni kulinda amani kuhakikisha mkusanyiko unafanyika kwa amani. na Hufanyi hivyo kwa kufyatua risasi za moto. Kikwete has to go!
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!

Watanzania Hakuna Kitu Kinaonyesha CCM Wanawasikiliza Watanzania? Kuitisha Maandamano Sio Kuanzisha Vita. Naona Wale Wasiojua Mapinduzi ya Amani Wanaanza Kubadilisha Maneno ya Ajabu. Watanzania Tunataka Kuandamana na Kuonyesha Kupinga "Mauaji Arusha na Kutaka Hiki Kitendo Kisirudiwe Tena" Kutaka Matokeo Yote ya Uchaguzi Yafutwe" Kutaka Dowans Isilipwe na Pesa za Wananchi" Nchi Haina Raisi na JK Hakuchaguliwa na Unataka Chadema Waongee na Nani? Wananchi Tuangalie Ivory Coast na Nchi Zingine Uwezekano wa Kupata Haki kwa Amani Upo na Maandamano ni Haki Yetu na Yanatupa Nafasi ya Kuonyesha Jinsi Gani Hatuwataki CCM.

"Tusifikiri CCM Wataondoka Kirahisi, Tuangalie Mugabe, Museveni, KIbaki Kama Wanaondoka Kirahisi" Hakuna Mahakama Wala Katiba Yao Itawaondoa
 
Mashujaa? Ushujaa wa nini? Hao ni waporaji, vibaka na wafanya fujo. Na nna uhakika wote ni wafuasi wa kanisa fulani kama ulivyo wewe.

Inaeleka ubongo wako haukupi ushirikiano kabisa pole saana kwa hilo

Yaani wewe garama za maisha zinavyopanda kila kukicha huoni kabisa, Ili uhuru kamili uwepo lazima haki itendeke kwa kila raia,,,,, Kumbuka ilikuwa ni haki yao ya kikatiba,,,,,,,, na walikuwa hawana silaha na wala sio wao walioanzisha fujo hilo hukuliona,,,,,,,,,,,,Ndugu zetu Waakenya walionewa, waliuwawa na kutesa kwa zaidi ya miaka 27,,,,hawakukata tamaa leo wanafurahia matunda ya mapambano,,,,Bolivia serekali ilitaka kuondoa Subsidy kwenye mafuta nchi nzima ililipuka kwa maandamano hatimaye serekali ilifyata mkia,,,,,,,,ni swala la muda tu naamini tunakaribia hapo

Nyie ambao mpo kwenye giza endeleeni kulala tu usingizi mtakapo amka mtaikuta Tanzania mpya
 
PG, huyu ni fisadi ndiyo maana hajali ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania wengi, yeye kila kukicha ni kutetea mafisadi tu.
 
Mashujaa? Ushujaa wa nini? Hao ni waporaji, vibaka na wafanya fujo. Na nna uhakika wote ni wafuasi wa kanisa fulani kama ulivyo wewe.

Kweli Maskini Kichwani Huyo. Unaona Akifa Maskini ni Vizuri na Haitaji Kuishi Kama Wewe? Wewe Unahaki Gani Ulipewa? Kuwa Kibaka Sio Binadamu? Endeleza Fikra Zako za Maendeleo Huko Huko CCM na Tumesha Wachoka na Hatuwataki na Sera Zenu za Dowans
Shujaa ni Rostam Aziz, JK, Mkapa, Lowasa, Chenge, na Mafisadi Sio?

"Kumi ni Mashujaa wa Watanzania"
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!

kwa nini usishauri wanaoua....how are u ..one of them?
 
Katika viongozi wa chadema waliobaki pamoja na zitto huu unyama unaoendelea Arusha naomba viongozi wa CDM katika majimbo yao watoe tamko sisi tuko tayari kuokoa watanzania wenzetu kuuwa na mafisadi bila ya hatia

Zitto onyesha ukomavu wako toa tamko

Tundi Lissu toa Tamko

Mnyika Toa Tamko tuanzae ubungo

Shitamnbala toa tamko

Mdee toa tamko

Hatuwezi kukubali mafisadi kuwabaka Raia

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::smash::smash::smash::smash::smash::smash:
 
kwa nini usishauri wanaoua....how are u ..one of them?

Mimi nawashauri Wananchi wote wanaoipenda TZ naomba tuache kuchochea chuki na kuweka hamasa za kisiasa mbele badala ya utaifa kwanza! wananchi waliokufa Arusha ni Raia wetu watukufu miongoni mwao wako Askari wetu waliopoteza maisha yao wakiwa ktk utumishi wa umma! hivyo mimi nalaani mauaji yote yanayofanyika kinyume cha sheria! kwani mauaji halali ni yale yanayopitishwa mahakamani kwa mtu aliefanya kosa la mauaji!

lakini wakati huo huo siungi mkono kuchochea fujo na vurugu ili kufidia hasara za kisiasa! bila shaka machafuko ya Arusha yamesababishwa na CDM kutaka diwani wao awe meya wa Arusha! sasa naona si haki kabisa kwa viongozi wa CDM kushinikiza maandamano haramu kwa faida za kisiasa huku wakijua kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani kama tulivyoona vibaka wakipora maduka na kuchoma moto mali za Wananchi! hii ni kinyume kabisa na ahadi za Viongozi wetu wa upinzani kuwa hawako tayari kuwa viongozi huku damu za Wananchi zikimwagika!
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!

COPY AND PASTE HAITASADIA CHOCHOTE

m**se**nge we
 
Mimi nawashauri Wananchi wote wanaoipenda TZ naomba tuache kuchochea chuki na kuweka hamasa za kisiasa mbele badala ya utaifa kwanza! wananchi waliokufa Arusha ni Raia wetu watukufu miongoni mwao wako Askari wetu waliopoteza maisha yao wakiwa ktk utumishi wa umma! hivyo mimi nalaani mauaji yote yanayofanyika kinyume cha sheria! kwani mauaji halali ni yale yanayopitishwa mahakamani kwa mtu aliefanya kosa la mauaji!

lakini wakati huo huo siungi mkono kuchochea fujo na vurugu ili kufidia hasara za kisiasa! bila shaka machafuko ya Arusha yamesababishwa na CDM kutaka diwani wao awe meya wa Arusha! sasa naona si haki kabisa kwa viongozi wa CDM kushinikiza maandamano haramu kwa faida za kisiasa huku wakijua kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani kama tulivyoona vibaka wakipora maduka na kuchoma moto mali za Wananchi! hii ni kinyume kabisa na ahadi za Viongozi wetu wa upinzani kuwa hawako tayari kuwa viongozi huku damu za Wananchi zikimwagika!
Wakati inakuwa rahisi kwako kulaumu CDM sijakusikia ukilaumu ubabe wa CCM wa kupitisha meya wao Arusha kinyume na kanuni. Ukitaka utawala wa kisheria ni lazima ufuate kanuni za kisheria. Usitudanganye hapa.
 
Naomba sana wanaCCM na hasa swahiba Kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. Arusha is the Geneva of africa... they would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... while allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. EAF's hub is arusha, i cant imagine how Kenyans are smiling right now

While you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

How wrong did the government go on this? no one knows

basilio matei did his job professionally.he correctly advised his seniours about arusha political enviroment.jk alimuona mjinga na kumuhamisha sasa atajuta.image ya arusha kiusalama ilikuwa mbaya,its very sad inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Tuko Radhi kutoa hadi senti yetu ya mwisho kuzichangia familia za hawa Mashujaa waliouwawa wakilipigania Taifa kulikomboa kutoka ktk huu UIMLA wa ccm na Jk uliovuka mipaka.Viongozi wa Chadema wafuatilie hili swala nakutoa utaratibu wa hili swala,Katika siku ya Mazishi viongozi wa Chadema waratibu shughuli nzima nakushiriki kikamilifu huku Wana Arusha wote mkiwaunga mkono kuwahifadhi hawa wapendwa wote.
 
Wakati inakuwa rahisi kwako kulaumu CDM sijakusikia ukilaumu ubabe wa CCM wa kupitisha meya wao Arusha kinyume na kanuni. Ukitaka utawala wa kisheria ni lazima ufuate kanuni za kisheria. Usitudanganye hapa.

La hasha siungi mkono ubabe wa CCM wa kupitisha meya wao kinyume cha sheria au kanuni kama unavyosema bali nachosisitiza ni kuwa tusitumie njia za mkato kudai madai yetu ya msingi kwani kufanya hivyo hasara zake ni kubwa zaidi kuliko faida! kwa sababu tutatoa nafasi kwa adui kutumia chance!

Kweli CCM ni wababe lakini tunatakiwa kuwa waangalifu zaidi ili tusisababishe taifa kuangamia kwa sababu za hasira! kulikuwa hakuna umuhimu wa kulazimisha maandamano kwa faida ya mtu mmoja tu anaetaka kuwa meya wa Arusha na kusababisha damu ya wananchi imwagike!
 
COPY AND PASTE HAITASADIA CHOCHOTE

m**se**nge we

Tanzania ni ya wa TZ wote sio ya chama fulani au watu fulani tu! hatuwezi kukubali nchi yetu isambaratike tu kwa sababu chama fulani kinataka madaraka kwa hali yoyote ile hata kama ni kumwaga damu ya wananchi!
Kwa mimi Taifa langu kwanza halafu ushabiki wa kisiasa nyuma!
nashukuru kwa matusi wala sishangai kwani hii ndio tabia mlionayo nyinyi watu wa fujo!!!!
 
Kwa hiyo a Askari waliouwawa ni Vibaka??? thinks Twice otherwise kama unakula fedha ya ccm u are right then! Remember ni ndugu zetu waliouwawa may be tomorrow who knowsss

Back
Top Bottom