Ya Mwigulu Nchemba kupambana na Simba na chui na kuwashinda ilikuwa na umuhimu gani kuyasema? Hakuna anayetaka kumdhuru. Ni yeye tu!

field marshall1

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
1,553
Reaction score
3,515
Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo.

Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600 wakati wenye petrol station walisema 96, idadi ya magari ya serikali na pikipiki na maduka ziliongezwa na hao hao akina Mwigulu Nchemba ili kuonyesha 'magnitude" ya uharibifu.

Kumsaidia tu huyo waziri mkuu aliyewekwa na serikali isiyo halali ni kwamba, Basi aache kuwakumbusha watu waliopoteza ndugu zao machungu kwa hayo waliyowafanyia na serikali yao ambayo haikuchaguliwa ya Idi Amin Mama.

Huyu Mwigulu mdogo utamponza, Hivi huyu wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani si ndiyo kipindi hiki walipatikana watu wengi wakiwa wametupwa mitoni?

YEYE AKASEMA NI RAIA WA ETHIOPIA. Sasa kama ni raia wa Ethiopia, je walirudishwa kwao? Kwani huo si ndiyo utaratibu? Angalia atadaiwa na serikali ya Ethiopia halafu kutakuwa na mgogoro.

Kwani taratibu za kupata maiti katika nchi yako...inasemaje?

Navyoelewa na ndiyo utaratibu ulivyo
Inapaswa serikali ya akina Mwigulu iwasiliane na serikali ya Ethiopia na irudishe miili yao.

Mwigulu na wenzake hawakurudisha miili ya wakimbizi wa ki-ethiopia. Hapo tayari mgogoro.

Sasa leo anaota hapendwi!.....Offcourse, nani anawapenda ninyi wauaji mkiongozwa na hilo mama lenu lenye sura ya ajabu ajabu?

Hatuwapendi wote....Na kawaida kama hatuwapendi, hampaswi kutuongoza, kwa sababu kwanza hamkushinda na pili ninyi siyo watu wazuri.

Kwa kumshauri tu, ni kwamba aache kupiga domo.
 
umeongea vyema sana sema haya mazero hayatakuelewa
 
Back
Top Bottom