Ya MV Dar es Salaam kujirudia kwa Dreamliner?

Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
Haina noma Mkuu,
Maana ikitokea hii ndege ikawa kimeo itakabidhiwa tu kwa Jeshi kisha kuijadili itakua ni sawa na kujadili maswala nyeti ya ulinzi na usalama, kwa hiyo mjadala utakua umeishia hapo.
 
Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.

1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.

2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.

3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.

4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Akili yako ipo kwenye tako badala ya kichwani
 
Hata mv Dar es salaam ilikuwa inafanya safari zake lkn ilikuwa inatumia masaa matatu hadi manne Kivukoni - Bagamoyo wakati daladala linatumia saa moja na nusu tu pamoja na kusimama vituoni.
Mkuu hata Wa baiskeli alikuwa anatumia chini ya SAA mbili kwenda. Yaani unampakia MTU kwenye hiyo MV Sizonje halafu unapanda baiskeli kwenda Bagamoyo kwenda kumpokea
 
Maadui Wakuu Wa Tanzania Ni :
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.

Kwa wajuvi wa mambo ya aviation, ndege mpya zilizotoka kiwandani kwa kawaida ndiyo zinaongoza kwa kuwa na hitilifu. Ndege salama ni ile iliyo accumulate many flights hours na ikakarabatiwa mapungufu yake yote kwa kipindi hicho. Ndege siyo kama gari. The more flight hours an aircraft has, the safer it is generally considered long as it has undegone all necessary and obligatory maintenance and safety checks in its lifetime.
 
Subiri kupimwa mkojo
 
Utawapata wa type yako mkuu siyo Quinine.
 
Mwisho uko karibu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1551108558076.jpeg

Jr[emoji769]
 
Utawapata wa type yako mkuu siyo Quinine.
Type ya ignoramus? Your thinking is clouded by ignorance, bias and half-truths. I was expecting you would come up with something with minimal resemblance to objectiveness to counter my claim, instead you've resorted to taarabu. You ain't shit.
 
Kwahiyo unamaanisha Ndege inatengenezwa kadri inavyofanya safari, [emoji848] au kuna mahali sijaelewa, yani kadri inavyoharibika na kutengenezwa ndivyo inazidi kua bora zaidi..?

Kweli duniani mapompoma hayawezi kuisha.
Kwa wajuvi wa mambo ya aviation, ndege mpya zilizotoka kiwandani kwa kawaida ndiyo zinaongoza kwa kuwa na hitilifu. Ndege salama ni ile iliyo accumulate many flights hours na ikakarabatiwa mapungufu yake yote kwa kipindi hicho. Ndege siyo kama gari. The more flight hours an aircraft has, the safer it is generally considered long as it has undegone all necessary and obligatory maintenance and safety checks in its lifetime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unamaanisha Ndege inatengenezwa kadri inavyofanya safari, [emoji848] au kuna mahali sijaelewa, yani kadri inavyoharibika na kutengenezwa ndivyo inazidi kua bora zaidi..?

Kweli duniani mapompoma hayawezi kuisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi mapungufu ya ndege mpya yanavyozidi kurekebishwa ndiyo salama ndege inakuwa kadiri inavyoendelea kutumika. Wewe uje na ushahidi kama unapinga hoja siyo matusi.
 
Unapoona kila ndege inapokuja MaTv yanawashwa na viongozi wa dini wanaitwa kila mara, fungua macho ya rohoni utaelewa tu!
 
Back
Top Bottom