Ya MV Dar es Salaam kujirudia kwa Dreamliner?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,721
Reaction score
62,844
Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
 
Mchochezi wewe unapinga maendeleo ya awamu ya tano, upendi inchi iendelee

Tumeanza na kuomdoa channel baadhi katika ving'amuzi ili muangalie TBC tu muwe wazalendo ila tunaona bado sasa dawa yenu kuwazimia data kwa Siku tutawasha data usiku tu kuanzi SAA sita usiku mpaka SAA kumi na mbili asubuhi ili mpate muda wakupumzika muache kupinga maendeleo ya inchi

Ila jamani jiwe linatunyoosha dah.
 
😀😀😀😀😀
 
Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.

1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.

2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.

3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.

4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
 
Hayo unahoji upo usingizini au bado hujanywa chai
Tuanzie namba nne wewe unanyumba na unajuwa gharama za ujenzi usikute unabisha bado unakula kwa wazazi yani hujui masikitiko na maumivu ya kuishi nyumba za kupanga ( au umekulia nyumba za mboga nane ukianza maisha na nyumba unapewa huja kutokwa jasho)
Nyie ndio mnafanya taifa lisikue kwa maoni mgando huna logic watu tunataka tukue kiuchumi kupitia vipaumbele vyetu ambavyo kilimo ndio uti wa mgongo hivi ni wa TZ wangapi wanapanda hizo ndege jaribu kufikiri ndani ya box usiongee bila kuwa na logic
 
Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
Cc:Jay one
 
Mchochezi wewe unapinga maendeleo ya awamu ya tano, upendi inchi iendelee

Tumeanza na kuomdoa channel baadhi katika ving'amuzi ili muangalie TBC tu muwe wazalendo ila tunaona bado sasa dawa yenu kuwazimia data kwa Siku tutawasha data usiku tu kuanzi SAA sita usiku mpaka SAA kumi na mbili asubuhi ili mpate muda wakupumzika muache kupinga maendeleo ya inchi

Ila jamani jiwe linatunyoosha dah.
Mungu yupo nasi hawezi kututupa waja wake
 
Back
Top Bottom