Ya MV Dar es Salaam kujirudia kwa Dreamliner?

Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
Kwani mkuu wasiwasi wako ni wa nini? Kama ilivyokuwa kwa MV Dar es Salaam, hii ndege kama itaonekana ina hitilafu itakabidhiwa kwa jeshi,itakuwa ni kifaa cha jeshi kama vilivyo vifaru na hatutaruhusiwa kujadili kifaa cha jeshi. Basi,maisha yataendelea
 
Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.

1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.

2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.

3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.

4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Eti bwana duu,kitu kidigo tu Wi-Fi wanapiga keleleeeee
 
Hayo unahoji upo usingizini au bado hujanywa chai
Tuanzie namba nne wewe unanyumba na unajuwa gharama za ujenzi usikute unabisha bado unakula kwa wazazi yani hujui masikitiko na maumivu ya kuishi nyumba za kupanga ( au umekulia nyumba za mboga nane ukianza maisha na nyumba unapewa huja kutokwa jasho)
Nyie ndio mnafanya taifa lisikue kwa maoni mgando huna logic watu tunataka tukue kiuchumi kupitia vipaumbele vyetu ambavyo kilimo ndio uti wa mgongo hivi ni wa TZ wangapi wanapanda hizo ndege jaribu kufikiri ndani ya box usiongee bila kuwa na logic
Huyo yupo ndani ya box la Wi-Fi
 
Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.

1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.

2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.

3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.

4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Wewe endelea kuhoji vyama sisi wengine tunahoji masuala ya kitaifa zaidi yanayohusu uchumi na jamii nzima.

Halafu ulishawahi kuhoji kwanini mkiti wa CCM huwa anagombea na kivuli.
 
Kuna picha nimeziona wamefungua mashine ya kulia sasa wi fi ina uhusiano gani na mashine maana tuliambiwa wanarekebisha wi fi
Tekenolojia imekuwa mkuu, Wi-Fi za hilo li dirimu laina ni lakisasa kabisa hivyo hata huyo wifi yake yupo kisasa zaidi, yaani ameunganishaa na injini
 
Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.

1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.

2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.

3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.

4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Yani hii pumba hata kama mimi ndo nimgekua mtoa 7000 leo ungelala njaa mkuu.
 
Mbona leo imetua hapa Kia/ Kilimanjalo
Issue siyo kwamba hairuki, issue ni kwanini itengenezwe baada ya kuruka masaa machache, halafu day one walisema Wi-fi inafunguka baada ya lisaa limoja kwakua inatumia satellite, sasa cha kujiuliza ni MATENGENEZO YAMEHUSISHA KURUSHA SATELLITE YETU itakayokuwa na uwezo wa kufungua Wi-Fi during boarding time?
 
Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
siyo dalili ni tayari tumepigwa mjomba , we umeona wapi WIFI inaunganishwa kwenye oil ?
 
Mkuu nikuulize swali je vyama vya upinzani vinawajibika kwa kila mwananchi?? Serikali inawajibika kwa kila mwananchi na tuna haki ya kuihoji serikali kwakuwa ipo kwa ajili ya wananchi wote na tunalipa kodi kuifanya iweze kujiendesha so tuna haki yakuhoji kila kitu coz hizo vitu vyote wanavyofanya hawatoi hela zao mfukoni ni hela zetuu.
 
Tulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.

Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.

Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.

Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.

Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
Wakati ni hakimu MZURI na daima uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi...
 
Back
Top Bottom