zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,361
- 9,881
Mambo ya wataalam hayo mkuu, ndo maana nataka mtoto wangu asomee utaalam wa siasa [emoji12]tena kwenye oil !
Mambo ya wataalam hayo mkuu, ndo maana nataka mtoto wangu asomee utaalam wa siasa [emoji12]tena kwenye oil !
Wifi ina umuhimu gani kwenye ndegeKuna picha nimeziona wamefungua mashine ya kulia sasa wi fi ina uhusiano gani na mashine maana tuliambiwa wanarekebisha wi fi
😱😱😱😱😱😱😱unamaanisha siku siku nyingi dreamliner kitakuwa ni "kifaa cha jeshi?".
Na ndicho wengine tumekuwa tunasisitiza, kama mtu ana nia njema kwanini asifuate sheria za manunuzi? Mbona taratibu za procurement ziko wazi kabisa..Kwanini mpango wa manunuzi usiwe kwenye bajeti iliyoridhiwa na bunge? Kwanini CAG hakuruhusiwa kukagua haya manunuzi?..yaani sijui tuna matatizo ganiUkiona mtu anafanya manunuzi bila kuzingatia sheria ya manunuzi,ujue ana lake jambo.
Maswali fikirishi sana haya.Na ndicho wengine tumekuwa tunasisitiza, kama mtu ana nia njema kwanini asifuate sheria za manunuzi? Mbona taratibu za procurement ziko wazi kabisa..Kwanini mpango wa manunuzi usiwe kwenye bajeti iliyoridhiwa na bunge? Kwanini CAG hakuruhusiwa kukagua haya manunuzi?..yaani sijui tuna matatizo gani
Hahahaaaa......bongo bahati mbaya.unamaanisha siku siku nyingi dreamliner kitakuwa ni "kifaa cha jeshi?".
Una ufahamu mdogo kiasi nahisi hata nikukuuliza ww ni jinsia gani hujui jinsia yako.Wasomi wa upinzani wanas. ikitisha sana.
1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.
2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.
3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.
4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Ccm ni wakoloni weusiTulipokuwa tunawaambia na wabunge hasa wa upinzani kuwa ununuzi wa kivuko cha mv Dar es salaam uligubikwa na ufisadi, tulibezwa sana, wataalamu wakasema hicho kivuko ni kikuu kuu, kina Zitto waliambulia matusi ya ajabu na kuambiwa sio wazalendo.
Lakini muda ulipofika kila mtu anajua kilichotokea sina haja ya kusimulia zaidi.
Leo tena ndani ya kipindi cha miaka miwili tumenunua ndege 7 tayari nne zimeshawasili, lkn mazingira ya ununuzi wake hayana tofauti sana na ununuzi wa iliyokuwa mv Dar es salaam.
Tayari ndege mbili kati ya nne zimeonekana zina hitilafu, tunapohoji upya wa hizi ndege, tunabezwa, tunaambiwa siyo wazalendo, ajabu wanaotubeza ni wale wale waliotubeza tulipohoji ubora wa kivuko cha Bagamoyo, sijui kwanini huwa hawajifunzi.
Mimi siyo mtabiri lakini naona dalili zote za iliyokuwa Mv Dar es salaam kujirudia kwa Dreamliner.
tuongelee hiyo avatar yako kwanza, dreamliner itafata badaeHii nchi wajinga ni wengi sana kuliko wereva. Ndio maana viroja haviishi
Kwan ina nini mkuu?tuongelee hiyo avatar yako kwanza, dreamliner itafata badae
WiFi inafanya Kazi vizuri ikiunganishwa kwenye injini ya kulia, subirini matengenezo yakimalizika muone dreamliner itakavyokuwa bombaDKuna picha nimeziona wamefungua mashine ya kulia sasa wi fi ina uhusiano gani na mashine maana tuliambiwa wanarekebisha wi fi
chadema sio nchi chadema ni taasisi ya watu,ila dreamliner inahusu nchi pesa na rasilimali zake,wasomi wengine mbona mnapenda kutetea uozo.Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.
1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.
2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.
3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.
4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
na huyo wifi lazima ataitwa mwajuma.Tekenolojia imekuwa mkuu, Wi-Fi za hilo li dirimu laina ni lakisasa kabisa hivyo hata huyo wifi yake yupo kisasa zaidi, yaani ameunganishaa na injini
Au Joketena huyo wifi lazima ataitwa mwajuma.
unachagua wakuu waliouza nyapu halafu unataka maendeleo hii nchi hii bora tungepigia kura mbuzi.Au Jokete
Masaa 3 baada ya comment yako hii ya kitoto hakuna aliyekusapoti kuonesha kuwa hata misukule wenzio wamekupuuza. Watanzania wanahoji matumizi ya fedha za serikali kwanza kama watanzania. Wewe unataka wahoji vyama kabla ya utanzania wao, uzuzu huo.Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.