- Thread starter
- #101
Duh! huyu Gado angekuwa Tanzania tungeshamsahau.
Duh! huyu Gado angekuwa Tanzania tungeshamsahau.
Which objectives, Boeing siyo wajinga watengeneze ndege mpya isiyo na ubora halafu wategemee ubora kuongezeka kadri ndege inavyoharibika na kutengenezwa. Unbelievable.Type ya ignoramus? Your thinking is clouded by ignorance, bias and half-truths. I was expecting you would come up with something with minimal resemblance to objectiveness to counter my claim, instead you've resorted to taarabu. You ain't shit.
Maadui Wakuu Wa Tanzania Ni :
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
Ndio maana chama kinawekeza kwa watu wa aina yako. Chadema unadhani wanaweza kufanyia mkutano ikulu?Wasomi wa upinzani wanasikitisha sana.
1. Hawajisumbui kuhoji kwa nini kamati kuu ya chadema kila mara wanafanyia vikao kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mamilioni ya dola badala ya kufanyia kwenye ukumbi wa bure pale ufipa.
2. Wako tayari washangae ndege kufanyie matengenezo kuliko kuhoji kwa nini vyama vya upinzani havijajenga hata ofisi kwa miaka 26 ,sasa.
3. Wako tayari kumshangilia Rais wa kongo kuachia kwa kuamua kuachia madaraka ,lakini hawasumbuki kuhoji kwa nini viongozi wa vyama vya upinzani wamekomaa madarakani muda huo wakihubiri democrasia.
4. Wako tayari wamtake Waziri wa viwanda ajihuzuru kutokana na nchi kukosa cement , lakini hutawasikia wakiwataka viongozi wa upinzani kuachia madaraka baada ya vyama vya upinzani kupoteza mvuto kwa wananchi na kusababisha kushindwa kila mahali.
Umesahau chademaMaadui Wakuu Wa Tanzania Ni :
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
Hii nchi wajinga ni wengi sana kuliko wereva. Ndio maana viroja haviishi
Maadui Wakuu Wa Tanzania Ni :
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
Sasa wewe ndo popoma bila kujijuaKwahiyo unamaanisha Ndege inatengenezwa kadri inavyofanya safari, [emoji848] au kuna mahali sijaelewa, yani kadri inavyoharibika na kutengenezwa ndivyo inazidi kua bora zaidi..?
Kweli duniani mapompoma hayawezi kuisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Which objectives, Boeing siyo wajinga watengeneze ndege mpya isiyo na ubora halafu wategemee ubora kuongezeka kadri ndege inavyoharibika na kutengenezwa. Unbelievable.
kama vyama vya upinzani vimepoteza mvuto washauri wajinga wenzio kichakichaa aitishe mkutano jangwani bila kusomba watu kwa malori na upinzani waitishe kawe ... bila kusomba tuone wengi watakuwa wapi? twende kanda zote za nchi tuone tuanzie kule kisini kisha twende bukobaWasomi wa upinzani wanasikitisha sana.