Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Nilidhani wapinzani wangekuja na mpinu za kuonyesha uwezo na speed ya maendleo ya nchi zaidi ya Mh magufuli lakini wao wanakuja na masuala ya kupinga... Tutafiak wapi kama ndio hivyo?? mmoja ajitahidi kujenga na mwingine anajitahidi kubomoa.. Unweza ukapinga ndio lakini si lazima ukapinga kila kitu badalayake ukaonyesha njia mbadala ambayo ni nzuri zaidi.
 
Sheria ni msumeno....Hivyo km serikali inavunja sheria vipi mkurugenzi abadili matumizi ya fedha HATAELEWEKA
 
Wabunge Wa upinzani hawana nymbo....mfno zile bln 6 ambazo zimerudi serikalin wanazipigia kelele....zile pesa zilikuwa kwa ajili ya mambo yasio kuwa na msingi kama ....et matibabu ya wabunge nje ya nchi aiseee...hapa ndo nakoswa imani na mabunge ya vyama vya upinzani..halafu yanasema ety muhimili wao unaingiliwa.......aiseee Rais ikibidi hata posho zao punguza..

Acheni kupotosha watu.
Kinahopingwa ni Rais kuamua fedha hizo zielekezwe wapi badala ya kuliachia bunge liidhinishe matumizi hayo mapya.
Kwa maana kwamba, fedha sherehe za muungano, n.k zikishazuiwa kutumika, Magu asiamue mwenyewe.
Hakuna aliyepinga zuio la fedha hizo zilizoelekezwa kwenye matumizi yasiyo na tija kwa taifa.
 
Mkuu pole....inaonekana mgao Wa wabunge ulikuwa unakufikia kwa namna moja au nyingine vipi au unashemeji yako...Mbunge.

Rais afanye tu awezavyo....ili wananchi maendeleo tupate wakizingua.....Vunja binge tuone kama watarudi Bungenii
 
Jimboni kwa Mhe Mbowe kuna shule hazina madawati ya kutosha, je hakuona ni muhimu utajiri alionao kuwasaidia wasio na uwezo?? Au ndio maana akatumia pesa na utajiri aliopewa na baba yake kufungua danguro la Billicanas ili aue watoto watu kwa madawa ya kulevyi, ukahaba na viroba???

Hivi ana nyumba ngapi za kulea Yakima na wajane???
Queen Esther
Mbona serikali haimkamati?
Au nayo ina usoda kwenye hiyo biashara haramu?
 
Mkuu pole....inaonekana mgao Wa wabunge ulikuwa unakufikia kwa namna moja au nyingine vipi au unashemeji yako...Mbunge.

Rais afanye tu awezavyo....ili wananchi maendeleo tupate wakizingua.....Vunja binge tuone kama watarudi Bungenii
Walioishiwa hoja huishia kuwashambulia watu badala ya kujenga hoja.
Hayo uliyoyasema ndo maisha yako.
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
akili zako na za mende hazina tofauti watanzania sijui ni nani aliyetuloga
 
Hiyo ndio kazi ya upinzani, well done Mr mbowe.
 
HOJA nzito, uchunguzi na ufuatiliaji wa vyama vya upinzani uliokuwa unatesa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, sasa zinaelekezwa kwa Rais John Magufuli, anaandika Faki Sosi.

...
MwanaHabari Huru yabidi urudi chuoni kujifunza uandishi kama kweli wewe ni mwanahabari. Unapenda kuweka humu JF habari ndefu za kunukuu halafu hutoi sababu za kuziweka.

Hili la Mbowe kususia bunge, kwa sababu hizo ulizozinukuu, limejadiliwa sana ndani na nje ya JF, vipi ulilete tena hapa kwa kichwa cha habari (Ya Kikwete Yamkumba Rais Magfuli) kisichoendana kabisa na nukuu zako kasoro ya utangulizi niliyoirudia hapa.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Wameshaambiwa kama wanaona katiba imevunjwa watafute msaada wa wanasheria waende mahakamani.
 
Sijaishiwa hoja.... unajua wale wabunge wameumia sana zile Bilioni 6 kupigwa panga...na kurudi serikalini....
Je, unadhani fedha iliyoondolewa kwenye hayo matumizi nyongefu yaliyopitishwa na bunge, aliyetakiwa kuamua kwa kuzipeleka ni Rais?
 
Je, unadhani fedha iliyoondolewa kwenye hayo matumizi nyongefu yaliyopitishwa na bunge, aliyetakiwa kuamua kwa kuzipeleka ni Rais?
Sasa kama....mke unamuachia pesa ya kununia nyama ye ananua dagaa.....kwanini usiende kununua mwenyewe
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
Duh wewe kweli tukunyema vifungu vyote vya katiba na sheria huviamini sasa kwanini tunakuwa na katiba nyerere alisema kiongozi yoyote anaevunja katiba hatufai
 
Duh wewe kweli tukunyema vifungu vyote vya katiba na sheria huviamini sasa kwanini tunakuwa na katiba nyerere alisema kiongozi yoyote anaevunja katiba hatufai
Kiongozi anayetufaani huyu anayesusia vikao vya Bunge au akiwemo asichangie huku mshahara anachukua. Nadhani hili ndilo sahihi, au siyo.
 
Nbowe mwenyewe kinara wa kuvunja katiba ya chama chake bora angekaa kimya tu.

Hivi hata kama hizo pesa zingelazimika kuwa re-allocated bungeni hiyo idadi yao wapinzani ingebadili chochote? Si wabunge wa CCM wangeunga mkono tu!!

Kama katiba inavunjwa kwa kupunguza urasimu na kuokoa muda ivunje tu as long as wananchi wanaona ilivyotumika kutatua kero zao.

Watu wanataka kuona kero zao zikitatuliwa siyo nani ali-allocate hizo pesa.

So bora katiba iendelee kuvunjwa tu kwa manufaa ya umma.
 
Hapa ndipo ninapowaona wapinzani ni wajinga. Hivi kwao sherehe za uhuru ni bora zaidi kuliko Ujenzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco? Hivi tuna wapinzani wa aina gani katika nchi hii kiasi ambacho wanapinga hata hatua nzuri Inazochukuliwa na serikali. Najua inawauma sana kuona ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi na soon itafunguliwa. Poleni sana
We nae uwe unaupa ubongo wako nafasi ya kufikiria na kupambanua mambo sio kuandika kama unajamba,hakuna hatua nzuri zisizo na taratibu na mpangilio,anachofanya sasa hivi ni kucheza na akili za watanzania walio wengi wamo kati yao ambao hawawezi kujua effects za hichi kitu kwa baadae lakini wamewachagua wabunge na wabunge wa upinzani wanafanya kazi nzuri kupinga na kuelezea kwamba hiki sio kitu kizuri nchi ina katiba na taratibu.
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
Hata wao hawajakataa kuwa magufuli anafanya yote hayo kwa maslahi mapana ya Taifa, Kinachotakiwa ni taratibu na sheria zifuatwe. Kumbuka wengi wameharibu au walilitia hasara Taifa kwa kufanya mambo bila kufuata sheria huku wakiwa na nia njema na msemo mzuri wa maslahi mapana ya Taifa. Tukumbuke pia sheria ziliwekwa kwaajili ya kuwalinda wenye nia njema ili wasipotee wakaliingiza Taifa kwenye hasara kubwa na baadaye nia zao njema zikawafunga. Naomba kuwasilisha.
 
Nbowe mwenyewe kinara wa kuvunja katiba ya chama chake bora angekaa kimya tu.

Hivi hata kama hizo pesa zingelazimika kuwa re-allocated bungeni hiyo idadi yao wapinzani ingebadili chochote? Si wabunge wa CCM wangeunga mkono tu!!

Kama katiba inavunjwa kwa kupunguza urasimu na kuokoa muda ivunje tu as long as wananchi wanaona ilivyotumika kutatua kero zao.

Watu wanataka kuona kero zao zikitatuliwa siyo nani ali-allocate hizo pesa.

So bora katiba iendelee kuvunjwa tu kwa manufaa ya umma.
Maswala ya chama yanakihusu chama chenyewe kama kwenye chama Mwenyekiti anaweza kuja na majina yake mfukoni sio kwenye nchi nchi inaendeshwa kwa taratibu umenena vizuri wabunge wa chama tawala wangepigia kura tu bila hata kuchanganua bila kuhoji wala kuongeza ushauri hizo ndio siasa zenu lakini sio siasa za kuendeleza nchi hizo.
 
Back
Top Bottom