Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Kama kupambana na mafisadi na kuelekeza fedha za anasa kwenye shughuli za maendeleo ni kuvunja sheria, bora rais wetu aendelee tu kuzivunja kwani zina manufaa kwa taifa

Kwa mara ya kwanza namuunga mkono Lizaboni kwa maoni haya!!
 
Kiongozi anayetufaani huyu anayesusia vikao vya Bunge au akiwemo asichangie huku mshahara anachukua. Nadhani hili ndilo sahihi, au siyo.
Ndiye kiongozi tunayemtaka anaonesha msimamo wake pale makosa yanafanyika na wao kama sehemu muhimu ya kushauri wanatoa ushauri bali haufuatwi
 
Maswala ya chama yanakihusu chama chenyewe kama kwenye chama Mwenyekiti anaweza kuja na majina yake mfukoni sio kwenye nchi nchi inaendeshwa kwa taratibu umenena vizuri wabunge wa chama tawala wangepigia kura tu bila hata kuchanganua bila kuhoji wala kuongeza ushauri hizo ndio siasa zenu lakini sio siasa za kuendeleza nchi hizo.

Kwahiyo kwa akili yako kuvunjwa katiba ya chama ni halali lakini katiba ya nchi ndiyo hapana.

Katiba zote zina umuhimu uleule sababu ndiyo muongozo ambao jamii husika imaamua kujiwekea sasa usilete hoja za kitoto hapa kumtetea Mbowe japokuwa najua huyo ndiye mungu wenu hakosolewi.

Actually rais anavunja sheria na mimi namuunga mkono kwamba aivunje tu sababu huu siyo muda wa kupigiwa porojo na wanasiasa,nachotaka kuona ni matokea chanya siyo blah blah.
 
Hapa ndipo ninapowaona wapinzani ni wajinga. Hivi kwao sherehe za uhuru ni bora zaidi kuliko Ujenzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco?
Fedha zote zinazookolewa au kubaki zinarudi hazina, sio mtu kujipangia tu. Sasa kama serikali ingekuwa inajipangia tu, nini mantiki ya bajeti ya serikali kupelekwa bungeni na kisha kupigiwa kura?
 
Hakuna lolote
Wabunge wetu wapo kwa maslahi ya matumbo yao
Magu akaze tu
 
Leo ndio nimejiona nyumbu kabisa! Sitarudia tena kuzungusha mikono, hawa ndio niliwapa kura yangu? Mbowe unaona bora safari za kamati za bunge kuliko madawati?
Iweje serikali za CCM kwa miaka yote zilishindwa kutatua changamoto za madawati?
 
Kwahiyo kwa akili yako kuvunjwa katiba ya chama ni halali lakini katiba ya nchi ndiyo hapana.

Katiba zote zina umuhimu uleule sababu ndiyo muongozo ambao jamii husika imaamua kujiwekea sasa usilete hoja za kitoto hapa kumtetea Mbowe japokuwa najua huyo ndiye mungu wenu hakosolewi.

Actually rais anavunja sheria na mimi namuunga mkono kwamba aivunje tu sababu huu siyo muda wa kupigiwa porojo na wanasiasa,nachotaka kuona ni matokea chanya siyo blah blah.
Sawa wewe unga mkono lolote atakalosema akili na utashi wako vimeishia hapo lakini waache wenye upeo wapambanue mambo na wasifie palipo pazuri na pasipofaa wakosoe wewe endelea kushabikia.
Ee ndio piga vigelegele
 
Maamuzi mpaka ya Bunge yanafanywa na mtu moja au wawili alafu unayabariki?
Hivi unatumia akili yako vizuri kweli yaani Leo hii kufanya mambo ya maana kukabiliana na ununuzi Wa dawati kwa ajiri ya watoto kwako unaona ni vibya ???mbona mbowe alijiongezea muda kinyemelela mkamtetea ????hakuvunja katiba ya chama !,??
 
Hapa ndipo ninapowaona wapinzani ni wajinga. Hivi kwao sherehe za uhuru ni bora zaidi kuliko Ujenzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco? Hivi tuna wapinzani wa aina gani katika nchi hii kiasi ambacho wanapinga hata hatua nzuri Inazochukuliwa na serikali. Najua inawauma sana kuona ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi na soon itafunguliwa. Poleni sana

Yaani unajua kabisa kuwa ulichokiandika siyo sahihi lakini kwa sbb wewe ni mjinga unataka wote utuambukize ujinga wako!!

No way please!!...

Kinachotakiwa ni kimoja tu hapa, kufuata taratibu na sheria zaidi sana katiba ya nchi awe anaamua jambo zuri kwa watu au baya. period!!

Kwani kuomba kufanya hayo mambo mazuri ambayo hakuna mtu yeyote anayoyapinga kulihitaji miaka mingapi kama siyo masaa matano au sita au siku moja basi!?

Kumbuka Rais wako aliapa akiwa ameshikilia KATIBA na kuahidi kuwa atailinda na kuitetea kwa hali zote huku akiwa ameshikilia BIBLIA TAKATIFU na mwisho akamalizia kwa kusema MUNGU NISAIDIE....!!

Leo kimemtokea nini eti Ngosha wenu??? Mizuka ya kuwa Rais siyo?.. Ndiyo, ameupata Urais lakini atende kila jambo kwa mujibu wa katiba, atajipatia sifa maradufu!!
 
Mbowe hakuzaliwa kwenye vibanda vya nyasi wala hakujifunzia kuvaa viatu na nguo za ndani baada ya kufika chuo kikuu baba yake ndio alikuwa anampa Nyerere suti na nauli ya kwenda UN itakuwa yeye kwenda Dubai you must be jocking maskini nyie, ndio maanaa munataka kuturudisha nyuma tuanze kuvaa suruali za viraka kwa kisingizio cha watu maskini CCM imetawala miaka yote hiyo kwa nini hakuwezesha shule kuwa na madawati achene porojo
Si anaenda bure kwa fedha za umma kwani unadhani lengo kuu la mbowe pale alipo ni nini??? Mkuu
 
Yaani unajua kabisa kuwa ulichokiandika siyo sahihi lakini kwa sbb wewe ni mjinga unataka wote utuambukize ujinga wako!!

No way please!!...

Kinachotakiwa ni kimoja tu hapa, kufuata taratibu na sheria zaidi sana katiba ya nchi awe anaamua jambo zuri kwa watu au baya. period!!

Kwani kuomba kufanya hayo mambo mazuri ambayo hakuna mtu yeyote anayoyapinga kulihitaji miaka mingapi kama siyo masaa matano au sita au siku moja basi!?

Kumbuka Rais wako aliapa akiwa ameshikilia KATIBA na kuahidi kuwa atailinda na kuitetea kwa hali zote huku akiwa ameshikilia BIBLIA TAKATIFU na mwisho akamalizia kwa kusema MUNGU NISAIDIE....!!

Leo kimemtokea nini eti Ngosha wenu???
Acha porojo mmekosa hoja now mnalialia na sheria kama ulimskiriza mbowe btn line alisema magufuli anafanya mambo ambayo wapinzania wamekuwa wakisema kwa muda mrefu!,but akasema wanataka kuzuia bunge kwa kuwa wao wana plat form inayowabeba ! Means mbowe anatafuta jukwaa la kumbeba aonekane !but siungi mkono bunge kuto onyeshwa Ila sometime viongoz nao wazingua wangekuwa na hoja moja siyo kupinga every things
 
Una arguments za kitoto sana mkubwa.

Jana PM aliwasilisha bajeti ya ofisi yake. Hebu niambie unaelewa hata kuelewa walitumiaje bajeti ya mwaka huu unaoisha wa fedha?

Unajua wanataka kiasi gani kwa mwaka ujao wa fedha? Ili zitumike kufanya nini na nini eti?

Acha kumjadili Mbowe, leta hoja kujadili hoja yake aliyoiweka mezani ambayo ndiyo msingi wa mjadala huu....Rais kuvunja Katiba, kukiuka sheria kuu ya nchi!!

Wanapinga every thing!!? Are you sure au ni kwa sbb tu umesikia hivyo na wewe unafuata tu kuimba??.....Pls, hebu kuwa serious kidogo basi!!

Inakuwaje pro CCM na Magufuli mnakuwa low kiasi hiki eeeh!??
 
Sawa wewe unga mkono lolote atakalosema akili na utashi wako vimeishia hapo lakini waache wenye upeo wapambanue mambo na wasifie palipo pazuri na pasipofaa wakosoe wewe endelea kushabikia.
Ee ndio piga vigelegele

Tatizo lenu unafiki tu.

Mkosoeni na Mbowe basi anapokiuka katiba yenu tuone.
 
JP akumbuke kwamba hao wengine ambao anawaita majipu au wezi sio kwamba walichukua pesa wakaweka mfukoni mwao bali walifanya vitu vya manufaa ya wananchi na vingine vinaonekana lakini kwa sababu hawakufuata kanuni au sheria za fedha CAG au mamlaka nyingine zilipokagua zikaona huo ukiukwaji, ndio hao akiletewa taarifa anawatumbua. Hivyo na yeye asifanye hayo ya kukiuka sheria za fedha kwa sababu yeye ni Rais hata kama nia yake ni njema
acha ujinga we nae,, hivi mfuko wa cement unaouzwa 25,000/= kisha hao unaowatetea kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi wakaandika kwenye vitabu waliununua mfuko huo huo 250,000/= unawatetea kwa kipi? anyway kwako sio shida sana kwakua wameongeza 'sifuri' moja tu kwenye iyo namba
 
Magufuli lazima serikali yake ifuate katiba aliyoapa na kuilinda samahani sana watanzania hatutaki tena kuburuzwa lazima sheria zifuatwe Rais magufuli asikubali ujinga hu wakufanya anavyotaka yeye nchi haiendeshwi hivyo
 
Mara nyingine wapinzani Na viongozi wa Bunge Ni kitu kimoja. Usije ukashagaa ukamuona mbowe anatumika kwa ajili ya Mpiga fimbo.
 
Back
Top Bottom