Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Sungusia alisema, “Fedha ambazo Rais hawezi kuziingilia ni zile zilizo kwenye consolidated fund (mfuko hodhi), nje ya hapo anaweza kufanya lolote,” alisema mwanasheria huyo.
Kwa kifungu kipi
 
Bunge hili la sasa ni chombo cha serikali

mimi nilipomuona naibu spika akimpa Magufuli cheki ya pesa eti wamebana matumizi
nilijiuliza maswali kibao
body language yake tu ilikuwa kama vile ameenda kumuona boss wake

Huyu tunaambiwa ndo mwalimu wa sheria na katiba lakini hajui umuhimu wa uhuru wa bunge kwenye maamuzi...
 
Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kumwamini Mbowe nasema hivyo kwa sababu moja tu kubwa hivi pesa za sikukuu ya uhuru zingejadiliwa bungeni zingebaki ngapi baada ya kuendesha mjadala juu ya fedha hizo zikiwemo hizi za 26/4/2016 Muungano kwa hiyo tucheleweshe maendeleo kwa ujinga wa upinzani maajabu makubwa sana ya upinzani wa nchi yetu lakini ni katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais ya kubadili matumizi ya fedha bila kulishirikisha Bunge mnaoingia humu mwambieni Mbowe akasome sehemu zote ZA KATIBA na siyo kipengele kimoja tu hasa akasome mamlaka ya Rais ambayo yeye Mbowe hayajui anafikiri ni ya mwenyekiti wa chama cha siasa.

Mbowe ningemwona wa maana sana kwa Taifa hili kama angesema hizo fedha zimeingia kwenye akaunti ya Magufuli lakini pesa zinapelekwa hospitali bado tusubiri mjadala bungeni , fedha zinaboresha huduma za jamii Mbowe unapiga kelele watu wanakufa kwa kukosa huduma hospitali wewe unataka mjadala wakati watu wanaangamia kweli wewe unaitakia mema nchi hii HAKIKA MUNGU ATAKULAANI KWA UNAFIKI WAKO NA KABLA HUJAITOKA DUNIA HII MUNGU ATAKULIPA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO UNALETA SIASA KWENYE MAISHA YA BINADAMU ILI WAANGAMIE MUNGU YUPO UTAVUNA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO.
Kuiamini ccm inaitaji Phd ya Ujinga maana mizuka na kufuata mkumbo ndio kwingi sana
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
Kwa maoni kama haya hata ukiambiwa na Magufuli kufanya jambo lolote la kijinga utafanya wewe!
 
Kweli kabisa, hata mimi na wewe tunaweza tukawa katika kundi hilo, tena mbaya zaidi tukawa katika kundi ambalo sisi wenyewe tunaamini tunafikiri kumbe hatuna tunalo fikiri. Umefika wakati wa kujitathmini.
Humo uko uko pekeako, usijumuishe watu wengine usiowafahamu.
 
Kiongozi yeyote anayeshindwa kufuata simple rules regulations and principles hafai hata kuongezewa siku anaendesha nchi hana hata mipango ya kuongoza wizara zake what a loss tunakazi another lost decade ndio hii huyu ataupigisha mark time kwa kujifanyia mambo ya vichororni kuyaleta kwenye utawala wake tutagota kuliko

Rules zipi hizo ambazo hazikufuatwa au kiongozi gani huyo ameshindwa kuzifuata? Bora ukamsema huyo kiongozi na ukaweka wazi sheria alizoshindwa kuzisimamia tukamsuta
 
Haitawasaidia kitu kwa sababu taifa lote lipo na Magufuli
Labda akina Makonda lakini taifa Zima wanajuwa serikali ni ya maigizo na misifa pole zenu siku zenu zinabomoka kila kukicha
 
Rules zipi hizo ambazo hazikufuatwa au kiongozi gani huyo ameshindwa kuzifuata? Bora ukamsema huyo kiongozi na ukaweka wazi sheria alizoshindwa kuzisimamia tukamsuta
Utajuwa nini wewe kama kiongozi wako hajui
 
Kuiamini ccm inaitaji Phd ya Ujinga maana mizuka na kufuata mkumbo ndio kwingi sana

Hapo unakosea hivi ni busara kumwacha mgonjwa usimpe dawa mpaka aje na PF 3 wakati unaona amejeruhiwa lakini kwa akili ya kuzungusha mikono unamwambia kalete kwanza Pf3 ndipo nikutibu wakati unajua hawezi kufika kituo cha polisi atakuwa kafa kwa kuishiwa damu. Hata hivyo sikulaumu kwa mawazo yako na wewe umeona ni jambo baya kuhamisha fedha zikanunue madawa na vitanda hospitali ambazo ni milioni 500 wabunge wakizijadili zitabaki ngapi na kule zilikotakiwa kupelekwa watu watakauwa na hali gani? Sihitaji malumbano ni jambo la kupima kwa akili ya kawaida na halihitaji hata elimu ya form four kama ya Mbowe bali busara itawale.
 
Jimboni kwa Mhe Mbowe kuna shule hazina madawati ya kutosha, je hakuona ni muhimu utajiri alionao kuwasaidia wasio na uwezo?? Au ndio maana akatumia pesa na utajiri aliopewa na baba yake kufungua danguro la Billicanas ili aue watoto watu kwa madawa ya kulevyi, ukahaba na viroba???

Hivi ana nyumba ngapi za kulea Yakima na wajane???

Queen Esther

Mbowe hakuzaliwa kwenye vibanda vya nyasi wala hakujifunzia kuvaa viatu na nguo za ndani baada ya kufika chuo kikuu baba yake ndio alikuwa anampa Nyerere suti na nauli ya kwenda UN itakuwa yeye kwenda Dubai you must be jocking maskini nyie, ndio maanaa munataka kuturudisha nyuma tuanze kuvaa suruali za viraka kwa kisingizio cha watu maskini CCM imetawala miaka yote hiyo kwa nini hakuwezesha shule kuwa na madawati achene porojo
 
AMEN = NA IWE HIVYO!!!

Queen Esther

Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kumwamini Mbowe nasema hivyo kwa sababu moja tu kubwa hivi pesa za sikukuu ya uhuru zingejadiliwa bungeni zingebaki ngapi baada ya kuendesha mjadala juu ya fedha hizo zikiwemo hizi za 26/4/2016 Muungano kwa hiyo tucheleweshe maendeleo kwa ujinga wa upinzani maajabu makubwa sana ya upinzani wa nchi yetu lakini ni katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais ya kubadili matumizi ya fedha bila kulishirikisha Bunge mnaoingia humu mwambieni Mbowe akasome sehemu zote ZA KATIBA na siyo kipengele kimoja tu hasa akasome mamlaka ya Rais ambayo yeye Mbowe hayajui anafikiri ni ya mwenyekiti wa chama cha siasa.

Mbowe ningemwona wa maana sana kwa Taifa hili kama angesema hizo fedha zimeingia kwenye akaunti ya Magufuli lakini pesa zinapelekwa hospitali bado tusubiri mjadala bungeni , fedha zinaboresha huduma za jamii Mbowe unapiga kelele watu wanakufa kwa kukosa huduma hospitali wewe unataka mjadala wakati watu wanaangamia kweli wewe unaitakia mema nchi hii HAKIKA MUNGU ATAKULAANI KWA UNAFIKI WAKO NA KABLA HUJAITOKA DUNIA HII MUNGU ATAKULIPA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO UNALETA SIASA KWENYE MAISHA YA BINADAMU ILI WAANGAMIE MUNGU YUPO UTAVUNA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO.
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
Kufuata sheria ktk kuwahudumia ndy ingekuwa njia sahihi na yenye ubora!
Angeleta tija, Tija ni pamoja na kuonyesha mfano ya kwamba yy ni muumini mzuri wa utawala wa sheria kuliko hii hali ya ubabe bila sababu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] Mh, anajua kuna sheria ktk Katiba yetu inayomlinda ktk hayo!!
 
Jimboni kwa Mhe Mbowe kuna shule hazina madawati ya kutosha, je hakuona ni muhimu utajiri alionao kuwasaidia wasio na uwezo?? Au ndio maana akatumia pesa na utajiri aliopewa na baba yake kufungua danguro la Billicanas ili aue watoto watu kwa madawa ya kulevyi, ukahaba na viroba???

Hivi ana nyumba ngapi za kulea Yakima na wajane???

Queen Esther
Baba yako si apelike huko Hai kwa nini awe mbowe kwani wewe ni familia yako ni maiti au Magufuli Chato amekufanya Dubai si ni tajiri wa kutupwa
 
Sasa ukweli wa kinachoitwa 'upinzani' kinaonekana. Hawa wanataka kutuchelewesha tu. Hakuna aliyekuwa akijali vipengee hivi kama JK pamoja na maovu yote yaliyotokea mbona bunge halikuweza kumdhibiti. Haihitaji elimu kubwa kuona kwamba MAG anafanya kwa manufaa ya wananchi. Upinzani sasa ni wazi wanagombea mlo, kwani walikuwa wakinyofolewa kitu katika hivi vijisenti senti !
Acheni kutetea uvunjifu wa sheria,sheria lazma zifatwe ndomana zimetungwa sio kila jambo nikukosoa tu pia uzito wa hoja kama ndio ivyo hamna haja ya kuwa na bunge lifutwe serikali ifanye kila kitu yenyewe
 
Hapo unakosea hivi ni busara kumwacha mgonjwa usimpe dawa mpaka aje na PF 3 wakati unaona amejeruhiwa lakini kwa akili ya kuzungusha mikono unamwambia kalete kwanza Pf3 ndipo nikutibu wakati unajua hawezi kufika kituo cha polisi atakuwa kafa kwa kuishiwa damu. Hata hivyo sikulaumu kwa mawazo yako na wewe umeona ni jambo baya kuhamisha fedha zikanunue madawa na vitanda hospitali ambazo ni milioni 500 wabunge wakizijadili zitabaki ngapi na kule zilikotakiwa kupelekwa watu watakauwa na hali gani? Sihitaji malumbano ni jambo la kupima kwa akili ya kawaida na halihitaji hata elimu ya form four kama ya Mbowe bali busara itawale.
hizo sababu haziharalishi mtu anayetakia kusimamia sharia namba moja kuzivunja ndivyo madiktator walivyo duniani wanaaminisha kwamba wanasaidia wananchi ukweli ni kuwa huwa hawafuati sharia wala hawapendi kukoselewa wala kushauriwa hatutaki kwenda huko afuate utaratibu na sharia za nchi halafu aungwe mkono
 
JP akumbuke kwamba hao wengine ambao anawaita majipu au wezi sio kwamba walichukua pesa wakaweka mfukoni mwao bali walifanya vitu vya manufaa ya wananchi na vingine vinaonekana lakini kwa sababu hawakufuata kanuni au sheria za fedha CAG au mamlaka nyingine zilipokagua zikaona huo ukiukwaji, ndio hao akiletewa taarifa anawatumbua. Hivyo na yeye asifanye hayo ya kukiuka sheria za fedha kwa sababu yeye ni Rais hata kama nia yake ni njema
 
Leo ndio nimejiona nyumbu kabisa! Sitarudia tena kuzungusha mikono, hawa ndio niliwapa kura yangu? Mbowe unaona bora safari za kamati za bunge kuliko madawati?
hujachelewa, kitu cha maana ulichofanya ni kujitambua.
 
Mimi nawachukia sana hawa wanaojali sana processes (utaratibu) kuliko achievements. Wengi wao utakuta wanapenda kuendeleza uvivu, uzembe, rushwa na ufujaji. MAGU ndiye mtu tunayemhitaji as long as haamuru kuminywa mapu..u kwa wapinzani!
Mkuu muhimu kuwepo huo unaitwa ujali wa taratibu!
Bila ya hivyo kusingetawalika.. Muhimu kuvumilia na kujifunza kuufuata.
Amani ya Nchi hutoweka pale tunapodharau huo utaratibu tuliojiwekea.
Ni vema kukubaliana utaratibu kubadilishwa kuleta maridhiano ktk jamii kuliko tabia ya ubabe usio na msingi!
Uongozi safi na uliotukuka ni kuongoza kufuata utaratibu uliokubaliwa mbele ya jamii. Haraka haraka huwa hazina tija!
 
Back
Top Bottom