Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

Siasa zingine hazina maana katika nchi. Wapinzani wajipange upya. JPM yupo vizuri. Kama hayo matumizi amefanya yameenda kwenye maendeleo , tatizo ni nini? Mbona wanakuwa na agenda nyepesi sana. Wawe creative ili waweze kujenga hoja za maana bungeni.
 
Inatakiwa kujiuliza nyie wabunge pesa mlikuwa mmetenga kwa ajili ya sherehe mfano sherehe ingefanyika ingekuwaje..??
sioni kama kuna tatizo mnatakiwa kuassume tu kama sherehe imefanyika...!!
 
KAM
mpumbavu mkubwa wewe sheria nenda wewe sudani alshabbab mkubwa wee unajuwa ukiandika sheria ukigonga space inabadirika kuwa sharia
KAMA MIMI NI MPUMBAVU BABA YAKO ATAKUWA NI MPUMBAVU ZAIDI KWA KUKULEA WEWE UNAYETUKANA WATU USIOWAJUA NA BILA SABABU.
 
Tuwe wakweli,hivi zile traffic light pale Chato zimewekwa kwa kazi gani haswa?Hakukuwa na sababu za kuweka traffic light eneo ambalo zinaweza kupita hadi dk 20 bila kuona gari likipita hapo.Hata hivyo taa hizo haziwezi kuwa kitu cha kujivunia,Wilaya ya Chato kama zilivyo wilaya nyingine,ni moja ya wilaya zilizo na umaskini wa kutupwa.

Ukiiacha chato mjini ambako mh.amejitahidi kuwekeza kwa kujenga nyumba za wageni,mahiteli na bar,maeneo mengine ya wilaya hiyo yapo duni sana.Wakazi wengi wa wilaya ya Chato wanajishughulisha zaidi na Kilimo pamoja na uvuvi wa samaki katika mwambao wa Ziwa Victoria.Vijiji kama Bwanga,Bukiriguru,Busaka,Makurugusi,Nyakato,Musasa,Mabira,Buzirayombo,Kankanshe,Muganza,Nyabugera na maeneo yote yanayouzunguka meambao wa Ziwa,wakazi wake ni watu duni ambao kamwe hawawezi kujivunia uwepo wa Traffic light kama suluhisho la matatizo ya kiuchumi waliyonayo.

Unaonekana ni mtu unayeongozwa na mizuka zaidi kuliko uhalisia,kama wewe ni mwana Chato,ulipaswa kuguswa na hali duni ya maisha waliyinayo wanachato kuliko kushangilia mambo madogo ambayo hayajawahi kuwa suluhisho kwa wakazi wa Chato.

Au mwenzetu hujuwi uwekezaji wa mkubwa pale Chato?Unafikiri ni watu wa kawaida waliowekeza pale Chato?Pole sana.Wana Chato watabaki kujivunia "urahisi" wa mukulu tu,zaidi ya hapo watatakiwa wajikite zaidi katika Kilimo na uvuvi ili wapate mkate wao,kitu pekee ambacho wanaweza kukipata bure japo ni kwa msimu ni T-shirt,kofia,kanga na chumvi toka ccm.Kujivunia traffic light ni upumbavu wa kiwango kikubwa kinachoweza kutweza weledi wa jukwaa hili.Jaribu kuuficha upumbavu wako.

Je,mwananchi wa Chato anayekula kwa kukamata kambale kwenye majaruba ya mpunga wanaweza kujisifia eneo hili?



View attachment 341848



Au anahisa kiasi gani kwenye hotel ile iliyo pembezoni mwa jengo la halmashauri ya wilaya ya Chato?Acha kujisifia upumbavu,tajili na Mali zake,maskini na watoto wake,kukaa kijiweni kutwa nzima kujisifia ukwasi wa wakubwa ni upumbavu zaidi ya upumbavu wenyewe,au nawe ni miongoni wa wale vijana wanaochunga ng'ombe na farasi wa mheshimiwa? Maana wachungaji wale wanaishi ghorofani,yawezekana kitendo cha kuishi ghorofani na kutunza mifugo ya mzee kimekufanya nawe ujihesabie haki kuwa na wewe ni mwana wa mfalme.

Acha mahaba ya kipumbavu,jaribu kuwa na huruma ya kiutu,jenga hoja zako kwa kuzingatia mazingira yako(Chato),usijenge hoja kwa kuegemea kwa jirani yako,vya jirani siyo vyako.
MPUMBAVU NI WEWE UMEANDIKA MAANDISHI MENGI KWA KUTAKA KUTUAMINISHA KWAMBA RAIS KAVUNJA KATIBA KUPELEKA FEDHA ZA SHEREHE KWENYE HUDUMA ZA JAMII NA KWA UPUMBAVU WAKO HUHUO UKAONA NI BORA WATU WAENDELEE KUFA KWA KUKOSA HUDUMA ILA SHEREHE ZIFANYIKE. CHATO NI ZAIDI YA MONDULI NA HAI KILA MWANANCHI TANZANIA HUFANYA SHUGHULI ZAKE KUTOKANA NA JIGRAFIA YA ENEO ALILOPO UWEPO WA WAVUVI CHATO HAKUNA TOFAUTI NA WAFUGAJI WALIOPO JANGWANI MONDULI KAMA UMETUKANA MIMI NI MPUMBAVU NASEMA AHSANTE SANA KWAKUWA MIMI SI MNYWA VIROBA NA MZUNGUSHA MIKONO ANAYEBURUZWA NA MBOWE BILA KUTUMIA AKILI YAKE. MAGUFULI ATAWATESA SANA HAMNA HOJA NYIE KUNYWENI VIROBA TU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTOKA NJE YA BUNGE KISA ETI TV HAKUNA KABLA YA TV MAMBO YALIKUWA HAYAFANYIKI?????
 
Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kumwamini Mbowe nasema hivyo kwa sababu moja tu kubwa hivi pesa za sikukuu ya uhuru zingejadiliwa bungeni zingebaki ngapi baada ya kuendesha mjadala juu ya fedha hizo zikiwemo hizi za 26/4/2016 Muungano kwa hiyo tucheleweshe maendeleo kwa ujinga wa upinzani maajabu makubwa sana ya upinzani wa nchi yetu lakini ni katiba hiyohiyo inampa mamlaka Rais ya kubadili matumizi ya fedha bila kulishirikisha Bunge mnaoingia humu mwambieni Mbowe akasome sehemu zote ZA KATIBA na siyo kipengele kimoja tu hasa akasome mamlaka ya Rais ambayo yeye Mbowe hayajui anafikiri ni ya mwenyekiti wa chama cha siasa.

Mbowe ningemwona wa maana sana kwa Taifa hili kama angesema hizo fedha zimeingia kwenye akaunti ya Magufuli lakini pesa zinapelekwa hospitali bado tusubiri mjadala bungeni , fedha zinaboresha huduma za jamii Mbowe unapiga kelele watu wanakufa kwa kukosa huduma hospitali wewe unataka mjadala wakati watu wanaangamia kweli wewe unaitakia mema nchi hii HAKIKA MUNGU ATAKULAANI KWA UNAFIKI WAKO NA KABLA HUJAITOKA DUNIA HII MUNGU ATAKULIPA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO UNALETA SIASA KWENYE MAISHA YA BINADAMU ILI WAANGAMIE MUNGU YUPO UTAVUNA SAMBAMBA NA MATENDO YAKO.
Maneno kuntu umemaliza kila kitu.
 
Kama kuvunja sheria unanunua dawa/madawati/vitanda hospitali au kujenga barabara wacha MAGU aendelee kuvunja tu hizo sheria.
 
Leo ndio nimejiona nyumbu kabisa! Sitarudia tena kuzungusha mikono, hawa ndio niliwapa kura yangu? Mbowe unaona bora safari za kamati za bunge kuliko madawati?
Tatizo hujaelewa hoja ya msingi ya upinzani ndio maana , kila nchi inaongozwa kwa misingi na kanuni zilizo wekwa kwenye katiba na inatakiwa kufuatwa tena haswa, hoja ya upinzani sio kupinga matumizi ya pesa ambazzo zilikuwa zifanye shughuli fulani kwenda kwenye shuguli nyingine,hoja hapa ni je utaratibu wa kufanya hivyo ulifuatwa kama katiba inayo liongoza taifa inavyo tanabaisha?
Maana inawezekana kabisa kwa mwenendonhuu siku moja tutasikia mshahara wa watumishi mwezi july utaenda kweny upanuzi wa bwawa la kufugia samaki.ndio maana kuna katiba ambayo hata mwl.nyerere mara zote alisisitiza ifuatwe.

KWENYE KUSUFIA TUSIFIE NA KWENYE MAPUNGUFU PIA TUKOSOE NA IKIBIDI KUSHAURI TUSIWE BENDERA FUATA UPEPO HATA KAMA BENDERA ITACHANIKA, TUSIWE WANAFIKI WA KUUFICHA UKWELI.
 
Mimi nawachukia sana hawa wanaojali sana processes (utaratibu) kuliko achievements. Wengi wao utakuta wanapenda kuendeleza uvivu, uzembe, rushwa na ufujaji. MAGU ndiye mtu tunayemhitaji as long as haamuru kuminywa mapu..u kwa wapinzani!
sidhani kama unakielewa unacho kisema. labda umelinganisha unavyo hamisha bughet ya chumvi kwenda kwenye vitungu
 
Haitawasaidia kitu kwa sababu taifa lote lipo na Magufuli
Kwa wenue jicho la tatu na fikra pana tayari wamegundua dosari ilipo na madhara yake hapo baadae lakin kwa wewe na fikra zako unahaki ya kusema hayo, nlikudharau siku tu ulipo shindwa kujua ni nani anamanamamlaka ya kumuhamisha RPC tangu hapo nlijua siasa zako humu sio za kisomi wala kitaalamu na huna haja ya kutafakari maana huna na hujui cha kutafakari hasa kwa uelewa wako zaidi una siasa za mkumbo.
 
Mbowe kaubomoa mno upinzani kwa hizo kauli zake... nawaonea huruma UKAWA. Tumieni busara sio kila kitu kupinga.
 
Wapinzani nao wakati mwingine Ni jipu..haya mambo ya kufuata process ndio maana kwenye taasisi za serikali taa zinaungua wanashindwa kurepair mpaka vikao vikae baada ya miezi Sita.

Sipingi kufuata katiba.
 
MPUMBAVU NI WEWE UMEANDIKA MAANDISHI MENGI KWA KUTAKA KUTUAMINISHA KWAMBA RAIS KAVUNJA KATIBA KUPELEKA FEDHA ZA SHEREHE KWENYE HUDUMA ZA JAMII NA KWA UPUMBAVU WAKO HUHUO UKAONA NI BORA WATU WAENDELEE KUFA KWA KUKOSA HUDUMA ILA SHEREHE ZIFANYIKE. CHATO NI ZAIDI YA MONDULI NA HAI KILA MWANANCHI TANZANIA HUFANYA SHUGHULI ZAKE KUTOKANA NA JIGRAFIA YA ENEO ALILOPO UWEPO WA WAVUVI CHATO HAKUNA TOFAUTI NA WAFUGAJI WALIOPO JANGWANI MONDULI KAMA UMETUKANA MIMI NI MPUMBAVU NASEMA AHSANTE SANA KWAKUWA MIMI SI MNYWA VIROBA NA MZUNGUSHA MIKONO ANAYEBURUZWA NA MBOWE BILA KUTUMIA AKILI YAKE. MAGUFULI ATAWATESA SANA HAMNA HOJA NYIE KUNYWENI VIROBA TU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTOKA NJE YA BUNGE KISA ETI TV HAKUNA KABLA YA TV MAMBO YALIKUWA HAYAFANYIKI?????





Unywaji wa viroba hauna uhusiano wowote na hoja yangu,na hakuna mahali popote kwenye bandiko langu nilipohoji maamuzi ya huyo unayemuabudu.Siasa hazijawahi kuwa suruhisho la matatizo ya mtu mmojammoja,wakati wewe unatoka povu kwa kudhani anayoyafanya Magufuli eti yanaathiri maisha yangu,mwenzako nipo "bize" na Kazi zangu.Wewe endelea kujibanza kwapani mwa watu lakini Mwisho wa siku utakuja kugundua kwamba unayemuabudu ni sehemu ya wale waliyoifikisha nchi hapa ilipo.

Hoja yangu ilikuwa kukukosoa kwa majivuno yako eti Chato ina traffic light,nimekuuliza,traffic light za Chato zinamsaidia nini mkazi wa vijiji vya Chabulongo,magili,kisesa,ilyamchele,buseresere,minkoto,na itanga?Taa hizo zimeongeza nini kwao ikiwa wanavijiji hao bado wanaendelea kunywa maji ya madimbwini?

Acha ushabiki mandazi,punguza mahaba kwa watu,Magufuli hata afanyeje,bado una wajibu wa kuijenga future yako wewe mwenyewe,maisha yako yapo mikononi mwako,huyo unayempigania huku ukizani anayoyafanya ni spesho kwako,tambua kwamba anayafanya kwa tahadhari kubwa huku akitambua uwepo wa wenzake waliomfikisha hapo alipo.Watu hao waweza kuwa wema au wabaya kutikana na mambo waliyolifanyia Taifa hili.

Nakushangaa unavyotoka mishipa ya shingo kisa siasa,jiulize ushabiki wako wa kisiasa una misaada gani kwako?Hizo taa za barabarani hapo Chato zimekuongezea nini kwako?Mwenzako Mimi nimeanza kuona Taa za barabarani kabla ya huyo unayemuabudu hajawa mbunge na hadi leo Taa hizo ambazo kwako unaziona za Maana,kwangu Mimi si kitu cha kujivunia.

Wapumbavu wa aina yako wasiojuwa madhala ya siasa uchwara,wanaokalia kupigia makofi vitu vya kipuuzi,ndiyo mliochangia Taifa hili kuwa na mdororo wa kiuongozi.Pole sana,endelea kuwazungushia wenzio kiuno,ila kwa upumbavu ulionao unawadharirisha wana Chato.



10366327_585072384927714_8479812993842761565_n.jpg



CCM hoyeeee!!!#HapaKaziTU.
 
Leo ndio nimejiona nyumbu kabisa! Sitarudia tena kuzungusha mikono, hawa ndio niliwapa kura yangu? Mbowe unaona bora safari za kamati za bunge kuliko madawati?
Wewe ni Nyumbu kweli, haukuona umuhimu serikali kuwachukulia hatua na kurejesha fedha za EPA, RICHMOND, MEREMETA, KAGODA na ESCROW ambazo zimeibwa na zimeingia kwenye mifuko binafsi halafu eti unaona Mbowe anafanya kosa kuzungumzia juu ya kukiukwa taratibu za Bunge na Seriakali,
 
Back
Top Bottom