M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,037
yeah right.....mtu ukipata mali/utajiri hata kwa mauaji hakuna tatizo kwa vile utakuwa ume-"achieve" siyo?Mimi nawachukia sana hawa wanaojali sana processes (utaratibu) kuliko achievements. Wengi wao utakuta wanapenda kuendeleza uvivu, uzembe, rushwa na ufujaji. MAGU ndiye mtu tunayemhitaji as long as haamuru kuminywa mapu..u kwa wapinzani!
pathetic!