% ya graduate Tanzania

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Data zinaonyesha 2005_2007,idadi ya watanzania waliohitimu vyuo walikua 0.003%,wakati kenya ilikua 6%.Nahitaji kuju za kuanzia 2008 tafadhali naombeni mnipe data.
 
Imefkia 98% ndo maana serikali imeamua kuanza kuwaignore.
 
hizi data umezipatia wapi. Hata baada ya miaka 100 hatuwezi fikia hapo.

sasa mkuu,mpaka nchi inafikia kuwanyma ufadhali ktk elimu raia wake,c kwamba wameridhka na idadi ya graduates waliopo?
 
sasa mkuu,mpaka nchi inafikia kuwanyma ufadhali ktk elimu raia wake,c kwamba wameridhka na idadi ya graduates waliopo?

tatizo si kwamba wameridhika na wahitimu. Bajeti ni tatizo!
 
Ka vipi wafunge vyuo kuliko kuendelea kupoteza pesa nyingi kwa mashirika ya umma kama hivyo vyuo kuvipa ruzuku halafu most gladuates wanakaa bench,ni bora hizo pesa wabuni miradi ya maendeleo ifaidishe wengi.Inasikitisha kumuona muhitimu wa sheria ud anafungua kibanda cha mtumba kitaani,hatukatai amejiajiri lakini taaluma yake aliisomea kufanyia hizi biznes? Si bora asingethubutu kukanyaga hata chuo kwa style hii ya kula bench.Vijiweni kwenye kahawa graduates kibao ila kwa upande wangu sijawaona wa SUA, ARDHI na MUHIMBILI sijui kwa kuwa fani zao bado zinaitajika au vipi,ila vyuo vingine wako weng sana wanafanya shughur za kawaida majumbani.
 
mafisadi hawataki watz wengi waelitmike

Kwahiyo hata jamaa wa awamu ya 1 ni fisadi? maana yeye hakuona sababu ya kuwa na hata kachuo kingine ka ziada ili wasomi waongezeke! polen wale wote msiojua FISADI na MAFISADI ni AKINA NANI
 
Back
Top Bottom