Nimeanzisha twisheni baada ya kukosa ajira. Naombeni ABC

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
202
425
Wakuu kwa wale wadau wa elimu naombeni mnipe changamoto za twisheni ili niweze kuzihandle vizuri.. Lengo nipige kuanzia darasa la 1 adi form 6 Leo nimeanza na 5 form 4 watarajiwa vipi niwafanyie bei gani? Ili wasione nina tamaa ya pesa kuliko huduma Asanteni
 
1663256817135.jpg
jasho litakutoka komaa mzee
 
Funga zipu na usilete urafiki na QT zaidi ya kupiga pindi tu wengi wanataka shortcut kufaulu mitihani out of nowhere anaweza kukutumia paper la taifa kwa WhatsApp ukajikuta matatizoni.
 
Kuwa specific la sivyo utashindwa kuhandle center Yako. Sekondari Mambo mengi walipe 10 Kwa Kila mmoja ila masomo yasiwe mengi Ili usije ukajila
 
Ukijipanga vizuri kwa uzoefu wangu kwa wanafunzi wa primary inalipa kwa masomo ya Hisabati na Kiingereza!
Panga bei ya 10000 hadi 15 kwa mwezi.
Muwe japo walimu wawili
 
Nashukuru kwa ushauri.. Niongezee nyama hapo pa kua specific
Watoto kwamfano sekondari uchukue form 3&4 tu maana mada zao ni Moja. Sasa usiwe na mseto Mara form tu 1 form one 2 na pre form 1. Kwashule za msingi uangalie wengi wapi Kama lanne mpaka lasaba au chini ya darasa la tano.
 
Wakuu kwa wale wadau wa elimu naombeni mnipe changamoto za twisheni ili niweze kuzihandle vizuri.. Lengo nipige kuanzia darasa la 1 adi form 6 Leo nimeanza na 5 form 4 watarajiwa vipi niwafanyie bei gani? Ili wasione nina tamaa ya pesa kuliko huduma Asanteni
Hivi n twishen au Tuition
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom