Tuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.
Sasa vipi kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu Waziri wa Nishati na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwanini bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?
Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watanzania tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.