Ya EWURA ni tofauti na ya NIMRI?

Tuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.<br /><br />Sasa vipi kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu Waziri wa Nishati na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwanini bosi huyu wa EWURA naye asitumbuliwe?<br /><br />Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watanzania tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
Ukiangalia barua yake ameweka kifungu cha sheria kinachompa mamlaka
 
Ewe mfu, pima impact ya kile alichotangaza Malechela na hiki cha juzi? Hivi akili yako haioni ni kipi kiliteka jumuiya za kimataifa ghafla? Kama huoni hilo basi mie sina jinsi ya kukusaidia.
We mfu wa akili na ubongo, Zika was and is here. CDC has categorically published this for travelers! Hapakuwa geni kwa wanaokuja Tanzania. Uganda , Kongo Zika is there and tourism is flourishing!
 
Tuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.

Sasa vipi kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu Waziri wa Nishati na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwanini bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?

Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watanzania tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
SOMENI REPOTI YA EWURA..IMEZUNGUMZA NA IMETUMIA MIFUMO YA KUPANDISHA NA KUSHUSHA BEI KAMA INAVYOCONTROL BEI ZA MAFUTA.KUMBUKA MAPEPALI WA MAFUTA HAWAITAKI EWURA KWANI INAWADHIBI NA KAMA HATUTAKUWA MAKINI INAWEZA KUPELEKEA UWURA KUWA TOOTHLESS ORGANI NA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA WAKAPATA NJIA YAKUTTUMIZA.KWA HIYO SERIKALI LAZIMA IWE MAKINI SANA.
 
Mkuu umekumbusha issue nzuri sana sana, hapa ndipo tutajua kulikuwa na chuki binafsi au laa!!!
 
Mkuu Retired usijibizane na lumumba, ni juzi tu haraka haraka alikwa ana waasa waache matusi lkn hawasikii. ni mila na hulka yao kutukana
Naona jamaa kasahau" kujibizana na chizi utajipa kazi "
 
kwann usizungumzie kwa mlenga mtu wa kati wa mchezo ambaye ni wazir husika,tanesco na ewura vyote vipo chini ya wizara yake ina maana alijua kila kitu so kwann hakuzuia mwanzo mpaka angoje ewura watoe tamko ndipo yy apinge?au anataka kumpa boss wake umaalufu kuwa katupigania?
Hili nalo laweza kuwa neno.
 
Good reasoning, na kweli tutapata majibu kwa kiasi fulani by 99%, ingawa anaweza kutwambia severity ya impact of breaking the news ina differ! But this will not change the predicted 99% confidence interval
Inasemekana alikuwa na bifu na ile familia coz mama mtu naye alitumbuliwa kwa kauli kama hizo kwamba hkuwasiliana na wakubwa zake
 
Tuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.

Sasa vipi kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu Waziri wa Nishati na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwanini bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?

Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watanzania tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
YES ni tofauti maana EWURA hawakukosea kukubali ongezeko la bei na sheria inampa mamlaka waziri kutengua uamuzi au kuusitisha.......
 
Nikusahihishe kidogo, ewura haipo chini ya wizara ya nishati na madini bali ipo chini ya wizara ya MAJI na umwagiliaji.
 
Hili ni chezo limetengenezwa ili mkulu apate kuingia bukoba hii inaitwa natafuta kiki hapa hakuna wa kutumbuliwa hapa studio wameenda wote gharama wamelipa wote Baada single kutoka waziri kajimilikisha sifa na utukufu anavitaka vyote
TUSEME TU HUU NI UBABAISHAJI WA SERIKALI
 
Back
Top Bottom