Ya Adebayor yapo kila familia TZ?

Ya Adebayor yapo kila familia TZ?

Adebayor ana makosa yake lakini hawa ndugu zake
wameonesha hawana good heart ....hawasaidiki...
na wao wanataka pesa tu...hadi kumzuia mtu asimuone mgonjwa na kudai hela tu...
hawa ndugu wana matatizo

Mimi naona mwenye matatizo makubwa zaidi ya ndugu zake ni yeye.
 
Trust funds zipo siku nyingi sana Tanzania, kwetu hufanyika sana kwa mawakili.

Nilkua sijui hili
uaminifu ukoje?kuna link yoyoyte naweza tazama kuhusu Trust funds za TZ?
 
Hili ni tatizo la binadamu kutaka kupiga chenga adhabu ya Mungu,maana yeye alishasema kuwa "kila mtu atakula kwa jasho lake mwenyewe"sasa sisi tunataka tuseme kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake na akishindwa ale kwa jasho la ndugu zake.hiyo HAIPO!
 
Hahaaa kwa kweli hii angle ina ukweli
 
Hili ni tatizo la binadamu kutaka kupiga chenga adhabu ya Mungu,maana yeye alishasema kuwa "kila mtu atakula kwa jasho lake mwenyewe"sasa sisi tunataka tuseme kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake na akishindwa ale kwa jasho la ndugu zake.hiyo HAIPO!

Hahaha!! Ndugu umetisha umenifanya niikumbuke Mithali 13:22 inasema

" Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, na Mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki"

Duh! Kumbe hata wazazi hawana haki ya kudai msaada kwa watoto wao kumbe walitakiwa wawe wameshajiwekea akiba ya kutosha, tukiishi hivi kila mmoja kwamba ninatakiwa niache urithi hadi kwa watoto wa watoto wangu hakika Umaskini utakuwa ni historia.
 
Ndugu ni watu wa kwanza ambao Mungu amempa mtu hapa duniani, sasa kama hao pia hutawajali , binadamu ambao unashare nao damu na dna, sidhani kama una faida ya kuwa hapa duniani, NI LAZIMA kusaidia ndugu hilo halina ubishi, wala mjadala.
Mkuu mie nakupinga 100%.
Ndugu ni fitna tu.
They can kill.
Hawana maana hasa kama huna kitu.
Siku angalau ukifanikiwa mambo yako
wanakuja kukuzongazonga.
swali:
hivi ndugu wanakuwaga wapi ulipokuwa maskini.
 
The Boss

Sadaka huanzia nyumbani.

Samahani hii post imekuwa ndefu kidogo kwa kuwa nnahisi hapa kuna darsa linalotuhusu sote, katika kutowa amma kwa kusaidia amma kwa furaha tu:

Binafsi hupenda sana kuona walio karibu waki demand kwangu kama vyao. Ni raha ilioje, ukiwa nao wa kudeka kwako ni raha sana na kutoa ukawapa ni raha zaidi kila niwezapo huwa siishi kuwapa na kuwadekeza. Nikiwa sina basi kweli.

Raha ya kutowa si lazima uwe ni msaada tu, huwa nnatowa zawadi za kila aina kwa kukumbuka tu ngoja nimpelekee zawadi fulani, huwa nnafurahi sana nnapoona mtu akiifurahia zawadi, iwe ya pesa taslim au chochote kile cha thamani kubwa au ndogo. Binafsi huthamini sana mtu anaenikumbuka kwa zawadi hata iwe kashata tu.

Binafsi nnahisi ni haki yao ku demand kwangu na binafsi sina haja ya kujuwa watafanya nini na huo msaada. Its their business, mimi kama nimetoa kwa kuambiwa kwa sababu fulani halafu akaenda akafanya mengine si kosa langu wala lake ni priorities tu. Na wala huwa siulizi kafanya nini wala sina muda huo, hiyo itakuwa masimango, sitarajii kufanya hivyo hata siku moja na wala simuwekei kinyongo, ili iweje? kwani inawezekana kabisa alidanganya kwa sababu zake tu na alihisi akikwambia kuwa nnahitaji kwa ajili hii utamkatalia, ni upunguani wake si wangu, kwanini nimhukumu kwa upunguani wake tu?

Nikitowa natowa tu, singoji shukurani wala sitaki kujuwa niliyempa kafanyia nini, nimempa na nikimpa mtu yeyote, wa karibu au wa mbali huwa sitazami tena kafanya nini, na starehe yake na furaha yake huwa ni furaha kwangu pia.

At the same time, kama nimemtuma nifanyie hiki akafanya kingine, hapo huwa nnauliza.

Hiyo ni mimi binafsi sijuwi wengine.

Nnawaasa vijana, msiwe kama Adebayor anatowa halafu anataka kujuwa wanafanyia alichotowa, si vyema hata kidogo, unless awe kawatuma nifanyieni hiki hawakufanya.

Mfano, analalamika, nilimpa fulani nauli akazike hakwenda, sasa hakwenda unalalamika nini? si ujinga huo? hakwenda ndiyo hakwenda wala usimuulize kwanini hakwenda.

Mamake na nduguze ku demand nyumba na mshahara wa kila mwezi kutoka kwake ni haki yao kabisa, na kama anauwezo angefanya tu bila kulalamika na kama hataki pia angesema bila kulalamika ni haki yake.

Anautangazia ulimwengu ili iweje? wamuone ni mwema sana? au wawaone waliokaribu yake ni wabaya? hata sijaelewa mantiki yake, lakini inaonesha "psychologically" inamtesa na anatafuta relief.

Binafsi nnawajuwa watu fulani (tena si mmoja wala wawili) Tanzania hiihii, wamewapa nyumba ndugu zao na wanawapa mshahara kila mwezi, bila kuwafanyia kazi yoyote, na huwatazama kwa kila shida zao na life goes on, raha mustarehe.

Faida gani ya kuwa na mali na fedha kama nduguzo na walio karibu yako hawawezi kudeka na kujifaraguwa nazo? Siioni.

Sometime hua nakupenda sana mama na kuna mda hua nakuchukia sana apa nimekupenda sana..asante
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma na nazidi kusoma just for my family..
huniambii kitu katika kusaidia ndugu zangu wakilia shida tu alafu sina uwezo wa kuwasaidia kwa wakati uo siwezi kua na amani siku iyo nzima
 
Sasa usipowasaidia ndugu zako hapa duniani,utamsaidia nani tena?au unaona raha gani wewe unatanua mjini na malaya,wkt ndugu zako huko bush wanashindia uji usio na sukari?

Wakati wa kutafuta hiyo pesa hao ndugu walikua wapi? Huyu Mungu anaupendeleo kiasi gani anipe mimi tu kwa lipi nililomfanyia na huyo ambaye hana kamkosea nini Mungu? Madhalani wote mlipata fursa ya kwenda shule yeye akaona shule haina maana kwa wakati huo leo nina maendeleo unaleta chuki, je hii ndo sawa?
 
The Boss

Sadaka huanzia nyumbani.

Samahani hii post imekuwa ndefu kidogo kwa kuwa nnahisi hapa kuna darsa linalotuhusu sote, katika kutowa amma kwa kusaidia amma kwa furaha tu:

Binafsi hupenda sana kuona walio karibu waki demand kwangu kama vyao. Ni raha ilioje, ukiwa nao wa kudeka kwako ni raha sana na kutoa ukawapa ni raha zaidi kila niwezapo huwa siishi kuwapa na kuwadekeza. Nikiwa sina basi kweli.

Raha ya kutowa si lazima uwe ni msaada tu, huwa nnatowa zawadi za kila aina kwa kukumbuka tu ngoja nimpelekee zawadi fulani, huwa nnafurahi sana nnapoona mtu akiifurahia zawadi, iwe ya pesa taslim au chochote kile cha thamani kubwa au ndogo. Binafsi huthamini sana mtu anaenikumbuka kwa zawadi hata iwe kashata tu.

Binafsi nnahisi ni haki yao ku demand kwangu na binafsi sina haja ya kujuwa watafanya nini na huo msaada. Its their business, mimi kama nimetoa kwa kuambiwa kwa sababu fulani halafu akaenda akafanya mengine si kosa langu wala lake ni priorities tu. Na wala huwa siulizi kafanya nini wala sina muda huo, hiyo itakuwa masimango, sitarajii kufanya hivyo hata siku moja na wala simuwekei kinyongo, ili iweje? kwani inawezekana kabisa alidanganya kwa sababu zake tu na alihisi akikwambia kuwa nnahitaji kwa ajili hii utamkatalia, ni upunguani wake si wangu, kwanini nimhukumu kwa upunguani wake tu?

Nikitowa natowa tu, singoji shukurani wala sitaki kujuwa niliyempa kafanyia nini, nimempa na nikimpa mtu yeyote, wa karibu au wa mbali huwa sitazami tena kafanya nini, na starehe yake na furaha yake huwa ni furaha kwangu pia.

At the same time, kama nimemtuma nifanyie hiki akafanya kingine, hapo huwa nnauliza.

Hiyo ni mimi binafsi sijuwi wengine.

Nnawaasa vijana, msiwe kama Adebayor anatowa halafu anataka kujuwa wanafanyia alichotowa, si vyema hata kidogo, unless awe kawatuma nifanyieni hiki hawakufanya.

Mfano, analalamika, nilimpa fulani nauli akazike hakwenda, sasa hakwenda unalalamika nini? si ujinga huo? hakwenda ndiyo hakwenda wala usimuulize kwanini hakwenda.

Mamake na nduguze ku demand nyumba na mshahara wa kila mwezi kutoka kwake ni haki yao kabisa, na kama anauwezo angefanya tu bila kulalamika na kama hataki pia angesema bila kulalamika ni haki yake.

Anautangazia ulimwengu ili iweje? wamuone ni mwema sana? au wawaone waliokaribu yake ni wabaya? hata sijaelewa mantiki yake, lakini inaonesha "psychologically" inamtesa na anatafuta relief.

Binafsi nnawajuwa watu fulani (tena si mmoja wala wawili) Tanzania hiihii, wamewapa nyumba ndugu zao na wanawapa mshahara kila mwezi, bila kuwafanyia kazi yoyote, na huwatazama kwa kila shida zao na life goes on, raha mustarehe.

Faida gani ya kuwa na mali na fedha kama nduguzo na walio karibu yako hawawezi kudeka na kujifaraguwa nazo? Siioni.

hicho unachokiongelea wewe sio msada bali ni kulea magonjwa...hivi ni sawa umpe ndugu msaada mfano umpe pesa akafungue biashar ya duka halaf yeye ile pesa akafanye starehe ya kununua wanawake? hapo huyo ndugu yako umemsaidia au umemuua?

unapotoa msaada una haki ya kujua kama huo msaada umemsaidia mhusika...halaf ni vizuri ukitoa misaada iwe na lengo la kufanya hao ndugu waweze kupunguza utegemezi kutoka kwako kwa maana ya kwamba misaada hiyo iwafanye hao ndugu waweze kujikwamua wao peke yao kiuchumi bila wewe ...mtu anayewapenda ndugu zake ni lazima ahakikishe na wao wanakua kaatika hali nzuri kimaisha kama yeye ili at the end of the day familia nzima au ukoo mzima uwe na mafanikio na maendeleo. hilo haliwezi kufanikiwa kama hela unazotoa hujui zimefanya nini na zimeenda kunywewa pombe...ndugu ambao hawajishughulishi ni mizigo na hawafai kuendelewa kupewa misaada. asiefanya kazi na asile
 
Last edited by a moderator:
EMMANUEL ADEBAYOR
SEA, I have kept these stories for a long time but I think today it is worth sharing some of them with you. It's true that family matters should be solved internally and not in public but I am doing this so that hopefully all families can learn from what happened in mine. Also keep in mind that none of this is about money.

At the age of 17, with my first wages as a footballer, I built a house for my family and made sure they are safe. As you all know, I have received the trophy of African Player of the Year in 2008. I also brought my mother on stage with me to thank her for everything. In that same year, I brought her to London for various medical check ups. When my daughter was born, we contacted my mum to inform her but she immediately hung up the phone and didn't wanna know hear about it. Reading your recent comments, some people said my family and I should consult T.B Joshua. In 2013, I gave my mother money so she could consult him in Nigeria. She was supposed to stay for 1 week; but 2 days into her stay, I received a call saying she left. Apart from all that l also gave my mother a great amount of money to start a business of cookies and different items. Naturally, I allowed them to put my name and picture on them so they can sell more. What else can a son do in his power to support his family?

A couple years ago, I bought a house in East Lagon (Ghana) for $1.2 million. I found it normal to let my older sister, Yabo Adebayor stay in that house. I also allowed my half brother (Daniel) to stay in the same house. A few months later, I was on vacation and decided to go to that house. At my surprise, I saw many cars in the driveway. In fact, my sister decided to rent out the house without me knowing. She also kicked Daniel out of that house. Note that the house had about 15 rooms. When I called her and asked for explanation, she took about 30 minutes to abuse and insult me over the phone. I called my mother to explain the situation and she did the same as my sister. This same sister says I am ungrateful. Ask her about the car she is driving or anything she is selling today?

My brother Kola Adebayor, has now been in Germany for 25 years. He travelled back home about 4 times, at my expense. I fully cover the cost of his children's education. When I was in Monaco, he came to me and asked for money to start a business. Only God knows how much I gave him. Where is that business today?
When our brother Peter passed away, I sent Kola a great amount of money so he could fly back home. He never showed up at the burial. And today that same brother (Kola) is telling people that I am involved in Peter's death. How? He is the same brother who went and told inaccurate stories about our family to "The Sun" in other to take some money. They also sent a letter to my Club when I was in Madrid so I could get fired.

When I was in Monaco I thought it would be good to have a family of footballers. So I made sure my brother Rotimi gets into a football academy in France. Within a few months; out of 27 players, he stole 21 phones.

I would not say any anything about my brother Peter Adebayor because he is not here today. May his soul rest in peace.

My sister Lucia Adebayor keeps telling people that my dad told me to bring her to Europe. But what would be the purpose to bring her to Europe ? Everyone is here for a reason.

I was in Ghana when I received the news about my brother Peter being seriously ill. I drove the fastest I could to Togo in order to meet him and help. When I arrived, my mother said I could not see him and I should just give the money and she would solve everything. Only God knows how much I gave her that day. People are saying I didn't do anything to save my brother, Peter. Am I a fool to drive 2 hours to Togo for nothing?

I organized a meeting in 2005 to solve our family issues. When I asked them about their opinion, they said I should build each family member a house and give each of them a monthly wage.
Today I am still alive and they have already shared all my goods, just in case I die.
For all these reasons, it took very long for me to set up my foundation in Africa. Every time I try to help the people in need, they had to question me and all of them thought it was a bad idea.

If I am writing this, the main purpose is not to expose my family members. I just want other African families to lear[truncated by WhatsApp]

Hivi ndivyo waafrika tulivyo hata uwafanyie nini, Shukrani ya punda
 
Saidia ndugu unapokuwa na uwezo wa kusaidia(jikune unapojifikia) sio usaidie wengine na kujinyima wewe mwenyewe haki zako na familia yako(watoto/mkeo/mume).Saidia inapobidi tu.

Wakati mwengine ni muhimu kuwa mbinafsi kwa maslahi yako.Siku zote ulipokuwa unahenyeka kabla hujapata hayo mafanikio hao ndugu walikusaidia?Au wanajua udugu na wewe ukiwa nacho tu??
 
Halafu Wengi walio ishi nje na kuwatumia ndugu zao pesa sijui wajenga au kuanzisha mradi
yamewakuta kama yako....hii hadithi iko so common,,,,

Yaani itachukua nguvu nyingi sana kwa watu kuni shauri kusaidia familia yangu…sikatai kuna baadh ya familia wamefanikiwa na nawapongez sana na ninawaonea wivu..!!!
 
Mnashangaa ya Adebayo? Ya huyu je?

After Phillip Buchanon was taken by the Raiders with the 17th overall pick in the 2002 NFL Draft, one of the first people he heard from was his mom, which makes sense because she's his mom.

What didn't make sense to Buchanon though was what his mom wanted. The woman who raised him said he owed her $1 million for the child rearing.

Buchanon, who played for five different teams during his 10 seasons in the NFL, recently wrote a book where he recounted that exact story.
Source
 
Mnashangaa ya Adebayo? Ya huyu je?

Source

Hahaaa mimi nawaogopa sana watu dizaini hiyo
wanaweza kukuua wakijua watafaidika na kifo chako

Kuna familia baba akishaandika urithi tu hadumu sana....
Ndo maana wazee wa zamani walikataa kabisa kuandika urithi kuhofia
greedy children wanaweza kuwaua ili kurithi mapema
 
Nimesoma na nazidi kusoma just for my family..
huniambii kitu katika kusaidia ndugu zangu wakilia shida tu alafu sina uwezo wa kuwasaidia kwa wakati uo siwezi kua na amani siku iyo nzima

Nafikiri wengi hapa hakuna aliyepinga kusaidia ndugu au mtu yoyote yule mwenye shida, bali swala ni pale ambapo unasaidia wasio saidika yaani ni kama vile unamimina maji kwenye ndoo iliyotoboka chini, hapo ndipo kwenye tatizo na wala siyo kusaidia, moyo wa kusaidia nafikiri binadamu wote (wa kawaida) tumeumbwa nao!
 
Kwa wale wakristo someni katika kitabu kitakatifu cha Biblia: 1Timotheo 5:8.Ngoja tu niinukuu inasema,LAKINI MTU YEYOTE ASIYEWATUNZA WALIO WAKE,YAANI,WALE WA NYUMBANI MWAKE HASA,AMEIKANA IMANI,TENA NI MBAYA KULIKO MTU ASIYEAMINI.Hapo ni aumuzi wako sasa kuwasaidia watu wa nyumbani mwako au uwe mbaya kuliko asiyeamini.
 
Hili ni tatizo sana kwenye jamii zetu za kiafrika; Unakuta hata kwenye vikao vya harusi ukitoa pledge labda alf hamsini watu wanaanza kusema aah haiwezekani kwanza wewe ni director wa idara fulani , kwanza juzi tu umetoka London afu nyumbani kwako tu full AC na walinzi wawili; Jamani kipato chango na maisha yangu yasilete ulazima kwenye kutoa michango au kusaidiana.

Niliona pia mama mmoja akigawa watoto wa binti yake huko kijijini kwa wanae walioko mjini na yule asiye na mtoto ndio anapewa adhabu ya kuchukua watoto wawili--bila hata kujua mipango yake pengine hajataka kuzaa sasa ili asave apate watoto baadae ila mama kakomaa wewe bwana huna mtoto sasa chukua wawili maana huna matumizi.

Juzi kwenye redio moja mchana kuna mada inajadiliwa eti inakuwaje ndugu una hela na uwezo halafu ndugu zako wanashida -- to me niliona ni mada isiyo na mashiko. Kufanikiwa kwa mtu mmoja sio factor pekee ya kufanya ukoo wote ufanikiwe , je utayari wao ukoje?
Mara nyingi mkuu watu wanaoleta mada hizo wana upeo mdogo sana wa kufikiri.
 
Hahaaa mimi nawaogopa sana watu dizaini hiyo
wanaweza kukuua wakijua watafaidika na kifo chako

Kuna familia baba akishaandika urithi tu hadumu sana....
Ndo maana wazee wa zamani walikataa kabisa kuandika urithi kuhofia
greedy children wanaweza kuwaua ili kurithi mapema

Nashukuru sana mimi si mtu wa kutegemea misaada au hisani za wengine.

Na hata niwe na shida gani, ukiondoa labda inayohusu uhai na uzima wangu, mimi huwa ni mgumu sana kuomba msaada na kamwe siwezi kumlaumu mtu ambaye hajanisaidia kwa lolote lile.

I am independent personified.
 
Je what if uwe billionaire leo hii
hauna ndugu 'dangerous' karibu?

Huwezi kuwajua kwa macho wengine..ni hadi
opportunity itokee ndo their real side inatokea
 
Back
Top Bottom