Ya Adebayor yapo kila familia TZ?

Ya Adebayor yapo kila familia TZ?

Je what if uwe billionaire leo hii
hauna ndugu 'dangerous' karibu?

Huwezi kuwajua kwa macho wengine..ni hadi
opportunity itokee ndo their real side inatokea

Hiyo nayo ni kweli kabisa.

Wanaweza hata kukuua kwa kukukorogea sumu.
 
Hiyo nayo ni kweli kabisa.

Wanaweza hata kukuua kwa kukukorogea sumu.

Hizo ndo unknown dangers
Kulikuwa na Biilionaire anaitwa Edmond Safra
alikufa katika mazingira ya kutatanisha
now mkewekarithi kila kitu
na kwenye list ya mabilionea yupo huyo Lily Safra mkewe...

Ukisoma jinsi alivyokufa ni way too strange kwa mtu mwenye pesa ya kila aina security kufa vile
 
Labda mama yangu mzaz ndo nina jukumu la kumsaidia walio baki kila mbuzi ale urefu wa kamba yake stak shida na tabu wala magubu ya ndugu mie
 
hicho unachokiongelea wewe sio msada bali ni kulea magonjwa...hivi ni sawa umpe ndugu msaada mfano umpe pesa akafungue biashar ya duka halaf yeye ile pesa akafanye starehe ya kununua wanawake? hapo huyo ndugu yako umemsaidia au umemuua?

unapotoa msaada una haki ya kujua kama huo msaada umemsaidia mhusika...halaf ni vizuri ukitoa misaada iwe na lengo la kufanya hao ndugu waweze kupunguza utegemezi kutoka kwako kwa maana ya kwamba misaada hiyo iwafanye hao ndugu waweze kujikwamua wao peke yao kiuchumi bila wewe ...mtu anayewapenda ndugu zake ni lazima ahakikishe na wao wanakua kaatika hali nzuri kimaisha kama yeye ili at the end of the day familia nzima au ukoo mzima uwe na mafanikio na maendeleo. hilo haliwezi kufanikiwa kama hela unazotoa hujui zimefanya nini na zimeenda kunywewa pombe...ndugu ambao hawajishughulishi ni mizigo na hawafai kuendelewa kupewa misaada. asiefanya kazi na asile

Wewe unaongelea msaada kwa mama'ko na ndugu zako wakuzaliwa? Ajabu kubwa sana. Hapa naona tupo kwenye different wave lengths.

Mimi siongelei "msaada" kwa watu wangu wa karibu, hata jirani yangu akiwa na tatizo siongei kuwa nnamsaidia licha ya ndugu zangu na maman'gu. Huo ni wajibu wangu.

Ni lini ukasikia mtu "anamsaidia" mama'ke? wewe mama'ko akiwa na shida unamsaidia? na si wajibu wako? Mtu aliyeweka tumboni miezi 7 au 9 ulipokuwa unajisaidia ukamharia mikononi akauosha na kukutunza leo unasema "unamsaidia"? Yeye alipofanya yote hayo alisema hata siku moja kuwa anakusaidia? Jamani, tunaelekea wapi?

Mimi maman'gu au wangu yeyote wa karibu hata jirani yangu huwa simsaidii, nnamtunza na ni wajibu wangu.

Kwanza tuelewane hapo.
 
Mhogo ni mhogo tu hata uupake blue band na mwafrika ni mwafrika tu hata aweje huwezi badilisha hulka aliyokulia nayo
 
Honestly kama mimi ningekuwa Adebayor hapo hakuna hata ndugu tena angelamba sumni yangu, labda ni mzazi wangu peke yake ndio ningeendelea kumpa zaidi. Kwa mujibu wa mafundisho yetu mzazi wako akitaka chochote kile ktk mali yako huna mamlaka ya kumnyima wala kumuuliza.
 
wewe unaongelea msaada kwa mama'ko na ndugu zako wakuzaliwa? Ajabu kubwa sana. Hapa naona tupo kwenye different wave lengths.

Mimi siongelei "msaada" kwa watu wangu wa karibu, hata jirani yangu akiwa na tatizo siongei kuwa nnamsaidia licha ya ndugu zangu na maman'gu. Huo ni wajibu wangu.

Ni lini ukasikia mtu "anamsaidia" mama'ke? Wewe mama'ko akiwa na shida unamsaidia? Na si wajibu wako? Mtu aliyeweka tumboni miezi 7 au 9 ulipokuwa unajisaidia ukamharia mikononi akauosha na kukutunza leo unasema "unamsaidia"? Yeye alipofanya yote hayo alisema hata siku moja kuwa anakusaidia? Jamani, tunaelekea wapi?

Mimi maman'gu au wangu yeyote wa karibu hata jirani yangu huwa simsaidii, nnamtunza na ni wajibu wangu.

Kwanza tuelewane hapo.

kutunza ndugu zako sio wajibu wako. Ila kuwasaidia ni wajibu wako..watoto wako ambao bado hawajaanza kujitegemea ndo unao wajibu wa kuwatunza. Kuwatunza ndugu zako ni kuwawekea ulemavu wa kiakili na umasikini wa kudumu. Unapowatunza wao part yao ya kuwajibika hapa duniani nani ataifanya? Mtu yeyote awaye mzima asiye na ulemavu wa aina yeyote wa mwili na akili hana budi kufanya kazi na kujitegemea pasipo kua tegemezi kwa yeyote. Sasa hao ndugu zako unaosema ni wajibu wako kuwatunza ni walemavu au ni mijitu mizima?

Na kuna swali nilikuuliza hivi ni sawa umpe ndugu msaada (ambao wewe umesema sio msaada bali kumtunza) so utakapompa ndugu yako pesa ya kumtunza ili aende akafungue biashar ya duka halaf mfano yeye ile pesa akafanye starehe ya kununua wanawake au kufanyia kitu kingine chochote non sense utaogea au utakaa kimya? na unataka kusema akija tena kuomba hayo matunzo yako utampa hiyo pesa? na tena akija na tena na tena it means wewe utakuaga tuuu unaendelea kutoa hela ambayo inaenda kufanyiwa ufujaji?
 
Tatizo mwalimu na siasa zake za ujamaa ndio zimeleta mambo yote haya.unafikiri kwenye nchi za kibepari kuna mambo ya kusaidiana hivyo.hata baba tajiri anamwekea mipaka mwanae.
 
Ndugu ni watu wa kwanza ambao Mungu amempa mtu hapa duniani, sasa kama hao pia hutawajali , binadamu ambao unashare nao damu na dna, sidhani kama una faida ya kuwa hapa duniani, NI LAZIMA kusaidia ndugu hilo halina ubishi, wala mjadala.

ungekuwa ww ungeweza kuwajengea nyumba ndugu zako na kila mwisho wa mwezi mgawane mshahara na bado haitoshi wakuseme vibaya kwa watu pia wakusingizie huisaidii familia yako hata na mama yako awe upande wa ndugu zako kukukandamiza ww wakati unajitoa kwa kila kitu kwa ndugu zako..................umesoma stori aliyoandika adebayor????????
 
Aisee mnilivyo mchoyo nahisi hiz case hazitakaa zinikute, case eti za ndugu kutarajia mm kumsaidia jambo fulan au cjui nn hapana aisee, nasaidia ninapojickia na ninapoona kuna ulazima sana. Tofaut na hapo utanickia tu kwenye bomba. Maisha haya magumu sn kila mtu anataka kuishi vzuri, sasa ya nn wengine wahemee jasho lak na nguvu zako na wakat na wenyew n wazma pia. Aii sifanyag hizo mambo
 
Heri yako aisee
 
Ujinga, umasikini, utoto, uvivu ni majanga makubwa Africa
 
Tatizo mwalimu na siasa zake za ujamaa ndio zimeleta mambo yote haya.unafikiri kwenye nchi za kibepari kuna mambo ya kusaidiana hivyo.hata baba tajiri anamwekea mipaka mwanae.

Hapana mkuu,mwalimu alisisitiza saaana kujitegemea na kutotegemea misaada,waafrika tumelelewa kusaidiwa hilo ndo tatizo,tujifunze kujitegemea,kusaidiana ni hiari si lazima,kuna watu ni wavivu na wafijaji wakubwa na bado wanataka misaada hii si sahihi
 
Wadau hebu wianisheni hili la Adebayor na langu,mm nilibaguliwa na kutengwa sn na baadhi ya ndg zangu wakati nina maisha magumu,baada ya kujua nipo mm km mm,nikajifunza kufanya kazi zaidi ya uwezo wangu wa kawaida na kujibana sana,kiasi hata mambo muhimu mengine kuyafanya nikawa naona km anasa,namshukuru mungu juhudi yangu mungu kajibu,sasa nina kazi na maisha nafuu,sasa ishu iko hapa mm nnapopata hela najibana na kuwa ka akiba,ndg zangu hela zao ni kwa matumizi ya pupa na hawajibani kuwwka akiba,inapotokea tatizo kwa ndugu,wanataka hela nilizojibana mm nisaidie,wakati wao zao walutumia kwa anasa,ukigoma kusaidia zinaanza lawama na laana kibao,
Waafrika tujifunze kyondoa fikra za kusaidiwa tujifunze kujitegemea,msaada ni hiari,
 
Unajua hapendwi mtu mpaka awe na kitu???

Na kwa ndugu wa aina yako jiwekee akiba maana ukianguka hakuna wa kukushika mkono!!! Zaidi watakucheka.

Wadau hebu wianisheni hili la Adebayor na langu,mm nilibaguliwa na kutengwa sn na baadhi ya ndg zangu wakati nina maisha magumu,baada ya kujua nipo mm km mm,nikajifunza kufanya kazi zaidi ya uwezo wangu wa kawaida na kujibana sana,kiasi hata mambo muhimu mengine kuyafanya nikawa naona km anasa,namshukuru mungu juhudi yangu mungu kajibu,sasa nina kazi na maisha nafuu,sasa ishu iko hapa mm nnapopata hela najibana na kuwa ka akiba,ndg zangu hela zao ni kwa matumizi ya pupa na hawajibani kuwwka akiba,inapotokea tatizo kwa ndugu,wanataka hela nilizojibana mm nisaidie,wakati wao zao walutumia kwa anasa,ukigoma kusaidia zinaanza lawama na laana kibao,
Waafrika tujifunze kyondoa fikra za kusaidiwa tujifunze kujitegemea,msaada ni hiari,

Toa misaada sehemu ya lazima mfano ugonjwa au msiba nk.....

kwengine kote tumia "sina hela"

Afterall wakilaani wakatukana wewe haupungui kilo wala hauongezeki.... hauchubuki ngozi wala haubabuki

Duniani hapa huwezi kumridhisha kila mtu
 
Daaa ktk siku mkuu@The Boss umenikosha basi ni kwa hili andiko..hii ni tabia mbovu sn.huwa nina utaratibu wa kuwafundisha marafiki na ndugu zangu juu ya kitu ninachoamini na kukielewa kuwa ni sahihi.na pia huwa napenda kujifunza pia toka kwao.ktk kitu huwa ninajaribu sn kukijenga juu ya 'madogo' ni hii dhana uliyoiongelea..ukiwa na akili km hiyo kamwe hutokaa uje ujitegemee..na kujitegemea kuliko bora zaidi kunaanzia namna tunavyofikiri..salute mia mia zitiririke kwako
 
Wazazi wameuza mashamba na mifugo kumsomesha 1st born hadi familia ikatetereka. , then asijesaidia ndugu zake. !! Hapana.
Kuna mazingira unakua na ulazima wa kusaidia.
Sio kama hajasaidia. Kwa familia zetu za kiafrika, asilimia kubwa hata humu jamvini tumepita japo kwa uchache mikononi mwa wajomba, shangazi, binamu nk. Ila suala linakuwa gumu yule unayemsaidia kugeuza msaada kuwa haki. Imagine, unampa mdogo wako jumba la kifahari ili aishi bure lakini yeye analipangisha bila wewe kujua. Ukuliuliza why unapata mvua za matusi! Sasa hata kama ni wewe utatoa msaada hapo? Jamaa kawavumilia sana.
 
Aisee mnilivyo mchoyo nahisi hiz case hazitakaa zinikute, case eti za ndugu kutarajia mm kumsaidia jambo fulan au cjui nn hapana aisee, nasaidia ninapojickia na ninapoona kuna ulazima sana. Tofaut na hapo utanickia tu kwenye bomba. Maisha haya magumu sn kila mtu anataka kuishi vzuri, sasa ya nn wengine wahemee jasho lak na nguvu zako na wakat na wenyew n wazma pia. Aii sifanyag hizo mambo

Kwa kuwa umetumia Mia naassume ni She.

Kama upo hivyo na ukaolewa na mme mwenye moyo wa kuibeba familia yake itakuwa ni disaster kwenye ndoa.

Kuna wengine tunaamini kusaidia na kama una uwezo wa kusaidia ni sehemu ya ibada na sio adhabu, japo kusaidia asiyependa kujisaidia ni kuendekeza ujinga.

Kuna watu pesa ambayo wewe unaitumia kwa matumizi ya out moja tu kwao kuipata hiyo ni mtaji ambao unaweza kabisa kubadilisha maisha yao, kuna masuala ya elimu n.k

So tunapaswa tubalance haya mambo.
 
Back
Top Bottom