The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
- Thread starter
- #81
The Boss binafsi najua kusaidia ni sehem ya maisha ya kila mtu, na si msaada wa mali tu bali hata wa hali na zawadi pia. sipendi kutoa misaada ya masharti, wala sipendi kukumbuka nilimsaidia nini mtu as nikitoa nimetoa na ikitokea umeniboa sina haja ya kusema nilimtendea huyu hivi leo kanilipa hivi noo
silazimish kusaidiwa na hata kama sina nitaomba ukinipa poa usiponipa bado nitaish tu so sio ishu sana kwangu.
haya ya adebayor kwangu mie naona tumetafsiri vby ama hatujaelewa ila ukweli ni kwamba mama mzazi anapaswa kulipwa fadhila as well as baba, na fadhila hizi wengine ndio tunazitafsiri kama msaada lkn huu sio msaada kabisa hii ni haki yao.
sawa hukuwalazimisha kukuzaa lkn pia wali dare kukuzaaa na kukutunza if you have why ant you make them happy? onyesha kushukuru kwa kile walichokufanyia na sio vzr kusubiri walalamike.
itaeleweka kama huna ila kama unacho jaman toa kwa wazazi.
lijapo swla la ndg hapa mie huwa siangalii yaani nafunga macho natoa basi, ingawa ni mhanga wa bitter returns adi muda mwingine najikuta nahitaj kujipa self counseling ili nisahau maisha yaende mbele....
ninayo a very bitter experience ya kwenye msaada nilio wah kuutoa kwa ndg na mpaka leo ni kidonda ambachop sijakipatia tiba....................ninaamin with time nita heal.
Ukisoma nilichoandika utaona nimekwepa kuwahukumu wazazi
only nimewataja ndugu zake....sababu najua wazazi lazima uwatunze
mimi naita 'kutunza' na sio kusaidia....hii ni muhimu na inatukamilisha as humans
ingawa hawa wazazi wa Adebayor na ushirikina if its true ni 'mtihani mkubwa'