FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Inawezekana 'unajisaidia mwenyewe zaidi' kila unapowasaidia
sioni mahala ambapo umezungumza wao kukusaidia....
sometimes tunawasaidia watu 'out of guilty ' that comes from success ...
Hapo ndo tunapokuwa 'tunajisaidia sisi wenyewe' huku tukiamini tunasaidia wengine
Kuna kusaidia na wajib, jaribu kutofautisha hayo.
Kumpa aliye wako si kumsaidia ni wajib wako.
Kumpa aliye wako haimaanishi um spoil.
Kuna watu wenye nazo ambazo wakiona kuwa kila nnapowapa hawa wanafanya fujo kwa kuwa wanajuwa kila wakija wanazipata huwa wanafanya kitu kinaitwa "trust fund", kwa kuwa wale wanaopewa hawajaonesha "responsibility" basi hiyo trust fund itakuwa managed na wenye "responsibility" na walengwa watakuwa wanapewa kwa masharti na malengo fulani na si holela.