Sio mwanaume anayenuna....anaanza mwanamke kununa ili abembelezwe ila Kuna Ile unampotezea tu mwisho mnaachana kusipojulikanaHhahahahaha umesema kununiana mmmh wakiume kabisa unamnunia demu mmmh mm siwezi
Sio mwanaume anayenuna....anaanza mwanamke kununa ili abembelezwe ila Kuna Ile unampotezea tu mwisho mnaachana kusipojulikanaHhahahahaha umesema kununiana mmmh wakiume kabisa unamnunia demu mmmh mm siwezi
Mkuu acha tu😄Umasikini mbaya na una matokeo haya;
1. Mwanaume kung'ang'ania ke kwa vile hana uwezo kung'oa chuma kipya kikali zaidi.
2. Me kuburuzwa na wanawake wajinga kama huyo.
3. Mwanaume kuwa King'ng'a.
Ujinga huu wakupangiwa kwangu haupo, nakupa kwa hiyari, any amount kwa ridhaa.
NA ke akawa honest kwangu, mwelewa na mnyenyekevu atakula mema ya nchi.
Lkn huyu wa kunipangia hata buku simpi.
Sawa sisi wapasha viporo Bado tupo tupo kwanza 😂Hilo lako sahau hata mnipige, msimamo ni ule ule Ex harudiwi ni kusonga mbele kama Injili
Sawa wasalimie wenzakoSawa sisi wapasha viporo Bado tupo tupo kwanza 😂
Wenzangu tokea wamesoma comment zako wameanza kunihama 😂Sawa wasalimie wenzako
😆😆 sawa pole yakoWenzangu tokea wamesoma comment zako wameanza kunihama 😂
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu Uzi wako wa kwanza kabisa kuhusu huyu demu niliusoma nikaona kabisa hamna demu hapa 😂 😂 yaani sio kurudia hata kuanza naye mahusiano mapya siwezi na sitaki
Kwahiyo mkuu hiyu dem wangu kashindikana🤣Mkuu Uzi wako wa kwanza kabisa kuhusu huyu demu niliusoma nikaona kabisa hamna demu hapa 😂 😂 yaani sio kurudia hata kuanza naye mahusiano mapya siwezi na sitaki
Verry sure bloodDemu anataka paundi 30,000 kwa week kwa kazi gani anayokufunyia, si afadhali utafute dada mwenye maisha magumu awe anakuja kukufanyia usafi kwa week halafu hizo paundi 30000 uwe unampa kama sehemu ya sadaka pia, kuliko kumpa huyo ng'ombe ambae hana shukrani
Asante subiri niombe msaada kwa dosho12 akinikataa nitafikiria kuomba uhamisho kwenye hii debate😆😆 sawa pole yako
Huyu demu wako hamna kazi kiongozi 😂 😂 😂Kwahiyo mkuu hiyu dem wangu kashindikana🤣
Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.
Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta humu ephen_ Half american Balqior na wengineo nashukuru mlinishauri sana kuhusu kumuacha huyo mdada nikashindwa mwisho wa siku aliniacha yeye baada ya kuniomba 100k nikamwambia nitakupa next week bac akaniambia nifute namba yake na matusi kibao yakamtoka.
Hiyo ilikuwa mwez wa tatu mwishoni bac tukaachana mwezi wa 6 nashangaa ananitafuta na kunibembeleza sana kwamba anaomba turudiane nikakataa ila siku siku zinavyozidi kwenda bado ananisumbua so nimeshindwa kujua kilichomrudisha kwangu ni nini hapa nimebaki na maswali vp wenzangu huwa mnakaribiana vp na hii hali?? Na lengo lake hasa ni nini maana kipindi anataka kuniacha alikuwa na kiburi sana na dharau pia muda wote alikuwa online nashangaa saiv kawa mpole sana mpaka namshangaa.
Naweka hapa txt zake za nyuma muone tabia alizokuwa nazo huyu binti.
Nipe namba yake mkuu nimpeleke kwa mwamposa akutubuMkuu vp huyu unaweza mrudia maana ni pisi ya maana sana shape kama bonge la dada vile na ana pussy tamu sio poa
Oyaaa Mapenzi hisiaaa.......
Mkuu sirudi hapo mimi😄😄😄😄Unatakiwa mrudiane tena ili akupige matukio mazito zaid ya mwanzo ili akili ikukae sawa.next time hutoomba tena ushaur utakua unajiamulia mwenyew maamuz yako bila kushirikisha watu..!
Utaishije naye?Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.
kwa nn afute number huo ndio upendo?akaniambia nifute namba yake na matusi kibao yakamtoka.
helakilichomrudisha kwangu ni nini hapa