Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,544
- 6,496
- Thread starter
- #41
Mkuu si umeniuliza nimekwambia ukweli au nimekosea ila swala la kumrudia alipo kabisa kwenye akili yangu coz kaanza kunitafuta mwezi wa 6 mpaka sasa nampotezea tuBasi kwisha habari yako, Na yeye anajua hilo acha akupelekeshe.