Naomba kusaidiwa, Writing sample ni nini kwenye job application?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,526
Wakuu kuna nafasi ya kazi ninataka kuiomba ila moja ya document wanazotaka ni writing sample, yenye maneno maximum 1,000.

Ni kazi ya research assistant, naomba kusaidiwa ufahamu. Writing sample ni nini? Na inaandikwaje?
 
Kijana hujui writing sample si uende google
 
dah.... mkuu unaomba kazi ya research assistant huna sample yoyote ya kazi?

Kiufupi kazi za research zinahusisha sana uandishi wa report kitechinakali ya Technical Writing. Hivo ili waone kama unaweza kuandika lazima uonyeshe sample ya kazi uliyoandika mfano... Report and artilcles..

Andaa Articles tatu za fani yako then uwatumie link ya google docs.

Kama unawafaa watajua tu kutokana na ulivyoandika title, intro, main point na conclusion

Ni hayo tu.
 
Hujawahi fanya kazi yoyote hata ukiwa chuo?, kifupi nikuwa mwajiri anataka aone uwezo wako wa kiuandishi namna unavyoweza kupangilia mawazo yako kuhusiana na fani/mada husika.👇
writing sample provides an employer with an example of how you organize and express your thoughts. The purpose is to convince an employer you can create the kind of written materials and handle the type of work expected of an employee in the position.👇

Academic papers,
Policy briefs or memos
Published articles
Blog posts or web content
Press releases
 
Ndio maana nimeomba kuelewa, nilishawai fanya research nikiwa university na research paper ninayo, pia nilishawai shiriki kazi ya data collection ila reports zilikuwa zinaandikwa na coordinator.

Nachotaka kufahamu, je nawatumia writing yenye kitu gani? Format au mtililiko unataka nini?
 
Nimewai kufanya research chuoni. Nimewai kuandika articles ila za kiswahil kwenye magazeti. Nimewai andika articles pia zipo medium. Kuandika naweza, sielewi tu nawatakiwa kuandika kitu cha namna gani
 
Wewe ni kiazi na kubali wewe ni kiazi,huyo muajiri anataka umtumie kazi yoyote ambayo umewahi kuandika mfana Article ikawa published kwenye gazeti au research journal na ionyeshe jina lako kwamba wewe ndie mwandishi mfano By SONOFOBIA.
Sasa kwa jinsi ulivyo kiazi naamini utakuwa na Dissertation tu uliyoandika Chuo. Hivyo kwa kukusaidia tafuta gazeti lolote mfano Daily News,The Guardian au The Citizen,huwa kunakuwa na Articles au Features Story mbalimbali zilizondikwa na Waandishi mbalimbali,chagua inayohusiana na field yako mfano kama field yako ni Afya tafuta iliyoandikwa kuelezea mambo ya Afya, kisha ikate,iscan then edit jina kama muandishi ni MWANAUVINZA badili jina isomeke by SONOFOBIA,kisha unai-scan upya unawatumia,zikiwa Article kama 3 tofauti itakiwa vema zaidi. Kikubwa jitahidi magazeti yawe ya zamani mfano ya mwanzoni mwa 2023.
WRITING SAMPLE wanamaanisha uwatumie mfano wa andiko lolote ulilowahi kuandika hivyo hizo Articles ndio utajimwambafai kwamba uliziandika wewe na zikawa published. Kama una swali uliza kijana. Zaidi ya hapo ukipata kazi uje unishukuru kwa kunipa fungu la 5
 
Mnafanya uwizi wakuu: Mimi naona angeandika hata proposal awatumie
 
Kudanganya kwenye Interview ni kujidanganya mwenyewe. Akifika kazini atapewa kazi na ukilaza wake utaonekana.
Aandike proposal kama hawezi awaone Bright and Genius Editors wamshauri cha kuandika ili aende hapo ameiva. Apige hiyo namba 0687746471
Kwanza hajasema professional yake.
 
Nitaandika article based on their research topic, naona nijaribu hivyo.
Kazi kwelikweli,kuna mdau ameshakueleza hapo juu kwamba ambatanisha andiko ulilokwishawahi kuliandika(siku za nyuma)na sio kuandika kitu kipya. Ni sawa na mchezaji aambiwe aambatanishe magoli aliyowahi kuyafunga siku za nyuma.
 
Sio kila unachoambiwa ni sahihi, mengine unachanganya na uzoefu wako.
 
Nimewai kufanya research chuoni. Nimewai kuandika articles ila za kiswahil kwenye magazeti. Nimewai andika articles pia zipo medium. Kuandika naweza, sielewi tu nawatakiwa kuandika kitu cha namna gani
Watumie za link za kwenye medium... Topic ni yeyote.... Wanataka waone tu how you write.
 
Back
Top Bottom