Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Hii dharau imepita kipimo, hivi wameshindwa kuwauliza wenyeji wa maeneo walipompata nyoka huyo jina lake hadi apewe jina la "mtoto wa mzungu"? Wanasayansi wetu wako wapi? Au kazi yao ni kusindikiza wazungu tu wanaokuja kujipatia "credits" kwa ugunduzi wa kisanii? Hovyo kabisa hawa watu!