myhem
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 933
- 364
Aina hiyo ya nyoka mi nilibahatika kukutana nayo mwishoni mwa miaka ya 80 nikiwa bado mdogo mkoani Mbeya maeneo ya tukuyu kwenye shamba la migomba.Nilikuta wako wawili na jinsi walivyokuwa na rangi nzuri nusura nijichanganye nikifikiri maua mpaka wenzangu walipofika wakaanza kuwashambulia mpaka wakafa.Nakumbuka tuliwachukua na kwenda kuwatishia watoto wengine.Tangia hapo sijawahi kuwaona tena kwani nimejaribu kutembelea hata snake park sijafanikiwa kuwakuta.
Nadhani kwa wakazi wa Mbeya hao nyoka si wageni kwao ila hawa wenzetu wazungu wanafanya utafiti mpaka wa kuangalia genes zao ndo maana wakagundua kuwa wanatautiana jamii nyingine ya viper.
Nadhani kwa wakazi wa Mbeya hao nyoka si wageni kwao ila hawa wenzetu wazungu wanafanya utafiti mpaka wa kuangalia genes zao ndo maana wakagundua kuwa wanatautiana jamii nyingine ya viper.