WORLD VISION ni shirika la wachaga??

WORLD VISION ni shirika la wachaga??

Status
Not open for further replies.
World Vision Ni shirika la kikristo limeanzishwa na mkristo mwinjilisti kuwasaidia watu wanapoamua kuwa wakristo na misingi yake ni ya kikristo hivyo mwislamu hawezi kwa sababu mambo yao ni ya kikristo kristo.
Ndiyo maana wanauliza vifungu vya biblia kujiridhisha kwamba candidates ni wakristo. Kwa hiyo ukiwa ni mwislamu usihangaike kutafuta nafasi ya kazi humo labda ubadilishe dini au utafute mashirika ya kiislamu.

ndio maana nimesema lifutwe hili shirika la kibaguzi. halina maana yoyote
 
Wale wanaouliza kwanini world vision wafanyakazi wake ni wakristo, jiulize kwanini wafanyakazi wote wa Islamic foundation ni waislam?
 
wachagga tumewatemdea nini watanzania wenzetu jamani?? mbn mnatusema kwa mabaya kila kukicha???
 
Hii inatokana na watu branch ya kwanza ilianza.Na wakatolewa watu pale kwenda kwenye branch zingine kuongoza.Mfano pale Bagamoyo kwenye kiwanda cha madafu ,waliochangamkia kazi walikuwa wakwere.Sasa kiwanda kikafungua matawi sehemu nyingi za nchi mfano Mtwara.Pale kwenye kiwanda cha masasi alipelekwa ------ mmoja anaitwa kikwete ili aendeshe kiwanda.sasa sioni kama kuna ubaya.
 
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo

Sasa kama ni shirika la Kikristo unataka waulizwe koran?? Wewe ni mdini,pili wewe ni ccm tatu wewe ni mkabila nne haya yote unayoyasema hapa malengo yako makuu ni siasa huna lolote bali unataka Chadema kionekane ni cha ukabila nimelijua hili baada ya kusopa thread zako zingine,AL-qaida wewe!
 
we ni wakuhurumiwa tu
 
Watoto wa mjini wanasema Ushamba MZIGO ujinga wameupatia jina au bado ?
 
Wiki iliyopita kule Marekani makao yao makuu wametangaza kuwa wanautambua ushoga na katika ajira zao wameondosha kipengere cha kupinga mashoga kuajiriwa katika shirika lao.

hili shirika ndio linaelekea kutuletea mashoga tanzania, halifai hata kidogo. ni la kulifuta kabisa
 
tanzania ni nchi yetu.. hatutaki haya mashirika ya kubagua watu
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)
 
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)

world vision wanataka wachagga na wakristo tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom