LazyDog
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 2,473
- 202
Mimi siyo mchagga lakini wanasema ujanja kupata
Bold angeeleza process nzima ya hizo ajira ilivyokuwa, mpaka wakapatkana wachaga watupu, ningemuelewa, lkn kuhoji tu bila kujuwa ilikuwajekuwaje mpaka wakajazana huko, ni kuwaonea wachaga. Kama kazi zilitangazwa wakatokea haohao ina maana mradi usifanyike kisa kabila moja au?
Baadhi ya maeneo kama sio yote huko WVT, nafasi za kazi zinauzwa. World Vision sio ile ya zamani iliyosifika.
Nafahamu miradi ya WVT iliyokwama kwa sababu za kijinga, lakini miradi ya aina hiyo hiyo imefanyika vizuri pale Kenya.
Nchi hii inavurugika kwa kasi kubwa sana ndugu zangu. Laiti ingekuwa jambo rahisi kueleza kiini cha matatizo ya nchi hii...