WORLD VISION ni shirika la wachaga??

WORLD VISION ni shirika la wachaga??

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada hatofautishi kati ya wapare na wachaga ndomana anasema wamejaa huko.kuna wachaga na wapare ni makabila tofauti na kama makaomakuu yao ni Arusha it means yalianzia hukuna huko ndo kumejaa hayo makabila kulik makabila mengne
 
basi inatosha manka kesha kuelewa na kukusikia.
 
Nashangaa hata JK anawateua wachaga kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma. JK ana ukabila sana

Sio hili tu. Jk au kwa jina lake la ubatizo SAMWEL LUHANGA ana mpambe wa kichaga. Anakaa nyuma yake mda wote anaitwa Major General Kimario. Jk ni mdini na mkabila sana. Jk anatokea kanda ya kaskazini
 
Kuna mzee aliniambia "ukienda sehemu ukamkosa Mhindi au Mchaga usiishi mahali hapo si salama''usemi huu nautafakari sana
 
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo
Kama kuna mtindio Jf basi ili jamaa linaongoza,hakuna mada inayopita jf bila kulialia..
 
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo
Wiki iliyopita kule Marekani makao yao makuu wametangaza kuwa wanautambua ushoga na katika ajira zao wameondosha kipengere cha kupinga mashoga kuajiriwa katika shirika lao.
 
nimeishi sana arusha na huku ndiko makao makuu yao na wana projects nyingi sana wenyewe wanaziita adp's cha ajabu kila adp ofisini wote ni wachaga! Nilishtuka kidogo lakini nikapotezea nikajipa moyo labda 'mcheza kwao utunzwa' (wachaga>>arusha) baadae nikahamia tanga nako wana adp nyingi sana wilaya tofauti tofauti nako pia hali ni ileile kila ofisi ya adp unayoenda wachaga wamejaa!!! Ikaniuma kiduchu nikajipa moyo labda kwasababu tuko nao karibu (tanga na arusha).. Sasa last week nimekuja morogoro nikaenda pale ofisi yao kuu ya mkoa (morogoro cluster ofisi) nikakuta ofisi wachaga 90%!!! Kesho yake nikaenda kwenye moja ya projects zao inaitwa mlali adp iko ndani ndani kabisa vijijini huko nako project manager mchaga, project accountant mchaga, zagazaga nyingine nao 80% wachaga!! Nikafadhaika sana ikabidi nimuulize swali mmoja ni staff wa hapo mlali adp (sio mchaga) akanijibu kuwa hata yeye aelewi ila hali ni hiyo hiyo karibia tanzania nzima, yeye binafsi kabla ya kuja mlali alikuwa ofisi ya kigoma nako hali ni hiyo hiyo, wachaga wachaga wachaga!!!! Nikachoka..
ahaaaa wewe acha kuzingua banaaa mbona dar office c wachagga pale banaa.....dodoma mbona c wachagga,bukoba,karagwe,kigoma,kalindi,na most of rurals cluster mbona c wachagga...ila ukweli wapo ila c kwa number unayosemaa wewe...
 
Acheni kuwa jadili wachaga kwa chuki mnawafanya wajiami.
Ninavyojua kwa kutembea kwangu hapa tz, kila mkoa hawa jamaa ni wa pili au wa tatu kiuchumi, mfano angalia, dar,mwanza,arusha,Kahama,mrgr,ddm,nk na halo ni wachaga ambao sio wasomi.
Watanzania tupendane kama wamoja,ikiwa wengine watahisi kubaguliwa nao watajihami na kuanzisha mambo yatakayoleta utafauti mkubwa wa kiuchumi na mwisho tutakuwa na utafauti mkubwa miongoni mwetu
 
World Vision Ni shirika la kikristo limeanzishwa na mkristo mwinjilisti kuwasaidia watu wanapoamua kuwa wakristo na misingi yake ni ya kikristo hivyo mwislamu hawezi kwa sababu mambo yao ni ya kikristo kristo.
Ndiyo maana wanauliza vifungu vya biblia kujiridhisha kwamba candidates ni wakristo. Kwa hiyo ukiwa ni mwislamu usihangaike kutafuta nafasi ya kazi humo labda ubadilishe dini au utafute mashirika ya kiislamu.
 
sasa wewe umeingiaje huko kama si mchaga???
acha tu kufanya nao kazi usiumie moyo wako bureee kufanya kazi na hao wachaga bhanaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom