kwa nini world vision kwenye interview wanauliza maswali ya kwenye vifungu vya biblia mkuu..?
Linakuja kwenu Kigoma. Waha sio watanzania?
hawa wamisionari warudi kwao. tanzania hatuna dini.. hili shirika lifukuzwe tanzania
kwa vile ni shirika la kikristu ulitaka waulizeaswali juu ya mtume? mbona huulizi yale ya kiislam kuongozwa na waislamu???
kwa hiyo kuuliza vifungu vya biblia kwenye interview ya uhasibu unaona sawa we kenge
ID na ujinga wako ni vitu 2 tofauti.
liishie huko huko uchagani, watanzania hatulitaki
Nenda kwenye shirika la babako ukaulizwe kuhusu balance sheet. Shirika la Kikristo utaulizwa mambo ya wakristo. Tena siku hizi wamelegeza, zamani ilikuwa kabla ya intavyuu unapeleka cheti chako cha ubatizo
Waha sio watanzania?
hili shirika limekuja kutuharibia nchi yetu. lifukuzwe haraka sana
hili shirika limekuja kutuharibia nchi yetu. lifukuzwe haraka sana
mleta mada umejawa na wivu wa kike ndio unaokusumbua,wewe na kabila lako mmekazana na elimu ya madrasa na kusoma koran na uswahili mwingi wa kunywa kahawa na kula mirungi unataka upewe ajira,wachaga ni watu toka kilimanjaro ni sio arusha wapo arusha kutafuta maisha kama wewe ulivyoenda wanapata kazi kutokana na ufanisi wao ni mzuri pamoja na elimu yao mfano katibu wa waziri mkuu ni mchaga anaitwa penieli lyimo je kapata kazi kwasababu ya uchaga au elimu na utendaji wake,na kwa taarifa yako 2015 anafuata mara baada ya mkuu wa majeshi mwamujange ni mchaga.kama tulivyopata mkuu wa polisi said mwema ndivyo itakavyokuwa kila pahala.soma kijana acha ukabila
yani ww jamaa comments zako zote ni upuuz
Halafu wewe ndio unatushawishi tujiunge na ACT! Kwa ideology hii tushajua malengo ya chama chenu mlichoanzishia Msikitini UJIJI
Huyu ndio think tank wa ACT
hi cyo zama yakusema eti wachaga ndyo wamesoma sna kuliko wenzao hapana.ckuhz hata vjjn wapo wasomi.WACHAGA NIWABAGUZ
na wewe ni wa wapi?
Huyu ndio think tank wa ACT