nyamujulemukama
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 147
- 64
Jamani kuweni wakweli world vision kuna makabila mengi tu ila interview yao kweli imekwenda shule bilan kujiandaa hupiti. Hakuna upendeleo wa ajira anayepass huyu indie.
Wachagga ndio kabila letu,we mzaramo nenda shule maisha ni zaidi draft,bao,chuma ulete..
Iyo shule uliyo soma hakuna mchagga aliesoma..mi nimesoma kupita wachaga wote kwa pamoja
Jamani kuweni wakweli world vision kuna makabila mengi tu ila interview yao kweli imekwenda shule bilan kujiandaa hupiti. Hakuna upendeleo wa ajira anayepass huyu indie.
Iyo shule uliyo soma hakuna mchagga aliesoma..
Iyo shule uliyo soma hakuna mchagga aliesoma..
Bado kidogo mtahamia baharini wanawaibia hadi viwanja uku mkiendelea kukesha vijiweni mnasubiri gunia la pesa..shule gani zaidi ya ujambazi tu na ufisadi,, wachaga wamerudisha nyuma sana maendeleo ya nchi
Shule za Mwandiga zimejaza Wabembe na wahutu tu
Ni vilaza wa kula kulala hapo umewashinda..siwezi soma na hao vilaza
Bado kidogo mtahamia baharini wanawaibia hadi viwanja uku mkiendelea kukesha vijiweni mnasubiri gunia la pesa..
Kweli dubai ndogo mpaka leo treni ndio usafiri pekee na wa msimu,mkoa wa mwisho Tanzania treni likifa hawaendi kwao..kigoma ni dubai ndogo
Ni vilaza wa kula kulala hapo umewashinda..
Kweli dubai ndogo mpaka leo treni ndio usafiri pekee na wa msimu,mkoa wa mwisho Tanzania treni likifa hawaendi kwao..
Teh teh ndio inayowahamisha mjini na njaa zenu,tutahakikisha mnahama huu mji..kwenye vibaka kumi tisa wanatoka moshi, pesa ya wana moshi imejaa damu
Du hawa jamaa hata nyerere alisema ni wakabila sana nenda CRDB sasa utachoka
Teh teh ndio inayowahamisha mjini na njaa zenu,tutahakikisha mnahama huu mji..
Shule hamtaki mnajua kucheza ngoma na taarabu tu..
Ndege ipi,hapo airport Waha wakipanda ndege inapotea kama ile ya Malleysiandio hivyo usafiri ni treni na ndege tu. basi ni mambo ya kizamani