WORLD VISION ni shirika la wachaga??

WORLD VISION ni shirika la wachaga??

Status
Not open for further replies.
Nimesema h zama kila mahali kuna wasomi hadi vijijin kuna watu wanashahada hawanakazi.
 
kwa nini shirika la world vision linaendekeza udini na ukabila?

nenda kaulize hilo swali muslim foundation kwanini wanataka uwe muislamu kwanza,au kaulize ACT shirika la dini la kigoma ujiji kwanini mwanachama awe kwanza muislamu ndio uje nikupe jibu lako
 
Wewe mdini wa ACT ni mjinga sana

Ubaguzi juu mnaoulea ndo unazaa vitu major kama "ukabila"...."udini" ....
Ii mijitu ya uku arusha cjui miayo elimu haiwasaidii kujua kibaya kijiji Irma jamii..., acheni ubaguzi ....mitusi ni uchovu wa hoja asee ...., udini na ubaguzi wa aina nyingine ni ujinga tu
 
Nimeishi sana arusha na huku ndiko makao makuu yao na wana Projects nyingi sana wenyewe wanaziita ADP's cha ajabu kila ADP ofisini wote ni wachaga! Nilishtuka kidogo lakini nikapotezea nikajipa moyo labda 'mcheza kwao utunzwa' (wachaga>>arusha) baadae nikahamia tanga nako wana ADP nyingi sana wilaya tofauti tofauti nako pia hali ni ileile kila ofisi ya ADP unayoenda wachaga wamejaa!!! Ikaniuma kiduchu nikajipa moyo labda kwasababu tuko nao karibu (tanga na arusha).. sasa last week nimekuja Morogoro nikaenda pale ofisi yao kuu ya mkoa (MOROGORO CLUSTER OFISI) nikakuta ofisi wachaga 90%!!! Kesho yake nikaenda kwenye moja ya projects zao inaitwa MLALI ADP iko ndani ndani kabisa vijijini huko nako project manager mchaga, project accountant mchaga, zagazaga nyingine nao 80% wachaga!! Nikafadhaika sana ikabidi nimuulize swali mmoja ni Staff wa hapo mlali adp (sio mchaga) akanijibu kuwa hata yeye aelewi ila hali ni hiyo hiyo karibia tanzania nzima, yeye binafsi kabla ya kuja mlali alikuwa ofisi ya kigoma nako hali ni hiyo hiyo, wachaga wachaga wachaga!!!! Nikachoka..

hapo cha mtoto njoo huone wilaya ya muleba wamejaa wao tu tena njoo bukoba wao hivi ili shirika makao yake makuu yapo KILEMA JUU EHEEE!!!!!!!?
 
ndio maana hawa pewi nchi mwisho ni uwazili mkuu mlema chamoto alikiona
 
Nimeishi sana arusha na huku ndiko makao makuu yao na wana Projects nyingi sana wenyewe wanaziita ADP's cha ajabu kila ADP ofisini wote ni wachaga! Nilishtuka kidogo lakini nikapotezea nikajipa moyo labda 'mcheza kwao utunzwa' (wachaga>>arusha) baadae nikahamia tanga nako wana ADP nyingi sana wilaya tofauti tofauti nako pia hali ni ileile kila ofisi ya ADP unayoenda wachaga wamejaa!!! Ikaniuma kiduchu nikajipa moyo labda kwasababu tuko nao karibu (tanga na arusha).. sasa last week nimekuja Morogoro nikaenda pale ofisi yao kuu ya mkoa (MOROGORO CLUSTER OFISI) nikakuta ofisi wachaga 90%!!! Kesho yake nikaenda kwenye moja ya projects zao inaitwa MLALI ADP iko ndani ndani kabisa vijijini huko nako project manager mchaga, project accountant mchaga, zagazaga nyingine nao 80% wachaga!! Nikafadhaika sana ikabidi nimuulize swali mmoja ni Staff wa hapo mlali adp (sio mchaga) akanijibu kuwa hata yeye aelewi ila hali ni hiyo hiyo karibia tanzania nzima, yeye binafsi kabla ya kuja mlali alikuwa ofisi ya kigoma nako hali ni hiyo hiyo, wachaga wachaga wachaga!!!! Nikachoka..


Nenda kamueleze NAPE NNAUYE hiyo habari... kwasababu ataiita WORLD VISION ndio JINA la NCHI ya WACHAGGA...

Yaani tunazidi kuwa LOW in our thinking kama vile hatukwenda SHULE... na hii yote ni kwasababu ya siasa za CCM - MPYA ya wachache kama kina The bold
 
Tunaomba serikali ifuatilie hi shirika ni wabaguzi wa dini na kabila.wameajiri wachaga tu.km we c mchaga hupewi kazi.
 
hawa wamisionari warudi kwao. tanzania hatuna dini.. hili shirika lifukuzwe tanzania

Jakaya yuko kwa yule misionary wa kianglikana pale london anayesuport ushoga anaomba msaada. Naamin atapewa tu maana vigezo atakidhi. Yuko na saada mkuya na husein mwinyi na wengineo. We vumilia tu ndo baba yenu Dr kikwete huyo.
 
Tunaomba serikali ifuatilie hi shirika ni wabaguzi wa dini na kabila.wameajiri wachaga tu.km we c mchaga hupewi kazi.

world vision ni kama shirika la ukoo wa wachaga,, ofisini lugha kuu ya mawasiliano ni kichagga
 
umefanya utafiti au wamekunyima kazi ndio shida yako, sio kweli...nimefanya nao miaka 10 (mi sio mchaga mbona?) hadi mwaka jana ndipo nime-resign, sio kweli...sasa hivi wana wafanyakazi wasiozidi 500 Tanzania nzima lakini humo kuna wasukuma kibao, wahehe, wahaya, waha, wajita, nk,nk ....Waombe radhi tafadhari au withdraw thread yako haraka

Tunaomba serikali ifuatilie hi shirika ni wabaguzi wa dini na kabila.wameajiri wachaga tu.km we c mchaga hupewi kazi.
 
World vision ni shirika kikristo. Ni kama Islamic foundation au Muslim propagtion. Imesajiliwa hivyo na ina operate hivyo. Asubuhi kabla ya kuanza kazi ni mapambio ya sifa na kumwabudu Mungu. Baada ya hapo mnakula neno kisha mnaanza kazi. Ni mazingira magumu kwa asiye mkristo.
Mtoa mada amezungumzia uchaga na sio udini.
mambo ya kikristo yanakujaje tena?
 
Sijui kwa sasa ila sidhani kama ni kweli hata kama ni wengi ni kama ilivyo kwa sector nyingine kama TRA, Afya n.k. Sijaona ubaya mkubwa wa wachaga sema wachache wao hukosa uungwana linapokuja suala la kutengeneza pesa, huwa wako tayari hata kupitia migongo ya wengine ili tu wazifikie.
 
Kama unataka kuishi ofisi isiyo na wachaga hama nchi. BY THE WAY YULE JAMAA ANAYEKAA NYUMA YA JAKAYA ANAITWA MAJOR GENERAL KIMARIO. Haya kufa kabisa kwa CHUKI FATAAN WE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom